Martha Mwaipaja atoboa siri sakata la Rose Muhando

Martha Mwaipaja atoboa siri sakata la Rose Muhando

Hadithi hii umeegemea upande mmoja wa shilingi na hivyo huyo Nathan anabebeshwa lawama zote.. ..!kana kwamba Rose kalikuwa ni katoto kadogo under 18 hakajui madawa ya kulevya ni mabaya,kuzini tena na mume wa mtu ni dhambi,n.k..!embu acheni unafiki.Mtu huvuna anachokipanda hata kama ulipanda gizani.
Kabisa mkuu
 
SIO kweli.

Ni kweli kabisa Nathan alikuwa Menaja wake.

Kama ni hivyo amewezaje kuwa magari mengi na majumba? Kama sio mafanikio kutoka kwa meneja wake?
.
Rose alishiba kiburi.

Tunaomjua Rose hakuwa ameokoka.

Unajua wakati yupo kwaya ya Chimuli Rose Mhando alikuwa anafanya kazi za house girl?

Alipoinuka Kimusiki hakukumbuka alipo toka.

Hata kanisa alilokuwa anasali alikuja kuhama.

Huyu Nathan watu wanamchukulia poa tu. Ni matajiri wa kutisha hapa dodoma. Hapa dodoma ukisema unapesa unajiita mimi ni maluganji. Mwaluganji ni baba yake Nathan ambaye wakati huo alikuwa ni mtu tajiri sana. sasa Nathan si mtu wa kumdhurumu Rose Mhando.

Mwaipaja msiteteane kwa ujinga ujinga. Bila Msama na hawa akina Nathani wahindi wangewafanya vibaya sana. Wakina Nathani na kina Msama wamejitolea kuwatoa katika makucha ya wahindi wa kariakoo leo mnasema walikuwa wanawaibia.

Tutawasikia sana mkiweweseka. Rose maisha haya kwenda kombo na kutumia dawa au pombe au kufirisika yalianza muda mrefu sana Je wewe Mwaipaja ulimsaidia nini?

Wengi wenu mlikuwa mkimkwepa ili msije mkafananishwa naye leo mnajifanya mtetezi wake shame!

Rose Mhando yaliyomkuta yamemkuta atarejea tena kwa nguvu mpya na ujasiri wa Bwana.

Mwaipaja umefanya kosa kubwa kutaja hadhalani mambo ya mtu binafsi (Personal) wewe ni nani?. Wewe ya kwako ni yapi? Tunajua waimbaji wa Injili maarufu wengi wenu mmeachika na waliobaki ndoa zao ziko hoi kabisa.
Huo mwaipaja na yeye itakuwa ni wale wale tu ,'" ndege wa fananao .. story yake imejaa chai mno ..full uwongo
 
Huyo mwaipaja na yeye itakuwa ni wale wale tu ,'" ndege wa fananao .. story yake imejaa chai mno ..full uwongo
 
Hawa watu wanaoishi maisha ya kilokole, sometime ukiingia kwenye maisha yao unaweza ukajiona ww bonge la mtakatifu, kwani wengi wao ni wanafiki.

Ndio maana usishangae amber rutty akaiona pepo na mlokole akaingia motoni, pole Rose kwani huu ni wakati wa kumtafuta Mungu na uishi yale unayo yaimba.
Tusipende kuhukumu haukuna mkamilifu, hata Rose naye ni mwanadamu. Tusiruhusu shetani atuongoze kwenye maisha yetu matokeo yake ndo kama hayo ya Rose
 
Anatafuta sympathy mkuu"... mtu kaliwa zaidi ya miaka 10 now "... eti leo ndio anajifanya kutambua kuwa jamaa alikuwa anamtumia My foot"... My foot waweza kukuta jamaa amefilisika so rose anatafuta chance ya kumkimbia mazima"... wanawake hawajawahi kuishiwa visa
Sorry siyo kila mwanamke hilo nakataa. Huyu Nathan ni mtoto wa tajiri mmoja Dodoma mzee Mwaluganje sijui kama bado yupo hai. Je huyu siyo Rose aliyekampeinia CCM 2015 hata baadaye kila mara anaonekana kwenye matamasha ya mr. pombe?
 
