ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Kuolewa sio lazima!😅😅😅 Wewe sema bado upo upo tu, utazeekea home shauri yako, changamkia fursa hiyo 😅
Kama unabisha nioneshe kaburi la mwanamke aliekua hajaolewa......🤸♀️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuolewa sio lazima!😅😅😅 Wewe sema bado upo upo tu, utazeekea home shauri yako, changamkia fursa hiyo 😅
hapa ndo pagumu sasaNaungana na hoja katika aya zako tatu za mwanzo ndio maana nikasema sheria ilitungwa kwa kumchora mwanamke wa zamani hakupewa haki nyingi sana ikiwemo elimu na ajira sasa kama mwanamke hana ajira ataishi vipi sasa hapa ndipo inakuja hoja ya kwamba atatakiwa kuhudumiwa na mwanaume hata mgao wa mali anastahili kama jamii inambana sasa akiachwa hana ajira hana makazi ataoshi vipi? Lazima apate gawio lake. Kwa sasa mwanamke kapewa access zote za kutoboa ikiwemo ajira, elimu, kumiliki mali n.k ivyo akiamua kuishi bila kujishughulisha na chochote hayo ni maamuzi yake sio sawa kuchota mali za mwanaume kumpa mwanamke ambae alipewa access zote za kujitafutia ila akufanya ivyo. Ndio maana nikasema sheria imepitwa na wakati sababu mwanamke sio inferior tena kama kipindi ambacho sheria hii ilitungwa.
Kuhusu aya yako ya mwisho, mimi sikatai mahusiano ya mwanamke na mwanamke kimapenzi. Mahusiano yana kupanda na kushuka, nyakati nzuri ja nyakati chungu ni vyema mkakaa chini kumaliza tofauti zenu..kinachonitatiza ni vipengere vya ule mkataba wa ndoa mnaotakiwa kusaini.
hapa ndo pagumu sasa
hatutaki kuwahudumia kwasababu sikuhizi wanajiweza
lakini,
hatutaki watuzidi kiuchumi tunaogopa
pia wenyewe wanajua wanajiweza ila wanataka kuhudumiwa
sio poa
Binafsi nakuelewa, considered ni mwanamke na siku za usoni naweza kuwa na mtoto wa kiume.Naungana na hoja katika aya zako tatu za mwanzo ndio maana nikasema sheria ilitungwa kwa kumchora mwanamke wa zamani hakupewa haki nyingi sana ikiwemo elimu na ajira sasa kama mwanamke hana ajira ataishi vipi sasa hapa ndipo inakuja hoja ya kwamba atatakiwa kuhudumiwa na mwanaume hata mgao wa mali anastahili kama jamii inambana sasa akiachwa hana ajira hana makazi ataoshi vipi? Lazima apate gawio lake. Kwa sasa mwanamke kapewa access zote za kutoboa ikiwemo ajira, elimu, kumiliki mali n.k ivyo akiamua kuishi bila kujishughulisha na chochote hayo ni maamuzi yake sio sawa kuchota mali za mwanaume kumpa mwanamke ambae alipewa access zote za kujitafutia ila akufanya ivyo. Ndio maana nikasema sheria imepitwa na wakati sababu mwanamke sio inferior tena kama kipindi ambacho sheria hii ilitungwa.
Kuhusu aya yako ya mwisho, mimi sikatai mahusiano ya mwanamke na mwanamke kimapenzi. Mahusiano yana kupanda na kushuka, nyakati nzuri ja nyakati chungu ni vyema mkakaa chini kumaliza tofauti zenu..kinachonitatiza ni vipengere vya ule mkataba wa ndoa mnaotakiwa kusaini.
Noma sanahapa ndo pagumu sasa
hatutaki kuwahudumia kwasababu sikuhizi wanajiweza
lakini,
hatutaki watuzidi kiuchumi tunaogopa
pia wenyewe wanajua wanajiweza ila wanataka kuhudumiwa
sio poa
Poleee sanaaa.samahan anza kwa kuwaambia wazazi wako dada zako mashangazi na jamaa zako kwanza ndo uje huku.
