Marry Chatanda wa UWT: Asema wakorofi wachezee ndevu na si kuchezea Dola

Marry Chatanda wa UWT: Asema wakorofi wachezee ndevu na si kuchezea Dola

Nimecheka kama mazuri. Kwa nguvu haswa.
b99ac6ec62796103.jpg


Hivi ni nani aliyeweza kuchezea "sharubu" za Simba yule?🤭😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kiongozi wa UWT asema watu wanaoikosoa Serikali wachezee ndevu na si kuchezea Dola. Nini maana ya kauli hii kwa wale wajuvi ya kiswahili?

Je, ni kama Jino kwa Jino au Ngangari na Ngunguri?
Mwambie aache kuiga misemo ya watu huo msemo aliwahi kuusema Raisi Salmin Amour Mzee wa kidombo Alisema hivi "Chezea ndevu chezea ndevu usichezee dola"
Ingia hapa utaona

View: https://youtu.be/UVFzbJ--7jM?si=8UvTSRuPUQpyFdoH
 
Back
Top Bottom