Sawa namuheshimu
Yaan bina hunipendi yaan hilo punga mi ndio niliwekee kwenye liwe avatar yangu,tutakosana ujuee hadi lolowapi atucheke afurahiii heee
Hhhhhhhhhhhaaaaa yaan binamu ulivyopigwa ban niliumwaaa kabisaaa,nilikosaa kuchekaaa aiseee @ lolowapi huyu tuje tumpe Madame B tu ndio saizi yake au waonajee