Msambichaka Mkinga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 1,649
- 2,911
Jambo moja nakubaliana nawe, elimu yetu ina mashaka makubwa! Fikiria mtu kama wewe, yawezakana umemaliza sekondari, ukaenda chuo ukapata certificate, lakini bado hujui kuwa BP hata ipande vipi haina uwezo wa kupasua mshono.Alitukanwa, pressure ikapanda mapigo ya moyo yakaongezeka, damu ikaenda kwa speed! Lakini mshono (kidonda) bado kibichi - mshono ukashindwa kuhimili speed ya damu ukaachia!
Je! Ulitaka aseme hayo ndo uelewe? Mimi nalaumu elimu yetu na lishe kabla ya kufikisha miaka mitano, siyo wewe!
Vijana wengi lishe imekuwa taabu utotoni akili zimedumaa! Uelewa ni mdogo sana. Bahati mbaya hawahawa ndio watakuwa (viongozi) wetu!