Martin Kadinda: Wema hana pesa ya kunilipa

Martin Kadinda: Wema hana pesa ya kunilipa

Huyo martin ndo umuweke

Yaan bina hunipendi yaan hilo punga mi ndio niliwekee kwenye liwe avatar yangu,tutakosana ujuee hadi lolowapi atucheke afurahiii heee
 
Last edited by a moderator:
Yaan bina hunipendi yaan hilo punga mi ndio niliwekee kwenye liwe avatar yangu,tutakosana ujuee hadi lolowapi atucheke afurahiii heee

Mimi na wewe tutagombana nini binamu? Haitakaa kutokea labda kaul zipishane, huyo lolowapi nae kutwa kuzurula kila thread yumo, leo saa kumi na moja nimemuona jukwaa la habar mchanganyiko, sasa iv yupo mmu, sijui ndo anamtafuta mrithi wa Dinazarde
 
Hhhhhhhhhhhaaaaa yaan binamu ulivyopigwa ban niliumwaaa kabisaaa,nilikosaa kuchekaaa aiseee @ lolowapi huyu tuje tumpe Madame B tu ndio saizi yake au waonajee
 
Last edited by a moderator:
Hivii binamu ulivyopigwa ban ulijisikiajee,halaf id zako ziliunganishwaa etii, hebu nipe umbeaa maana humu palichakaajeee
 
Tatizo la binadamu
Wengi n masnitch
Ukiwanacho watakunata km nzi pindi huna ndo hawana habar n ww
na maneno ya kuzushiwa juu . Dah pole sepetu's gal
 
Ha ha ha hata Baba magazeti (dimond) hawezi kumsaidia wakakulipa?
 
Back
Top Bottom