Martin Kadinda: Wema hana pesa ya kunilipa

Martin Kadinda: Wema hana pesa ya kunilipa

Sasa si ndio umenager?

Kwanza kama wanagawana pasu pasu anamnyonya wema. Alipaswa apewe 10% tu
 
Sie ndio ma mods tutakupa ban ya milele we jipendekezew tu warumi njoo

lolowapi hataki maneno mengi yeye kajisemea kabisa hatupendi na anataka tupewe ban, yeye mambo ya kutukana hatak kaongea ya moyoni
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom