Cha msingi ni kwamba Tanzania huwa inaingilia Serikali zingine hata marehemu kabila , obote walitokea TanzaniaMsumbiji waliokolewa na Rwanda.Congo M23 wanagawa mikong'onto tu.

Namjibu huyo MamaSamia 2025Hakuna unachoongea zaidi ya propaganda,Unasifia Tanzania, lini tuliweza kuwapiga Makaburu nyani wewe? Hatukuwa na impact yoyote ila tulikuwa na kiongozi kichaa aliyewanyima kuangalia TV (Lakini yeye, mkewe na watoto zake akina Makongoro hawakuzuiwa). Hivi wewe boya kuna nchi ambayo ingeiweza South Africa ya Makaburu punda wewe? Hao walikuwa na Nuclear bombs nyingi (Waliamua kuziharibu kwa uamuzi wao, la sivyo wangezitumia kwenye frontline states hakuna ambaye angelinyanyua domo), Linganisha jeshi letu na la SA, au hata la kenya, angalia kwenye Firepower comparison, hata South Sudan wametushinda tupo nyuma mno, ndege za zamani za mabati mazito J-7N, na shenyang -6 zote za kabla ya WWII. Punguza munkari wewe. Acha ujinga wewe, Wakenya wanajitambua, unajilinganisha na wakenya wewe? Wapo mbele yetu sana, angalia GDP yao, karibia mara mbili yetu wewe, angalia miji yao hata midogo, hakuna miji yetu ya kulinganisha nayo, Middle class yao ni asilimia 48, sisi asilimia 9, Acha kuandika ujinga, nenda shule za huko duniani siyo za CCM za kufundisha propaganda.Cha msingi ni kwamba Tanzania huwa inaingilia Serikali zingine hata marehemu kabila , obote walitokea Tanzania
Cha msingi ni kwamba Tanzania huwa inaingilia Serikali zingine hata marehemu kabila , obote walitokea Tanzania
Wengine nyie kweli mnajua kujamba ushuzi, RSA ya wakati ule ilikuwa na Nuclear, First World halafu waogope Tanzania? Walikua wanaheshimu mipaka tu. Wakati wewe ni ombaomba 100% plus, hadi chupiNinasikitika sana nikiona mitandaoni watu wakiwasifu kina Martha Karua na wanaharakati ushuzi wengine wakidhani wanaweza kuitikisa serikali ya Tanzania. Ninasisitiza kuwa serikali ya Tanzania chini ya CCM ni serikali imara kuliko wajinga wengi wanavyodhani. Makaburu na ubabe wao wote walikuwa hawathubutu kuingia ndani ya Tanzania na kufanya uhuni wowote ule.
Ikumbukwe kambia za wapigania uhuru wa Afrika kusini na South Rhodesia (Zimbabwe) zilikuwa nchini Zambia na Tanzania enzi hizo ila ikabidi wapigania uhuru wengi wahamie Tanzania kutoka Zambia. Sababu kuu ilikuwa ni makaburu kutoiogopa serikali ya Zambia na kuingia Zambia kihuni kuwaua wapigania uhuru kwenye kambi zao. Rais Kenneth Kaunda alikuwa akitishwa kuwa akithubutu kuingilia basi Zambia itavamiwa kijeshi akawa anaufyata.
Mwaka 1978 makaburu wa South Rhodesia walivamia kambi ya wapigania uhuru iliyokuwa Mkushi, Zambia na kuua zaidi ya wapigania uhuru wanawake 1500 kisha kurudi zao kwao. Ilikuwa ni unyama wa hali ya juu ambapo Kaunda kwa kuogopa kuvamiwa hakufanya lolote. Wapigania uhuru walionusurika walihamishiwa Mgagao, Tanzania.
Matukio yote ya kufanya uhuni ndani ya Tanzania yalizimwa kibabe na vyombo vyetu vya usalama na kuhakikisha wapigania uhuru wako salama. Soma hapa story nzima ya mauaji Mkushi.. Bei Facebook anmelden
Ninamsihi Martha Karua na wapuuzi wengine kuacha mara moja kucheza na moto utakaowaunguza vibaya.
PICHANI; Mabaki ya miili ya marehemu wa mauaji ya Mkushi ikizikwa kwenye makaburi ya halaiki.
