Martin Kadinda na mkewe, mashallah

Mwee watu mnachukuaga maneno habari mwatunga wenyewe.. shikamooni wambea huyo sio mke wa kaka manager
 
 
 
Naona siredi ni Kadinda, ni Wema , ni Diamond, ni Meninah , ni Lulu. Yaani kazi ipo.
 
Si alisema hapendi kumuanika m sweet wake kutokana na future ya kazi yake??? ( sijui anataka kufanya kazi ikulu!!)
Eti hapendi mambo ya media..vipi tena?

Kuna mtu anayependa media kma yy dunia! Umuoni hata kwenye kipindi cha wema anavyopenda tension kuliko boss wake, basi jana ungemuona anavyojishaua kwenye birhday ya boss wake utafikiri nzi aliyekuwa kwenye hedhi
 
Mtoto ni geresha tu.....
hajafanana kbs na baba
 
Kuna mtu anayependa media kma yy dunia! Umuoni hata kwenye kipindi cha wema anavyopenda tension kuliko boss wake, basi jana ungemuona anavyojishaua kwenye birhday ya boss wake utafikiri nzi aliyekuwa kwenye hedhi

Ha ha halafu ww ni mama kibunju huyu huyu wa Daslama? Kino sijui non?
 
Kupenda tension ndio nini? Hizi shule za kata hizi basi tu ngoja nikae kimya

Aka kupenda attention, ni kama unafanya kitu kwa makusudi ili watu wakuangalie au kukuongelea ww, acha kuwekeza pesa kwenye cm au vipochi manyoya nenda kasome english course hata ya ngumbaru itakusaidia kidogo au nunua kamusi ya english to swahili
 
Kuna wataalam wa kusoma picha( Body Language )ha :sleepy:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…