Martin Kadinda,huyu jamaa yupo smart kwenye interview

Hivi huwa najiuliza, kwa nini wabunifu wa mitindo wanaume wengi wana chembe chembe za ushoga? Au wengine ni mashoga kabisa wanaojulikana wazi, na hii ni duniani kote???!!!

hata mi najiulizaga sipati jibu
 

Waliosoma naye wanasema alipokuwa dent alikuwa analiwa tigo. Ila kwa sasa hawana uhakika....
 
Nmeangalia jamaa yupo vizuri .. sio yule ambaye nasoma humu JF watu wakiropoka

Mi nilikuwa simfahamu ila jamaa yupo vizuri kuongea
 
umeona lugha inavyochanganywa?

Mtu makini kwenye interview hachanganyi lugha hata isipotakikana. Mtu akifanya hivyo anajionyesha ama hajali uendelevu mujarab au hajui lugha zote mbili vizuri.

Hapo nimemsikiliza sekunde kumi tu.

Nachelea kumsikiliza zaidi nitaibua mengine mengi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…