Marry Chatanda wa UWT: Asema wakorofi wachezee ndevu na si kuchezea Dola

Ndiyo akome kuleta hoja za kijinga pia na watoto wake wasije wakaleta hoja za kijinga mbele ya jamii.
Je, wewe si mjinga unayesema hoja ya kijinga?
Umeipimaje ukagundua ni ta kijinga?
Una uhakika ni ya kijinga kwa kila mtu?
Mjinga huelimishwa na kuwekwa sawa, Je kutukana na kuleta udhushi usio na ushahid ambao unaweza ukafunguliwa kesi ya defarmation ndo njia ya kumuelimisha mjinga?
Mwisho, naomba nitajie parameters kumi unazotumia kutofautisha hoja ya kijinga na isiyo ya kijinga.
 
Wewe mawazo yako yale maneno aliyotoa huyo mama yako unaona yana busara???Au yana afya kwa Watanzania??
 
Wewe mawazo yako yale maneno aliyotoa huyo mama yako unaona yana busara???Au yana afya kwa Watanzania??
Issue yang na huyo jamaa haikua content bali ilikua ujibuji wake kwa kumuattack yule mama badala ya hoja.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…