Martha Karua na wenzake wakawaulize makaburu kuhusu balaa la vyombo vya dola vya Tanzania kabla hawajajilaumu mbeleni

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Ninasikitika sana nikiona mitandaoni watu wakiwasifu kina Martha Karua na wanaharakati ushuzi wengine wakidhani wanaweza kuitikisa serikali ya Tanzania. Ninasisitiza kuwa serikali ya Tanzania chini ya CCM ni serikali imara kuliko wajinga wengi wanavyodhani. Makaburu na ubabe wao wote walikuwa hawathubutu kuingia ndani ya Tanzania na kufanya uhuni wowote ule.

Ikumbukwe kambia za wapigania uhuru wa Afrika kusini na South Rhodesia (Zimbabwe) zilikuwa nchini Zambia na Tanzania enzi hizo ila ikabidi wapigania uhuru wengi wahamie Tanzania kutoka Zambia. Sababu kuu ilikuwa ni makaburu kutoiogopa serikali ya Zambia na kuingia Zambia kihuni kuwaua wapigania uhuru kwenye kambi zao. Rais Kenneth Kaunda alikuwa akitishwa kuwa akithubutu kuingilia basi Zambia itavamiwa kijeshi akawa anaufyata.

Mwaka 1978 makaburu wa South Rhodesia walivamia kambi ya wapigania uhuru iliyokuwa Mkushi, Zambia na kuua zaidi ya wapigania uhuru wanawake 1500 kisha kurudi zao kwao. Ilikuwa ni unyama wa hali ya juu ambapo Kaunda kwa kuogopa kuvamiwa hakufanya lolote. Wapigania uhuru walionusurika walihamishiwa Mgagao, Tanzania.

Matukio yote ya kufanya uhuni ndani ya Tanzania yalizimwa kibabe na vyombo vyetu vya usalama na kuhakikisha wapigania uhuru wako salama. Soma hapa story nzima ya mauaji Mkushi.. Bei Facebook anmelden

Ninamsihi Martha Karua na wapuuzi wengine kuacha mara moja kucheza na moto utakaowaunguza vibaya.

PICHANI; Mabaki ya miili ya marehemu wa mauaji ya Mkushi ikizikwa kwenye makaburi ya halaiki.
 
Attachments

  • FB_IMG_1747769860486.jpg
    FB_IMG_1747769860486.jpg
    29.1 KB · Views: 39
Bado upo hapo Kwa Shemeji Yako au? The stories are quiet different. Mbona Ccm wajinga ni wengi sana na Ndio mnaopewa platform ya kuongea publicly. Kwa hivi unavyoandika Kuna namna mnaweza kujitenga na mauaji na utekaji unaoendelea humu nchini Kwa ajili tu ya kubakia madarakani?
 
Ninasikitika sana nikiona mitandaoni watu wakiwasifu kina Martha Karua na wanaharakati ushuzi wengine wakidhani wanaweza kuitikisa serikali ya Tanzania. Ninasisitiza kuwa serikali ya Tanzania chini ya CCM ni serikali imara kuliko wajinga wengi wanavyodhani. Makaburu na ubabe wao wote walikuwa hawathubutu kuingia ndani ya Tanzania na kufanya uhuni wowote ule.

Ikumbukwe kambia za wapigania uhuru wa Afrika kusini na South Rhodesia (Zimbabwe) zilikuwa nchini Zambia na Tanzania enzi hizo ila ikabidi wapigania uhuru wengi wahamie Tanzania kutoka Zambia. Sababu kuu ilikuwa ni makaburu kutoiogopa serikali ya Zambia na kuingia Zambia kihuni kuwaua wapigania uhuru kwenye kambi zao. Rais Kenneth Kaunda alikuwa akitishwa kuwa akithubutu kuingilia basi Zambia itavamiwa kijeshi akawa anaufyata.

Mwaka 1978 makaburu wa South Rhodesia walivamia kambi ya wapigania uhuru iliyokuwa Mkushi, Zambia na kuua zaidi ya wapigania uhuru wanawake 1500 kisha kurudi zao kwao. Ilikuwa ni unyama wa hali ya juu ambapo Kaunda kwa kuogopa kuvamiwa hakufanya lolote. Wapigania uhuru walionusurika walihamishiwa Mgagao, Tanzania.

