WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Ndiyo akome kuleta hoja za kijinga pia na watoto wake wasije wakaleta hoja za kijinga mbele ya jamii.Tujibu hoja sio personality ya mtu. Siasa za kishenzi hizo imagine ana watoto humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo akome kuleta hoja za kijinga pia na watoto wake wasije wakaleta hoja za kijinga mbele ya jamii.Tujibu hoja sio personality ya mtu. Siasa za kishenzi hizo imagine ana watoto humu.
Haelewi kwa sababu aliokotwa baani.Kukosoa serikali ni haki ya kikatiba na kiutu.
Huyu chawa anaelewa hilo?
Hata jambazi huchezewa sharubu na hungurufu kama anazoKule Msena alikolazwa watakuwa walichezea sana tu. Hata hivyo ndevu au sharubu nani anatakiwa achezee?
Je, wewe si mjinga unayesema hoja ya kijinga?Ndiyo akome kuleta hoja za kijinga pia na watoto wake wasije wakaleta hoja za kijinga mbele ya jamii.
Wewe mawazo yako yale maneno aliyotoa huyo mama yako unaona yana busara???Au yana afya kwa Watanzania??Je, wewe si mjinga unayesema hoja ya kijinga?
Umeipimaje ukagundua ni ta kijinga?
Una uhakika ni ya kijinga kwa kila mtu?
Mjinga huelimishwa na kuwekwa sawa, Je kutukana na kuleta udhushi usio na ushahid ambao unaweza ukafunguliwa kesi ya defarmation ndo njia ya kumuelimisha mjinga?
Mwisho, naomba nitajie parameters kumi unazotumia kutofautisha hoja ya kijinga na isiyo ya kijinga.
Issue yang na huyo jamaa haikua content bali ilikua ujibuji wake kwa kumuattack yule mama badala ya hoja.Wewe mawazo yako yale maneno aliyotoa huyo mama yako unaona yana busara???Au yana afya kwa Watanzania??
Maneno yapo mengi mara kuchezea sharubu mara kuchezea ndevu.Wewe mawazo yako yale maneno aliyotoa huyo mama yako unaona yana busara???Au yana afya kwa Watanzania??