Martin Kadinda: Wema hana pesa ya kunilipa

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Manager wa wema sepetu, martin kadinda ameibuka na kusema " Wema hana pesa ya kunilipa mimi. Ninachokifanya ni kuhangaika kutafuta dili mimi na yeye tusilale njaa, maisha ni kutegemeana."

Kadinda alisema yeye na wema hawana mkataba wa kulipana mshahara mwisho wa mwezi na kama ingekuwa hivyo, wema asingemudu.

Alisema "kikubwa ninachomudu ni kutafuta dili za kazi nyingi ili tuweze kupeana pasu, lakini si mshahara. Hata hivyo alisema yupo na wema kikaribu kikazi kwa sababu anajua ni mtu wa namna gani na anafanya kazi zake za uhuru bila kubanwa.
 
We nae unamdhalilisha mwenzio hawez kukulipa mshahara wakat alinunua nyumba ya mil 400, tabia mbaya hiyo martin, mbona wakat yupo na clement hukuwahi kusema haya kama sio umbea na udhalilishaji
 
We nae unamdhalilisha mwenzio hawez kukulipa mshahara wakat alinunua nyumba ya mil 400, tabia mbaya hiyo martin, mbona wakat yupo na clement hukuwahi kusema haya kama sio umbea na udhalilishaji
binamu umesahau Kajala alivomchana Wema Arusha eti kamkopa laki2 kabla hajalipa anaongezea kukopa laki5 juu mbona atajuuta kupenda mambo makubwa huyo ma ubaya wenu
 
binamu umesahau Kajala alivomchana Wema Arusha eti kamkopa laki2 kabla hajalipa anaongezea kukopa laki5 juu mbona atajuuta kupenda mambo makubwa huyo ma ubaya wenu

Pesa atoe wapi, sijui bwana ake ndomo hamtunzi hawar yake kutwa kuhangaika kukopa na kujifanya bosslady kumbe mavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…