Unajua Chambeshi Bridge? Liko wapi? Hilo ni Daraja la Tazara lilibomolewa kwa mabomu na nani? Halafu acha propoganda wewe ulikua unasikiliza RTD tu, unajua accidents ngapi zimewahi kutokea na kurepotiwa? Unajua Lugalo barracks wamewahi kuingia majasusi na risasi zikarindima na kuna watu walikufa na muIsraeli mmoja alikufa?Makaburu walishawahi kuingia nchini na kufanya shambulio hadharani?
Bado sana huyo.Anadhani ingekuwa kipindi kama hiki cha ku-hack akaunti ingekuwaje?Unajua Chambeshi Bridge? Liko wapi? Hilo ni Daraja la Tazara lilibomolewa kwa mabomu na nani? Halafu acha propoganda wewe ulikua unasikiliza RTD tu, unajua accidents ngapi zimewahi kutokea na kurepotiwa? Unajua Lugalo barracks wamewahi kuingia majasusi na risasi zikarindima na kuna watu walikufa na muIsraeli mmoja alikufa?
Walikua wanaingia na kutoka, shukuru sana Nyerere alikua rafiki wa west
Ninasikitika sana nikiona mitandaoni watu wakiwasifu kina Martha Karua na wanaharakati ushuzi wengine wakidhani wanaweza kuitikisa serikali ya Tanzania. Ninasisitiza kuwa serikali ya Tanzania chini ya CCM ni serikali imara kuliko wajinga wengi wanavyodhani. Makaburu na ubabe wao wote walikuwa hawathubutu kuingia ndani ya Tanzania na kufanya uhuni wowote ule.
Ikumbukwe kambia za wapigania uhuru wa Afrika kusini na South Rhodesia (Zimbabwe) zilikuwa nchini Zambia na Tanzania enzi hizo ila ikabidi wapigania uhuru wengi wahamie Tanzania kutoka Zambia. Sababu kuu ilikuwa ni makaburu kutoiogopa serikali ya Zambia na kuingia Zambia kihuni kuwaua wapigania uhuru kwenye kambi zao. Rais Kenneth Kaunda alikuwa akitishwa kuwa akithubutu kuingilia basi Zambia itavamiwa kijeshi akawa anaufyata.
Mwaka 1978 makaburu wa South Rhodesia walivamia kambi ya wapigania uhuru iliyokuwa Mkushi, Zambia na kuua zaidi ya wapigania uhuru wanawake 1500 kisha kurudi zao kwao. Ilikuwa ni unyama wa hali ya juu ambapo Kaunda kwa kuogopa kuvamiwa hakufanya lolote. Wapigania uhuru walionusurika walihamishiwa Mgagao, Tanzania.
Matukio yote ya kufanya uhuni ndani ya Tanzania yalizimwa kibabe na vyombo vyetu vya usalama na kuhakikisha wapigania uhuru wako salama. Soma hapa story nzima ya mauaji Mkushi.. Bei Facebook anmelden
Ninamsihi Martha Karua na wapuuzi wengine kuacha mara moja kucheza na moto utakaowaunguza vibaya.
PICHANI; Mabaki ya miili ya marehemu wa mauaji ya Mkushi ikizikwa kwenye makaburi ya halaiki.
Usichanganye Mambo bro, walikuwepo kwenye kipindi hicho kwenye vyombo vya dola, wengi Hawaii, pia kipindi hicho tulikuwa tunapambana na apartheid system, na ukoloni, wale waliitetea nchi na Africa, vyombo vya dola sasa hv vinatetea matumbo Yao,Ninasikitika sana nikiona mitandaoni watu wakiwasifu kina Martha Karua na wanaharakati ushuzi wengine wakidhani wanaweza kuitikisa serikali ya Tanzania. Ninasisitiza kuwa serikali ya Tanzania chini ya CCM ni serikali imara kuliko wajinga wengi wanavyodhani. Makaburu na ubabe wao wote walikuwa hawathubutu kuingia ndani ya Tanzania na kufanya uhuni wowote ule.
Ikumbukwe kambia za wapigania uhuru wa Afrika kusini na South Rhodesia (Zimbabwe) zilikuwa nchini Zambia na Tanzania enzi hizo ila ikabidi wapigania uhuru wengi wahamie Tanzania kutoka Zambia. Sababu kuu ilikuwa ni makaburu kutoiogopa serikali ya Zambia na kuingia Zambia kihuni kuwaua wapigania uhuru kwenye kambi zao. Rais Kenneth Kaunda alikuwa akitishwa kuwa akithubutu kuingilia basi Zambia itavamiwa kijeshi akawa anaufyata.
