Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Imagine 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mshono ukapasuka kwa matusi duh
Hahaha......labda mchezoMshono ukapasuka kwa matusi duh
UsalitiHivi NCCR inahitaji nguvu kubwa hivi kukiuwa?
Huyu ni kada wa CCMMsikilizeni jamani huyu kada wa Nccr Mageuzi anavyolalama👇
View attachment 2244044
Ukimtoa Mbatia pale hakuna chamaHivi NCCR inahitaji nguvu kubwa hivi kukiuwa?
Tangiapo ni uongoMmmmmgh halafu unaweza kukuta ni uongo
Hili litaga halioni hata aibu,linafikili CCM watalionea aibu lipate teuzi.Msikilizeni jamani huyu kada wa Nccr Mageuzi anavyolalama👇
View attachment 2244044
Gari mbili za Mbatia zilikuwa zikimfuatilia kwanini hakuchukua uamuzi wa kuisimamisha gari yake kisha angetulia ndani ya gari yake, je, Mbatia angeibeba gari yake na kimteka? Uongo unahitaji uendane na ukweli isiotia shaka, PGO.Msikilizeni jamani huyu kada wa Nccr Mageuzi anavyolalama👇
View attachment 2244044
Au angekutana na jiwe akaambiwa "haya kakae na mavi yako nyumbani", nadhani angeenda kushonwa upya hapohapo.Ninajaribu kutafakari iwapo angekutana na matusi ya BAVICHA hali ingekuwaje!