Nimekuuliza una hakika.! Unawafahamu,? Najua mapenzi hupofusha najua binafsi unaumizwa na hali ya Rose nikuhakikishie sio peke yako tuko wengi sana tunao umizwa na ile hali.
Jambo la maana hapa ingekuwa tunajadili namna bora ya kumsaidia kuondokana na hali aliyopo sasa.sabbu kuzidi kupotea kwake hakunisaidii mimi wewe wala familia yake( hasa watoto wake) kama mzazi naweza kuu hisi uchungu ambao watoto wake wanaupata.! Ana watoto wakubwa na wenye akili sana.!

Je njia bora ya kumsaidia Rose ni ipi?
Kuna uzi nimeanzisha humu nikiomba msaada kwa Mh Rais kama anaweza kutusaidia kwa hili. Kama walivyo saidiwa akina Ray C. Na wengine.
Ninajua JF ina watu wenye taaluma na vipawa tofauti ni vema tukajitoa kwenye hili kwa msaada wa mawazo ama namna nyingine

Hata kama haitakuwa kwa faida yake basi faida ya watoto wake naamini kizazi kijacho kitaheshimu zaidi mchango wetu kuliko kutupiana lawama zisizo na msingi ama faida yoyote.
Now your talking, sasa mwanzo ulipokuja na kontena la lawama hukujua kama lengo la huu uzi ni kuufahamisha umma juu ya hali ya mpendwa wetu ili apate msaada?

Na mimi niliongea hayo sababu aliyoyapitia nayajua nimeshaona wanamuziki wengi wakiangukia pua sababu ya fitna mbalimbali,
Kiwanda cha Music na Filamu duniani kote hua na fitna sana na mwisho wa siku msanii huishia kwenye madawa au kujiua.
 
Anatumia!Kuna wakati fulani mudaa sana Kuna uzi nlichangia nkasema Rose nmemuona mahali kona ambazo syo na yuko kwenye muonekano wa kutumia madawa!
Nakumbuka nliambuliaa kejeli!
Ila kwa watu fulani nnaowajua na ambao wako ktk situation hyo wengi wao walikuwa wanasema R anatumia!
Kuhusu kumsaidia R kama mdau anavyosema
Kwanza akae naye chini azungumze naye maana kuacha madawa Yutaka moyo
Yaani ufanye jambo hilo kwa kutoka moyoni

Ova
Me mwenyewe hiyo skendo ya madawa niliambiwa kitambo ila sikutaka kuiwekea kipaumbele nilijua labda ni bangi tu ila atakua sawa.
Na wanamuziki weng stress ndio hupelekea kuanza kutumia madawa au maadui zao huwachanganyia kidogo kidogo kwenye vinywaji ili apotee kwenyee game, haya mambo yapo sana basi tu.
 
Ina maana Rose alikuwa akimuheshimu huyo Nathan kuliko Mungu wake na kama kuwa na Nathan ilikuwa ni kosa je,vipi alivyomfumania huyo mchumba wake ilimbidi arudi kwa Nathan....

Lengo la aliyetoa story ni kumuonesha Rose kama ni mtu aliyeonewa kana kwamba alikuwa hana akili na utashi wa kiroho kumuongoza.. Inabidi wakubali kuw a ROSE KAMA ROSE NAYE ALITELEZA ..hii itamsaidia kutoka huko, Kama Daudi aliteleza kwa kuua kwa ajili ya mwanamke je, Rose amefanya kubwa lipi hadi asisamehewe
Kwani rose alishawahi kuwa mlokele..yeye ni msanii tu sema aliona fursa kupitia nyimbo za injili.
 
Ila Martha nae alishindwa kabisa kumuokoa mwenzie kabla mambo hayajafikia yalipofikia sasa ...wanawake bana
 
Siupendi uongo. Eti stress ndo ule unga ?!? Hii ni kuhalalisha dhambi . Rose Muhando ni dhaifu hata kabla ya kuingia mziki wa Injili. Huko kwenye dini wamejificha waovu tupu. Tumruhusu Mungu afunue hakuna excuse ya MLA unga hivyo Nathan asilaumiwe.
 
Wakati hayo yakiendelea.......

Upande mmoja

Upande mwingine

Aliyeongea siyo Martha mwaipaja,,,nadhani ni Martha baraka
 
Wakuu nimefanikiwa kuzipandisha clips za Martha Mwaipaja akisimulia sakata la Rose Muhando kwenye Uzi huu.
 
Back
Top Bottom