Mwaka 1978 makaburu wa South Rhodesia walivamia kambi ya wapigania uhuru iliyokuwa Mkushi, Zambia na kuua zaidi ya wapigania uhuru wanawake 1500 kisha kurudi zao kwao. Ilikuwa ni unyama wa hali ya juu ambapo Kaunda kwa kuogopa kuvamiwa hakufanya lolote. Wapigania uhuru walionusurika walihamishiwa Mgagao, Tanzania.
Matukio yote ya kufanya uhuni ndani ya Tanzania yalizimwa kibabe na vyombo vyetu vya usalama na kuhakikisha wapigania uhuru wako salama. Soma hapa story nzima ya mauaji Mkushi.. Bei Facebook anmelden
Ninamsihi Martha Karua na wapuuzi wengine kuacha mara moja kucheza na moto utakaowaunguza vibaya.
PICHANI; Mabaki ya miili ya marehemu wa mauaji ya Mkushi ikizikwa kwenye makaburi ya halaiki.
Nilingiaga huko wakati wa utawala wa kaburu....licha ya misusuko huko kwa watu weusiKaburu mmoja tu alishika ndege mpaka Ramaphosa akaingilia kati...
Huyo jamaa haelewi hata anaongea niniEnzi hizo tulikuwa tunapigania kuikomboa Afrika,
Saiz tunalinda mafisadi na wizi wa kura,
Sasa huoni hizi ni scenario mbili tofauti?
Umeiongelea Tanzania tofauti na hii. Tanzania ile ilijali na kuthamini damu za watu wake. Tofauti za kisiasa hazikusababisha kumwaga damu na kupoteza maisha ya watu kinyama kama leo.Ninasikitika sana nikiona mitandaoni watu wakiwasifu kina Martha Karua na wanaharakati ushuzi wengine wakidhani wanaweza kuitikisa serikali ya Tanzania. Ninasisitiza kuwa serikali ya Tanzania chini ya CCM ni serikali imara kuliko wajinga wengi wanavyodhani. Makaburu na ubabe wao wote walikuwa hawathubutu kuingia ndani ya Tanzania na kufanya uhuni wowote ule.
Ikumbukwe kambia za wapigania uhuru wa Afrika kusini na South Rhodesia (Zimbabwe) zilikuwa nchini Zambia na Tanzania enzi hizo ila ikabidi wapigania uhuru wengi wahamie Tanzania kutoka Zambia. Sababu kuu ilikuwa ni makaburu kutoiogopa serikali ya Zambia na kuingia Zambia kihuni kuwaua wapigania uhuru kwenye kambi zao. Rais Kenneth Kaunda alikuwa akitishwa kuwa akithubutu kuingilia basi Zambia itavamiwa kijeshi akawa anaufyata.
Mwaka 1978 makaburu wa South Rhodesia walivamia kambi ya wapigania uhuru iliyokuwa Mkushi, Zambia na kuua zaidi ya wapigania uhuru wanawake 1500 kisha kurudi zao kwao. Ilikuwa ni unyama wa hali ya juu ambapo Kaunda kwa kuogopa kuvamiwa hakufanya lolote. Wapigania uhuru walionusurika walihamishiwa Mgagao, Tanzania.
Matukio yote ya kufanya uhuni ndani ya Tanzania yalizimwa kibabe na vyombo vyetu vya usalama na kuhakikisha wapigania uhuru wako salama. Soma hapa story nzima ya mauaji Mkushi.. Bei Facebook anmelden
Ninamsihi Martha Karua na wapuuzi wengine kuacha mara moja kucheza na moto utakaowaunguza vibaya.
PICHANI; Mabaki ya miili ya marehemu wa mauaji ya Mkushi ikizikwa kwenye makaburi ya halaiki.
mkumbushe na suala la kibiti lilivyosumbua,mkumbushe na issue ya mapango ya Amboni.Eduardo Mondlane muanzilishi wa Frelimo aliuwawa na bomu Dar es Salam ,ndege za Wareno zilidondosha mabomu Nachingwea, Kuna ndege ilidondosha vipeperushi nchi nzima miaka ya sitini kupinga serikali ya Nyerere ndege ya ATC ilitekwa na bastola za bandia za watoto nk.
Hujui kitu hata wazazi wako walikuwa hawajui kusoma nyakati hizo.