Marry Chatanda wa UWT: Asema wakorofi wachezee ndevu na si kuchezea Dola

Nimecheka kama mazuri. Kwa nguvu haswa.

Hivi ni nani aliyeweza kuchezea "sharubu" za Simba yule?πŸ€­πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimecheka kama mazuri. Kwa nguvu haswa.

Hivi ni nani aliyeweza kuchezea "sharubu" za Simba yule?πŸ€­πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kule Msena alikolazwa watakuwa walichezea sana tu. Hata hivyo ndevu au sharubu nani anatakiwa achezee?
 
Kiongozi wa UWT asema watu wanaoikosoa Serikali wachezee ndevu na si kuchezea Dola. Nini maana ya kauli hii kwa wale wajuvi ya kiswahili?

Je, ni kama Jino kwa Jino au Ngangari na Ngunguri?
Mwambie aache kuiga misemo ya watu huo msemo aliwahi kuusema Raisi Salmin Amour Mzee wa kidombo Alisema hivi "Chezea ndevu chezea ndevu usichezee dola"
Ingia hapa utaona

View: https://youtu.be/UVFzbJ--7jM?si=8UvTSRuPUQpyFdoH
 
Je, Mary Chatanda ana mipango gani ya kuingiza wasichana nchini Tanzania kwenye uongozi wa jumuia ?
Kwa sababu anaonekana akiwa na wabibi TU kwenye jumuia yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…