Mdogo wangu hiki kitu kinakuzwa kuliko uhalisia, hizi ndoa tunazoziona mtaani ziko na diversity kwa kiasi kikubwa, Hivi mfano mwanaume kutoa hela kwaajili ya chakula cha familia ni kumuhudumia mwanamke??binti kiziwi na Jadda nahitaji input zenu hapa
Stop "Personal attack"Mali zenyewe unazo ww mwenyewe ajira huna??
Kuna plot ipo makumbusho ni 20*15 inauzwa mil 70Kuna watu sio waoaji wanatafuta visingizio tu! Which is very okay.
Kuna watu hawawezi kuishi na watu, hivyo kuoa kwako ni salama zaidi.
Mali gani? Majaba, masufuria, na sabufa za Alitop? Na plot za 20*20 😂
Hata kama ni makubaliano kama hayupo fair basi yanatakiwa kupitiwa na yawekewe utaratibu ambao haumkandamizi yoyote kumbuka kuna wengine wagumu kuelewa au ni mpaka wapigwe na kitu kizito ndio wanashtuka. moyo wa mtu ni kichaka anaweza kuwa mwema kwako kumbe lengo lake ni mali baada ya kupata cheti cha ndoa hapo ndio heka heka zitaanza kwaiyo suala sio makubaliano tu suala ni kwamba hayo makubaliano yapo fair? hayo makubaliano yakivunjika kila upande utakua satified?Binafsi nakuelewa, considered ni mwanamke na siku za usoni naweza kuwa na mtoto wa kiume.
Lakini Je unafahamu ndoa ni makubaliano? Hakuna anayelazimishwa ndoa, amini nakwambia labda ukiwa maiti ndio unaweza kufungishwa ndoa bila kupenda, Sasa kama ni makubaliano iweje wewe ukubali mdada ambaye hana kazi, hajawahi kuwa nayo au hana biashara?
Ngoja nikwambie, Kuna muda tukiolewa tunaambiwa labda acha kazi fanya hii biashara, au acha hii biashara fanya kazi hii au mali hizi tunazalisha lakini zote ziko kwa majina ya mume sababu hata mke ni wa mume vilevile. Hayo makubaliano yanayofanyika Pre-marriage or during marriage ndio yanaamua mwanamke awe compensated wakati wa divorce, Elewa kwanza ndoa ni makubalino ambayo wawili hao kunavitu wamevi-giveup kuaccomodate mahitaji ya ndoa yao. Tuache kuoverlook vitu.
Again, labda huku kwetu tu…. Nchi zilizoendelea hujawahi sikia wanaume wakidai mgao wa divorce? Tunatakiwa tuelekee huko.
HaleluyahNaona timu KATAA NDOA wanazidi kujizolea umaarufu.
Ni mali sababu iko makumbusho, hata popote pale bado ingekuwa mali…..Kuna plot ipo makumbusho ni 20*15 inauzwa mil 70
HII SI MALI?
#YNWA
Nimeona wazee kibao hawana ndoa na WANASONGA.Oa kijana uzee unakuja
Wewe jifanye mjanja sasa hivi, ruka ruka tu. Kuna siku utanasa 😅😅😅😅Kuolewa sio lazima!
Kama unabisha nioneshe kaburi la mwanamke aliekua hajaolewa......🤸♀️
Tunajitoa sanaa kwenye jamii Ila NDOA ni BIG NOOOO.Baadhi ya wanaume kinachowakwamisha ni ubinafsi na kushindwa kwao kujitoa kwa ajili ya wengine na si vinginevyo.
Shetani ahusiki na SISI.Tena kwa kasi ya ajabu. Utadhan wametumwa na shetan😂
Kwa ukawaida wake huohuo zikipotea ZINA UMA.hizi mali zinazolalamiliwa na wanaume hawa mbona vitu vya kawaida tu?