Martha Chiromba: Nilitukanwa matusi yote ya duniani na vijana wa Mbatia mpaka mshono wa operation ukatatuka nusu

Martha Chiromba: Nilitukanwa matusi yote ya duniani na vijana wa Mbatia mpaka mshono wa operation ukatatuka nusu

Alitukanwa, pressure ikapanda mapigo ya moyo yakaongezeka, damu ikaenda kwa speed! Lakini mshono (kidonda) bado kibichi - mshono ukashindwa kuhimili speed ya damu ukaachia!
Je! Ulitaka aseme hayo ndo uelewe? Mimi nalaumu elimu yetu na lishe kabla ya kufikisha miaka mitano, siyo wewe!
Vijana wengi lishe imekuwa taabu utotoni akili zimedumaa! Uelewa ni mdogo sana. Bahati mbaya hawahawa ndio watakuwa (viongozi) wetu!
Jambo moja nakubaliana nawe, elimu yetu ina mashaka makubwa! Fikiria mtu kama wewe, yawezakana umemaliza sekondari, ukaenda chuo ukapata certificate, lakini bado hujui kuwa BP hata ipande vipi haina uwezo wa kupasua mshono.
 
Msikilizeni jamani huyu kada wa Nccr Mageuzi anavyolalama.

VIDEO:
Katibu Mkuu NCCR Mageuzi Bi. Martha Chiomba akieleza namna alivyotukanwa na kudhalilishwa na wanaoitwa 'Makada wa NCCR Mageuzi', amtupia lawama James Mbatia kwa kuona udhalilishaji huo na kisha kukaa kimya licha ya taarifa kupewa.
View attachment 2244044
Akae home alee watoto.
 
Nchi ya hovyo sana hii. Sheria zimetupwa.
Mama kanuna, Kisa tu Mbatia kajitoa kikosi kazi. Wanamuonesha nguvu ya dola.
Samia acha hizi mambo za KISHETANI.
Si mnasema maza anaupiga mwingi?
 
Wanawake wanatakiwa kutazamwa,siyo kusikilizwa .
Ukweli ni kwamba wanawake wengi kama siyo wote waliopo kwenye siasa wapo hapo kwa jitihada za Tobo zao za chini na siyo kwa Akili zao vichwani sasa hiki tokea kwa bahati wamepata vyeo vikubwa vyenye kuitaji akili hapo ndipo tunapo ona vituko, Samia nikielelezo kamili cha haya ninayo sema , KIELELEZO CHA VIONGOZI WANAOTOKANA NA MATOBO SIYO AKILI.
 
Aisee!!! Alituka wa hadi mshono ukatatuka really. Najaribu kujiuliza huyu Mama how emotional she's?
 
Back
Top Bottom