Jitu zima hilo kweli lilitumika au walikuwa wanatumiana!?Nathan alitumia nafasi yake ya umeneja kumtumia Rose Muhando kimapenzi pamoja na kuwa alikuwa mume wa mtu.
Mimi nadhani Nathani sio wa kulaumiwa, Rose Mhando sio mtoto mdogo kiasi cha kufanyiwa hayo huku akiangalia tu, hivi inakuchukua muda gani kugundua kwamba mtu unaefanya nae kazi anakutumia na anakudhulumu ?, Rose aliwahi kufanya makosa ya maadili yeye kama muimbaji wa Injili Viongozi wa dini wakamuonya, badala ya kujihoji akawa antoa majibu ya dhihaka na kejeli kwa wale waliokuwa wanamshauri, kumbe angeweza kujishusha na kutafakari maneno ya washauri kwani walikuwa wanamtakia mema, yeye kwa ujeuri ya hela alizokuwa nazo akawaona hawafai, lakini mtu anawezeje kukutumia Kimapenzi bila utashi wako ?, Jibu ni kwamba alipenda mwenyewe, mtu anawezaje kukuvutisha madawa ya kulevya na wewe unaangalia tu, Jibu ni kwamba alipenda, Biblia inasema Shetani hawezi kukuingia mpaka pale utakapokuwa Umemruhusu, Shetani huwa anajaribu mtu, ukikubali kujaribiwa anakuingia, Rose alitahadharishwa na watu kwamba huyu Mdhamini wako sio mtu mzuri hakutaka kusikia, kwa hiyo tusijikite kuonesha kwamba Rose ameonewa hatutamsaidia, angekuwa msikivu angeepuka haya.Hakuna namna Wanasheria wanaweza msaidia Rose? Huyo Nathan ni shetani kabisa.
Information also comes from hearingHearsay
Admissibility complicationsInformation also comes from hearing
Great thinking!Kati ya milioni 2 anapewa laki tano tuu
1. Alipata wapi hela ya kutosha kumhonga nyumba mchepuko mpya?
2. Alipata wapi pesa za kununua magari anayosema ameyauza sasa?
Asa hapo alikua anafuata ibada au pesa?My God, it real hurt!!Yesu mtetezi mkuu asimame katika hili' lililo kusudio lake likapate kusimama, nilikuwa nalaumu sana mara nyingi Rose alikuwa anawekewa pesa aje ibadani haji more than 3 times,kumbe ni haya!!daah
Hapo kweli kabisaa yani wamefeli, inshort mapenzi na mafanikio yaliwalevyaIna maana Rose alikuwa akimuheshimu huyo Nathan kuliko Mungu wake na kama kuwa na Nathan ilikuwa ni kosa je,vipi alivyomfumania huyo mchumba wake ilimbidi arudi kwa Nathan....
Lengo la aliyetoa story ni kumuonesha Rose kama ni mtu aliyeonewa kana kwamba alikuwa hana akili na utashi wa kiroho kumuongoza.. Inabidi wakubali kuw a ROSE KAMA ROSE NAYE ALITELEZA ..hii itamsaidia kutoka huko, Kama Daudi aliteleza kwa kuua kwa ajili ya mwanamke je, Rose amefanya kubwa lipi hadi asisamehewe
Ongeza na nyankundoOudio hata mimi ninayo kwa kweli inasikitisha sana ila yoyote ya yote ni ....
Haleluyaaaaaaaa...
Alafu eti wanajisifu ni wacha mungu huenda hata hapo mungu mwenyewe kaamua kumwaibisha pumbavu zake kutembea na mume wa mwanamke mwenzie kumharibia ndoa yake.. kule kweru mara tunasema t*mba nyooko muraaa..
Utafikiri kuna mahali pameandikwa ukiwa house girl hutakiwi kufanikiwa kimaisha ukawa tajiri. Kuna wazulumati duniani kuliko matajiri au masikini atakudhulumu nn cha maana?Kwa hiyo kua tajiri ndio hawezi kudhulumu? utajiri wake unajua kaupataje?
Alikua house girl so what? house girl ni kazi kama zingine na kupitia kipaji chake ndio maana akanyanyuka, kanisa alilihama ndio nini sasa, blah blah blah.
Haifuti the fact kua alikua anatumiwa na kuharibiwa maisha yake.
Nimesoma haya maelezo kuna nusu ya ukweli na Nusu ya chumvi.!
Binafsi ni muandaaji wa Matamasha haya ya muziki wa injili. Nimeanza kufanya kazi na Rose mwaka 2007.
Akiwa chini ya Nathan, na bila shaka Nathan ndio meneja pekee Rose aliyewahi kuwa naye.!
Nathan alimuwezesha Rose kuwa na maendeleo kadhaa, Nathan aliweza kumsaidia Rose kumiliki magari kadhaa ikiwemo Rav 4 ya blue gari yake ya kwanza kisha baadae prado .alimuwezesha kuwa na makazi yake pale ipagala.!
Rose alipoamua kuachana na Nathan kwa sabbu anazozijua yeye aliangukia kwenye mikono ya watu kadhaa, mbona haujaeleza habari za yule meneje mchungaji Fake aliye mnyang'anya passport na gari zake?
Wakati akienda marekani?
Rose kaanza kupotea hewani baada ya kuondoka kwenye mikono ya Nathan hakujua tena upepo wa umaarufu wake unampeleka wapi. Hakuwa na Nguzo imara tena kwa kazi zake.!
Baada ya kuachwa huru na Nathani kila mtu alikuwa anajipigia je amekueleza kuhusu wale vijana aliokuwa anaambatana nao pale Dodoma?
Mimi binafsi Rose Muhando keshakula pesa yangu nyingi tu, na wala sio Nathan, kuna watu amewaumiza zaidi ya unavyoweza kuleta hayo maelezo ya Martna. Isingekuwa muziki wa Injili natumai angekuwa amefanyiwa kitu kibaya sana!
Mara ya mwisho nimemtafuta Rose mwezi huu tarehe 13 . Kupitia kwa Producer wangu na akatoa maelezo kuwa kazi yoyote atakayopaswa kuifanya ipitie kwa Meneja wake Nathan.
Hii ikiwa kabla ya video ya Nairobi haijaanza kusambaa mitandaoni.
Mwisho. Rose Mhando bado ana nafasi ya kufanya vizuri zaidi kama atampata mtu sahihi wa kumsimamia Kiafya, na kazi zake kwa ujumla.
Usione vinaelea vimeundwa bila Nathani usingemfahamu Rose mhando.
Hahhaaaaa bana umenikumbushaOngeza na nyankundo