Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Khaaa!!! Binamu hyo course inanihusu kwa kweli
Heeeeee yaan tunapulizaa tuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaa!!! Binamu hyo course inanihusu kwa kweli
Unataka nilie ili iwejeee!!!
Hahahaaaa ahsantee
Basi sawaaaaaa
Umesikia umbea wa jana pale mliman tmt? Ni shidaaah...
Hivi huyu binadamu ajiitaye ##LOLOWAPI##huwa hanaga raha mpaka akutafute undani wako au ni nini???simuelewagi ujue??
Umesikia umbea wa jana pale mliman tmt? Ni shidaaah...
Martin wamuache kafiwa na mumewe yunus hat mwez bado haujaisha.
Ahahaha ahaha watu na nyota zenyu bhana, hapana chezeyaaa!!!
Ahahaha ahahah wewe ni chizi ntakupasua sasa ivi, hahahahh