Kabisa mkuuHadithi hii umeegemea upande mmoja wa shilingi na hivyo huyo Nathan anabebeshwa lawama zote.. ..!kana kwamba Rose kalikuwa ni katoto kadogo under 18 hakajui madawa ya kulevya ni mabaya,kuzini tena na mume wa mtu ni dhambi,n.k..!embu acheni unafiki.Mtu huvuna anachokipanda hata kama ulipanda gizani.
Huo mwaipaja na yeye itakuwa ni wale wale tu ,'" ndege wa fananao .. story yake imejaa chai mno ..full uwongoSIO kweli.
Ni kweli kabisa Nathan alikuwa Menaja wake.
Kama ni hivyo amewezaje kuwa magari mengi na majumba? Kama sio mafanikio kutoka kwa meneja wake?
.
Rose alishiba kiburi.
Tunaomjua Rose hakuwa ameokoka.
Unajua wakati yupo kwaya ya Chimuli Rose Mhando alikuwa anafanya kazi za house girl?
Alipoinuka Kimusiki hakukumbuka alipo toka.
Hata kanisa alilokuwa anasali alikuja kuhama.
Huyu Nathan watu wanamchukulia poa tu. Ni matajiri wa kutisha hapa dodoma. Hapa dodoma ukisema unapesa unajiita mimi ni maluganji. Mwaluganji ni baba yake Nathan ambaye wakati huo alikuwa ni mtu tajiri sana. sasa Nathan si mtu wa kumdhurumu Rose Mhando.
Mwaipaja msiteteane kwa ujinga ujinga. Bila Msama na hawa akina Nathani wahindi wangewafanya vibaya sana. Wakina Nathani na kina Msama wamejitolea kuwatoa katika makucha ya wahindi wa kariakoo leo mnasema walikuwa wanawaibia.
Tutawasikia sana mkiweweseka. Rose maisha haya kwenda kombo na kutumia dawa au pombe au kufirisika yalianza muda mrefu sana Je wewe Mwaipaja ulimsaidia nini?
Wengi wenu mlikuwa mkimkwepa ili msije mkafananishwa naye leo mnajifanya mtetezi wake shame!
Rose Mhando yaliyomkuta yamemkuta atarejea tena kwa nguvu mpya na ujasiri wa Bwana.
Mwaipaja umefanya kosa kubwa kutaja hadhalani mambo ya mtu binafsi (Personal) wewe ni nani?. Wewe ya kwako ni yapi? Tunajua waimbaji wa Injili maarufu wengi wenu mmeachika na waliobaki ndoa zao ziko hoi kabisa.
Huyo mwaipaja na yeye itakuwa ni wale wale tu ,'" ndege wa fananao .. story yake imejaa chai mno ..full uwongoSIO kweli.

Tusipende kuhukumu haukuna mkamilifu, hata Rose naye ni mwanadamu. Tusiruhusu shetani atuongoze kwenye maisha yetu matokeo yake ndo kama hayo ya RoseHawa watu wanaoishi maisha ya kilokole, sometime ukiingia kwenye maisha yao unaweza ukajiona ww bonge la mtakatifu, kwani wengi wao ni wanafiki.
Ndio maana usishangae amber rutty akaiona pepo na mlokole akaingia motoni, pole Rose kwani huu ni wakati wa kumtafuta Mungu na uishi yale unayo yaimba.
Sorry siyo kila mwanamke hilo nakataa. Huyu Nathan ni mtoto wa tajiri mmoja Dodoma mzee Mwaluganje sijui kama bado yupo hai. Je huyu siyo Rose aliyekampeinia CCM 2015 hata baadaye kila mara anaonekana kwenye matamasha ya mr. pombe?Anatafuta sympathy mkuu"... mtu kaliwa zaidi ya miaka 10 now "... eti leo ndio anajifanya kutambua kuwa jamaa alikuwa anamtumia My foot"... My foot waweza kukuta jamaa amefilisika so rose anatafuta chance ya kumkimbia mazima"... wanawake hawajawahi kuishiwa visa
Now your talking, sasa mwanzo ulipokuja na kontena la lawama hukujua kama lengo la huu uzi ni kuufahamisha umma juu ya hali ya mpendwa wetu ili apate msaada?Nimekuuliza una hakika.! Unawafahamu,? Najua mapenzi hupofusha najua binafsi unaumizwa na hali ya Rose nikuhakikishie sio peke yako tuko wengi sana tunao umizwa na ile hali.
Jambo la maana hapa ingekuwa tunajadili namna bora ya kumsaidia kuondokana na hali aliyopo sasa.sabbu kuzidi kupotea kwake hakunisaidii mimi wewe wala familia yake( hasa watoto wake) kama mzazi naweza kuu hisi uchungu ambao watoto wake wanaupata.! Ana watoto wakubwa na wenye akili sana.!
Je njia bora ya kumsaidia Rose ni ipi?
Kuna uzi nimeanzisha humu nikiomba msaada kwa Mh Rais kama anaweza kutusaidia kwa hili. Kama walivyo saidiwa akina Ray C. Na wengine.
Ninajua JF ina watu wenye taaluma na vipawa tofauti ni vema tukajitoa kwenye hili kwa msaada wa mawazo ama namna nyingine
Hata kama haitakuwa kwa faida yake basi faida ya watoto wake naamini kizazi kijacho kitaheshimu zaidi mchango wetu kuliko kutupiana lawama zisizo na msingi ama faida yoyote.
Me mwenyewe hiyo skendo ya madawa niliambiwa kitambo ila sikutaka kuiwekea kipaumbele nilijua labda ni bangi tu ila atakua sawa.Anatumia!Kuna wakati fulani mudaa sana Kuna uzi nlichangia nkasema Rose nmemuona mahali kona ambazo syo na yuko kwenye muonekano wa kutumia madawa!
Nakumbuka nliambuliaa kejeli!
Ila kwa watu fulani nnaowajua na ambao wako ktk situation hyo wengi wao walikuwa wanasema R anatumia!
Kuhusu kumsaidia R kama mdau anavyosema
Kwanza akae naye chini azungumze naye maana kuacha madawa Yutaka moyo
Yaani ufanye jambo hilo kwa kutoka moyoni
Ova
Kwani rose alishawahi kuwa mlokele..yeye ni msanii tu sema aliona fursa kupitia nyimbo za injili.Ina maana Rose alikuwa akimuheshimu huyo Nathan kuliko Mungu wake na kama kuwa na Nathan ilikuwa ni kosa je,vipi alivyomfumania huyo mchumba wake ilimbidi arudi kwa Nathan....
Lengo la aliyetoa story ni kumuonesha Rose kama ni mtu aliyeonewa kana kwamba alikuwa hana akili na utashi wa kiroho kumuongoza.. Inabidi wakubali kuw a ROSE KAMA ROSE NAYE ALITELEZA ..hii itamsaidia kutoka huko, Kama Daudi aliteleza kwa kuua kwa ajili ya mwanamke je, Rose amefanya kubwa lipi hadi asisamehewe
AhsanteNimeiona hii kwa wanaohitaji kumuona Nathan
Hakuna namna Wanasheria wanaweza msaidia Rose? Huyo Nathan ni shetani kabisa.
Is not admissible until further corraborationHearsay