warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #41
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahahah hahaha yani mimi na wewe tungekuwa ma mods hakyamungu wakina lolowapi wangekoma walahi, yani wakibishana na sisi tu au kumsifia mama ubaya na ndomo unapewa ban ya wiki, yani ingekuwa shidaa, inabid tuombe u mods aiseh
ma mods na wenyew kujifanya ma robot ebu ngoja ninyamaze nisijepigwa ban ya milele maana mdomo nao huu
Mods warumi anawakandi mpigeni ban ya 10 years.
Ebu binamu badilisha iyo avatar maana wat wanapagawa , mie unajua roho inauma? Sipendi kabisa kuona binamu yangu anasumbuliwa ovyo,
ma mods na wenyew kujifanya ma robot ebu ngoja ninyamaze nisijepigwa ban ya milele maana mdomo nao huu
Sawa binamuBinamu yaaan wale wote viherehere wataisoma namba,wangesandaaaaaaaa
Sawa binamu
Umuheshimu binamu sawqq
We binamu umempa nn lolowapi? Maana hatupumui humu
Pesa atoe wapi, sijui bwana ake ndomo hamtunzi hawar yake kutwa kuhangaika kukopa na kujifanya bosslady kumbe mavi