Martin Kadinda: Wema hana pesa ya kunilipa

Sie ndio ma mods tutakupa ban ya milele we jipendekezew tu warumi njoo

ahahah hahaha yani mimi na wewe tungekuwa ma mods hakyamungu wakina lolowapi wangekoma walahi, yani wakibishana na sisi tu au kumsifia mama ubaya na ndomo unapewa ban ya wiki, yani ingekuwa shidaa, inabid tuombe u mods aiseh
 
Last edited by a moderator:

Hhhhhhaaaaaaa mi ningewapa ile ban ya kulike tu hakuna kukoment wangekoma haswaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
lolowapi hataki maneno mengi yeye kajisemea kabisa hatupendi na anataka tupewe ban, yeye mambo ya kutukana hatak kaongea ya moyoni

Atachoka atupende siee chakula au hewaaa tunampaa hhhhhaaaaaaa akili ya mchwaa hiyooo
 
Last edited by a moderator:
Hhhhhhaaaaaaa mi ningewapa ile ban ya kulike tu hakuna kukoment wangekoma haswaaaaaaa

Yani wangekoma na tunachagua watu wa ku comment ukituponda tu ban, kubabeki
 
Atachoka atupende siee chakula au hewaaa tunampaa hhhhhaaaaaaa akili ya mchwaa hiyooo

Ebu binamu badilisha iyo avatar maana wat wanapagawa , mie unajua roho inauma? Sipendi kabisa kuona binamu yangu anasumbuliwa ovyo,
 
Ebu binamu badilisha iyo avatar maana wat wanapagawa , mie unajua roho inauma? Sipendi kabisa kuona binamu yangu anasumbuliwa ovyo,

Yaaan ni sheeedaaaa hajuiiii mi nishawahiwaaaa na mwenye macho yakee loo antueeee
 
ma mods na wenyew kujifanya ma robot ebu ngoja ninyamaze nisijepigwa ban ya milele maana mdomo nao huu

Binamu yaaan wale wote viherehere wataisoma namba,wangesandaaaaaaaa
 
Pesa atoe wapi, sijui bwana ake ndomo hamtunzi hawar yake kutwa kuhangaika kukopa na kujifanya bosslady kumbe mavi

mavi matupu...na ustar wa magazeti....kiufupi wema amefulia na Diamond hawezi kumtunza yan kumhudumia....Coz anajua anamegwa na kashamegwa na wengi...we Kik.za magazeti ndio zinamuweka mjini na team zake uchwara za Instagram...Muda mwingne huyu dada namuoneaga huruma...km yupo humu hebu mpeni huu ushauri...Atengeneze hata Chupi zenye jina lake Atauza Mnoo .....Mjini pagumu jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…