Matukio yote ya kufanya uhuni ndani ya Tanzania yalizimwa kibabe na vyombo vyetu vya usalama na kuhakikisha wapigania uhuru wako salama. Soma hapa story nzima ya mauaji Mkushi.. Bei Facebook anmelden

Ninamsihi Martha Karua na wapuuzi wengine kuacha mara moja kucheza na moto utakaowaunguza vibaya.

PICHANI; Mabaki ya miili ya marehemu wa mauaji ya Mkushi ikizikwa kwenye makaburi ya halaiki.
Unamaana mdude ndo basi tena .tutafute SEHEMU yoyote YENYE mashaka tufukue tuone Kama tutaambulia chochote?
 
Eduardo Mondlane muanzilishi wa Frelimo aliuwawa na bomu Dar es Salam ,ndege za Wareno zilidondosha mabomu Nachingwea, Kuna ndege ilidondosha vipeperushi nchi nzima miaka ya sitini kupinga serikali ya Nyerere ndege ya ATC ilitekwa na bastola za bandia za watoto nk.
Hujui kitu hata wazazi wako walikuwa hawajui kusoma nyakati hizo.
 
Makaburu walishawahi kuingia nchini na kufanya shambulio hadharani?
 
Ninasikitika sana nikiona mitandaoni watu wakiwasifu kina Martha Karua na wanaharakati ushuzi wengine wakidhani wanaweza kuitikisa serikali ya Tanzania. Ninasisitiza kuwa serikali ya Tanzania chini ya CCM ni serikali imara kuliko wajinga wengi wanavyodhani. Makaburu na ubabe wao wote walikuwa hawathubutu kuingia ndani ya Tanzania na kufanya uhuni wowote ule.

Ikumbukwe kambia za wapigania uhuru wa Afrika kusini na South Rhodesia (Zimbabwe) zilikuwa nchini Zambia na Tanzania enzi hizo ila ikabidi wapigania uhuru wengi wahamie Tanzania kutoka Zambia. Sababu kuu ilikuwa ni makaburu kutoiogopa serikali ya Zambia na kuingia Zambia kihuni kuwaua wapigania uhuru kwenye kambi zao. Rais Kenneth Kaunda alikuwa akitishwa kuwa akithubutu kuingilia basi Zambia itavamiwa kijeshi akawa anaufyata.

Mwaka 1978 makaburu wa South Rhodesia walivamia kambi ya wapigania uhuru iliyokuwa Mkushi, Zambia na kuua zaidi ya wapigania uhuru wanawake 1500 kisha kurudi zao kwao. Ilikuwa ni unyama wa hali ya juu ambapo Kaunda kwa kuogopa kuvamiwa hakufanya lolote. Wapigania uhuru walionusurika walihamishiwa Mgagao, Tanzania.

Matukio yote ya kufanya uhuni ndani ya Tanzania yalizimwa kibabe na vyombo vyetu vya usalama na kuhakikisha wapigania uhuru wako salama. Soma hapa story nzima ya mauaji Mkushi.. Bei Facebook anmelden

Ninamsihi Martha Karua na wapuuzi wengine kuacha mara moja kucheza na moto utakaowaunguza vibaya.

PICHANI; Mabaki ya miili ya marehemu wa mauaji ya Mkushi ikizikwa kwenye makaburi ya halaiki.
ccm haipo imara ndiyo maana inabaka demokrasia inawabambikia kesi wapinzani ccm ni chama cha kishetani kwa sasa kwani kimekumbatia mambo yote ya hovyo
 
Naona umevuta Bangi weee huko Gheto kwako na makala wako ukaona uje na mifano ya kijinga ukazani watanzania ni wajinga kama nyinyi chawaccm mliojitoa fahamu zote
Na mmejisahau kuwa Serikali ya ccm imekuwa ikiingilia Nchi nyingi tokea zamani na sasa wapo congo na wapo msumbiji pia
 
Enzi hizo hatukuwa na haka katabaka ka washenzi washenzi wanaojiita waheshimiwa , wote tuliishi kama ndugu wa Tanzania, leo tuna chura viziwi wasiotaka hata kutega sikio kusikiliza wa Tanzania wenzao
Mpaka sasa Serikali ya ccm huingilia serikali za Nchi ingine wapo msumbiji na wapo Congo
 
Vitendo haramu vya kishetani tokea ccm kwenda chadema ndiyo sumu ya maendeleo kwa sasa kwani pesa nyinyi za walipa kodi hutumika kuidhoofisha chadema badala ya kuleta maendeleo
 
Back
Top Bottom