MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Jaribu na wewe kufanya harakati za kipimbi kisha sikiliziaUna linganisha karne ya 20 na 21.
This is 21 century.
Watu sio wajinga tena.
Unamaana mdude ndo basi tena .tutafute SEHEMU yoyote YENYE mashaka tufukue tuone Kama tutaambulia chochote?Ninasikitika sana nikiona mitandaoni watu wakiwasifu kina Martha Karua na wanaharakati ushuzi wengine wakidhani wanaweza kuitikisa serikali ya Tanzania. Ninasisitiza kuwa serikali ya Tanzania chini ya CCM ni serikali imara kuliko wajinga wengi wanavyodhani. Makaburu na ubabe wao wote walikuwa hawathubutu kuingia ndani ya Tanzania na kufanya uhuni wowote ule.
Ikumbukwe kambia za wapigania uhuru wa Afrika kusini na South Rhodesia (Zimbabwe) zilikuwa nchini Zambia na Tanzania enzi hizo ila ikabidi wapigania uhuru wengi wahamie Tanzania kutoka Zambia. Sababu kuu ilikuwa ni makaburu kutoiogopa serikali ya Zambia na kuingia Zambia kihuni kuwaua wapigania uhuru kwenye kambi zao. Rais Kenneth Kaunda alikuwa akitishwa kuwa akithubutu kuingilia basi Zambia itavamiwa kijeshi akawa anaufyata.
Mwaka 1978 makaburu wa South Rhodesia walivamia kambi ya wapigania uhuru iliyokuwa Mkushi, Zambia na kuua zaidi ya wapigania uhuru wanawake 1500 kisha kurudi zao kwao. Ilikuwa ni unyama wa hali ya juu ambapo Kaunda kwa kuogopa kuvamiwa hakufanya lolote. Wapigania uhuru walionusurika walihamishiwa Mgagao, Tanzania.
Matukio yote ya kufanya uhuni ndani ya Tanzania yalizimwa kibabe na vyombo vyetu vya usalama na kuhakikisha wapigania uhuru wako salama. Soma hapa story nzima ya mauaji Mkushi.. Bei Facebook anmelden
Ninamsihi Martha Karua na wapuuzi wengine kuacha mara moja kucheza na moto utakaowaunguza vibaya.
PICHANI; Mabaki ya miili ya marehemu wa mauaji ya Mkushi ikizikwa kwenye makaburi ya halaiki.
Makaburu walishawahi kuingia nchini na kufanya shambulio hadharani?Eduardo Mondlane muanzilishi wa Frelimo aliuwawa na bomu Dar es Salam ,ndege za Wareno zilidondosha mabomu Nachingwea, Kuna ndege ilidondosha vipeperushi nchi nzima miaka ya sitini kupinga serikali ya Nyerere ndege ya ATC ilitekwa na bastola za bandia za watoto nk.
Hujui kitu hata wazazi wako walikuwa hawajui kusoma nyakati hizo.
ccm haipo imara ndiyo maana inabaka demokrasia inawabambikia kesi wapinzani ccm ni chama cha kishetani kwa sasa kwani kimekumbatia mambo yote ya hovyoNinasikitika sana nikiona mitandaoni watu wakiwasifu kina Martha Karua na wanaharakati ushuzi wengine wakidhani wanaweza kuitikisa serikali ya Tanzania. Ninasisitiza kuwa serikali ya Tanzania chini ya CCM ni serikali imara kuliko wajinga wengi wanavyodhani. Makaburu na ubabe wao wote walikuwa hawathubutu kuingia ndani ya Tanzania na kufanya uhuni wowote ule.
Ikumbukwe kambia za wapigania uhuru wa Afrika kusini na South Rhodesia (Zimbabwe) zilikuwa nchini Zambia na Tanzania enzi hizo ila ikabidi wapigania uhuru wengi wahamie Tanzania kutoka Zambia. Sababu kuu ilikuwa ni makaburu kutoiogopa serikali ya Zambia na kuingia Zambia kihuni kuwaua wapigania uhuru kwenye kambi zao. Rais Kenneth Kaunda alikuwa akitishwa kuwa akithubutu kuingilia basi Zambia itavamiwa kijeshi akawa anaufyata.
Mwaka 1978 makaburu wa South Rhodesia walivamia kambi ya wapigania uhuru iliyokuwa Mkushi, Zambia na kuua zaidi ya wapigania uhuru wanawake 1500 kisha kurudi zao kwao. Ilikuwa ni unyama wa hali ya juu ambapo Kaunda kwa kuogopa kuvamiwa hakufanya lolote. Wapigania uhuru walionusurika walihamishiwa Mgagao, Tanzania.
Matukio yote ya kufanya uhuni ndani ya Tanzania yalizimwa kibabe na vyombo vyetu vya usalama na kuhakikisha wapigania uhuru wako salama. Soma hapa story nzima ya mauaji Mkushi.. Bei Facebook anmelden
Ninamsihi Martha Karua na wapuuzi wengine kuacha mara moja kucheza na moto utakaowaunguza vibaya.
PICHANI; Mabaki ya miili ya marehemu wa mauaji ya Mkushi ikizikwa kwenye makaburi ya halaiki.
Acha Ujinga wewe Serikali ya Tanzania iliwaingilia sana makaburu kwa kuanzisha kambi kibao za wapigania uhuru morogoroMakaburu walishawahi kuingia nchini na kufanya shambulio hadharani?
Chawaccm wamegeuka madalali wa Siasa wanatumia pesa za walipa kodi kuwanunua G55 badala ya maendeleoEnzi kulikuwa hakuna chawa.
Leo watawala wanaiba pesa utafikiri wakifa wanaondoka nazo.
Chawaccm wanavuta Bangi ghetto kwa makala kisha wanakuja kusumbua watu mitandaoniKutetea upumbavu unapaswa uwe na moyo na akili kama mwendawazimu.
Mpaka sasa Serikali ya ccm huingilia serikali za Nchi ingine wapo msumbiji na wapo CongoEnzi hizo hatukuwa na haka katabaka ka washenzi washenzi wanaojiita waheshimiwa , wote tuliishi kama ndugu wa Tanzania, leo tuna chura viziwi wasiotaka hata kutega sikio kusikiliza wa Tanzania wenzao
Msumbiji waliokolewa na Rwanda.Congo M23 wanagawa mikong'onto tu.Mpaka sasa Serikali ya ccm huingilia serikali za Nchi ingine wapo msumbiji na wapo Congo