Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Naungana nawewe kuwa:tatizo la watz mnasilkiliza maneno ya kusadikika hiyo ni dhambi kubwa kumzushia mtu uwongo
Kuna watu wengi wanajichumia dhambi ya kusingizia au kushabikia uongo hasa hilo la kuwaita watu mashoga bila evidences.
Labda kama ni kweli mshkaji ni shoga.