Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeutelekezaaa uzi wako etiii
Umeutelekezaaa uzi wako etiii
Tecno yangu haionyeshi notification niazime yako
Cha kusikitisha watu waliweka matokeo yake ya sap na picha yake
Hivi huwa najiuliza, kwa nini wabunifu wa mitindo wanaume wengi wana chembe chembe za ushoga? Au wengine ni mashoga kabisa wanaojulikana wazi, na hii ni duniani kote???!!!
Cha kusikitisha watu waliweka matokeo yake ya sap na picha yake
alizingua sana kabla hajajulikana,wengine walidhani profesa
Huyo bwana designer ana dalili zote za upunga. Kwanza tizama anapojieleza mikono inatumika sana na kuchanua vidole. Kama anavyofanya dada yetu Sporah. Pili hawezi jibu swali dogo Yes or No. Lazima ataleta hadithi ndefu wakati aliulizwa watu wanadai kuwa wewe ni mwanaume tata. Alitakiwa ajibu, no si kweli. Sasa hadithi nyingi za nini kutaka ku justify..
Tatu wana mikao yao muangalie utagundua tu.
USA mchezo...yupo hapo changanyikeni
TANMO huenda na mimi ni celebrity wa bongo. Hivyo naanza kujifunza swaga kimtindo...
Kwelii hhhhaaaa
hujaangalia hata video unatoa conclusion
Mtu makini kwenye interview hachanganyi lugha hata isipotakikana. Mtu akifanya hivyo anajionyesha ama hajali uendelevu mujarab au hajui lugha zote mbili vizuri.
Hapo nimemsikiliza sekunde kumi tu.
Nachelea kumsikiliza zaidi nitaibua mengine mengi.
alizingua sana kabla hajajulikana,wengine walidhani profesa