Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
At last Kenya is waking up after a 3:0 defeat by Tanzania for Speakership, vice /deputy Presidency n Presidency! Congratulations slumber!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado process haijakamilika Ndugu..Tume ya kupitisha jina la atakayekuwa Jaji Mkuu wa Kenya baada ya kuisha muda wa Jaji mstaafu David Maraga imepitsha jina la Jaji Martha Koome kuchukua nafasi hiyo.
Koome anakuwa mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu nchini Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla.
Si haba, akina mama wanazidi kupanda ngazi. Karibu justice Koome.
View attachment 1765752
Nyinyi watu mna taasubi za kiume za hali ya juu. Nyinyi hamjawahi kumchagua rais mwanamke. Huyu Samia hajachaguliwa kuwa rais na wananchi. Wananchi walimchagua kuwa makamu wa rais ila katiba inamruhusu kuwa rais ikiwa Rais atafariki. Subiri hadi Watanzania wampigie kura kama mgombea rais halafu mumchague yeye ili uje hapa kujipiga kifua. Hata Malawi kulikuwa na naibu rais aliyechukua usukani wakati rais alipokufa lakini wakati wa uchaguzi mkuu ulipofika, Wananchi wa malawi hawakumchagua. Walichagua mwanaume. Kuna mwanamke mmoja tu katika historia nzima ya Africa aliyegombea urais na kupigiwa kura na wananchi wake. Huyo mwanamke anaitwa Hellen Johnson Sirleaf wa Liberia.Hongereni jinai,
Lakini bado sana mna safari ndefu mpaka na nyie siku mje toa Makamu Rais Mwanamke na Rais Mwanamke kama TZ.
wewe pumbavu kweli aligombea kama mgombea mwenza na mpiga kura yeyote aliyepigia kura CCM Urais alijua uwezekano wa Samia kuwa Rais na isitoshe 2025 atagombea tena! Nyie mko nyuma EA kwa equal opportunity for all! Mna gender imbalance ya hali ya juu! Hata baraza lenu la Mawaziri lina wanawake wachache kama Mawaziri! Usianze ubishi! Hata kuchaguwa CJ kama Samia asingekuwa kawa rais sidhani kama huyu wenu angekuwa considered! Sisi tushakuwa na Speaker mwanamke Makamu Rais Mwanamke pia nyie ndo mnaanza saahii!Nyinyi watu mna taasubi za kiume za hali ya juu. Nyinyi hamjawahi kumchagua rais mwanamke. Huyu Samia hajachaguliwa kuwa rais na wananchi. Wananchi walimchagua kuwa makamu wa rais ila katiba inamruhusu kuwa rais ikiwa Rais atafariki. Subiri hadi Watanzania wampigie kura kama mgombea rais halafu mumchague yeye ili uje hapa kujipiga kifua. Hata Malawi kulikuwa na naibu rais aliyechukua usukani wakati rais alipokufa lakini wakati wa uchaguzi mkuu ulipofika, Wananchi wa malawi hawakumchagua. Walichagua mwanaume. Kuna mwanamke mmoja tu katika historia nzima ya Africa aliyegombea urais na kupigiwa kura na wananchi wake. Huyo mwanamke anaitwa Hellen Johnson Sirleaf wa Liberia.
Pumbavu ni wewe. Nangoja ile siku mtampigia yeye kura kama mgombea rais. Magufuli ndiye alikuwa mgombea 2015 na 2020. Wacha 2025 ifike agombee urais tuone kama atachaguliwawewe pumbavu kweli aligombea kama mgombea mwenza na mpiga kura yeyote aliyepigia kura CCM Urais alijua uwezekano wa Samia kuwa Rais na isitoshe 2025 atagombea tena! Nyie mko nyuma EA kwa equal opportunity for all! Mna gender imbalance ya hali ya juu! Hata baraza lenu la Mawaziri lina wanawake wachache kama Mawaziri! Usianze ubishi! Hata kuchaguwa CJ kama Samia asingekuwa kawa rais sidhani kama huyu wenu angekuwa considered! Sisi tushakuwa na Speaker mwanamke Makamu Rais Mwanamke pia nyie ndo mnaanza saahii!
Naona mna-learn the ropes on gender balance from Tanzania!Pumbavu ni wewe na nyanyako. Nangoja ile siku mtampigia yeye kura kama mgombea rais. Magufuli ndiye alikuwa mgombea 2015 na 2020. Wacha 2025 ifike agombee urais tuone kama atachaguliwa
Hellen Johnson Sirleaf ndiye the only woman who has campaigned as a presidential candidate and been elected. Katika historia ya Africa kuna wanawake wengi sana ambao waligombea urais lakini wote walishindwa isipokuwa Hellen Johnson Sirleaf aliyechaguliwa mara mbili na raia kwenye ballot box. Rais wanawake wa Tanzania na Rais wa Malawi wamekuwa rais tu kwa sababu ya janga ila wao hawakuchaguliwa na wananchi kuwa rais.Naona mna-learn the ropes on gender balance from Tanzania!
Halafu mama Samia hajawahi kugombea urais. Yeye alichaguliwa na Magufuli kuwa mgombea mwenza maanake yeye ni deputy wa Magufuli. 2025 ndio itakuwa mara ya kwanza mama Samia kugombea urais.Naona mna-learn the ropes on gender balance from Tanzania!
Here are the scores inasome
Tanzania 3 ( Lady President, deputy/vice President, speaker) : 1 (Lady Chief Judge) Kenya
[https://eafeed-com]Fafanua kuhusu huyo msomali mkuu
Wewe huko Kunyaland lini mmekuwa na deputy/vice President hata wa kuteuliwa? kwa hiyo hakufanya kampeni kugombea Umakamu Urais na Urais kwa CCM?Halafu mama Samia hajawahi kugombea urais. Yeye alichaguliwa na Magufuli kuwa mgombea mwenza maanake yeye ni deputy wa Magufuli. 2025 ndio itakuwa mara ya kwanza mama Samia kugombea urais.
Ahmedir Nasser kama sijakosea ni mwanasheria kihiyo lakini kwa kutumia pesa za Alshababu amefanikiwa sana kimaisha kwa kutumia hizo pesa kuwahonga majaji,wanasheria na watu wa vyombo vingine vya sheria, kila kesi ya mabilioni utamkuta yupo na kila kesi anashinda kimagumashi na si kwa weledi wakeFafanua kuhusu huyo msomali mkuu
Nenda kwanza ukamchambue historia yake huyo mama, ukimaliza utapata jibu!Itawasaidia nini wanawake!??