Martin Maranja Masese amchambua Hayati Magufuli (JPM) mwanzo mwisho

Martin Maranja Masese amchambua Hayati Magufuli (JPM) mwanzo mwisho

Hakuna jema alifanya kwa faida ya nchi. Yeye ndiye mwanzo wa zao la watu kama Bashite na Saambaya
Vp khs mimba aliyokuachia huoni wema kwenye hilo mana sasa una mtoto kwa jina la JPM
 
Demokrasia na maridhiano vimefanya sukari iwe shilingi ngapi? Namudu maisha yangu sijisifii unyonge ila ninafahamu kuna wanyonge wana haki pia ya kupata nafuu ya maisha, kuwa daraja la kati kimaisha kusikufanye usahau walio chini yako
Ccm ni ile ile mafisadi wa Magufuli ndio wale wale mmebaki mnalalamka tu.
 
Baada ya hayo yote umaskini wako Umeisha?

Umaskini na Roho mbaya ni pete na kidole
kipindi cha jiwe nchi yetu ilikua donor country, tuliwapa msumbiji msaada na malawi, kipindi cha jiwe tuliwatikisa wazungu jiwe alinipa ujasiri wa kukataa chanjo za mchongo, jiwe ni jiwe.
 
Nashangaa san hata viongozi wa dini wameingia katika mkumbo wa kusifia watawala aina ya Magufuli.

Siku hizi ni bora kusali nyumbani kwako au chini ya mti.
Na cha ajabu hadi Mungu alimpenda na kumfunulia kwamba hatopona
Na akawaita watumishi wa Mungu wamemuombee kipindi anakaribia kufa
Mungu atukuzwe
 
Mlishindwa kutoa msaa kagera- Donor kantri mavi
Jiwe hakuleta tetemeko wale kule si wanajisifu wanazo pesa na usomi unadhani jiwe hakusikia dharau zao aliwanyosha jiwe alikua kidume ukizingua alikua anakuzingua mara 100 na jiwe alitaka wathibitishie uma wa watanzania kua wao ni wasomi na wana hela aliwanyosha unacheza na jiwe.
 
Na cha ajabu hadi Mungu alimpenda na kumfunulia kwamba hatopona
Na akawaita watumishi wa Mungu wamemuombee kipindi anakaribia kufa
Mungu atukuzwe
Hiyo ni tabia za wagonjwa wengi. Hasa wale wenye dhambi. Hujatubu ukiwa mzima haisaidii kitu
 
Hiyo ni tabia za wagonjwa wengi. Hasa wale wenye dhambi. Hujatubu ukiwa mzima haisaidii kitu
Punguza chuki na makasiriko
Kama wewe ulimchukia Basi Mungu Alimpenda zaidi. Na mimi na wewe tuombe kifo chema ndugu Yangu
Soma hili andiko la YAKOBO

14 Je, kuna mtu miongoni mwenu aliye mgonjwa? Basi awaite wazee wa kanisa wamwombee na kumpaka mafuta katika jina la Bwana. 15 Na kule kuomba kwa imani kutamwokoa mgonjwa huyo na Bwana atamwinua. Kama ametenda dhambi, atasamehewa.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb

Hao aliowaita sasa wazee wenyewe😄
 
Ameeleza Mengi! U7

Ameeleza Mengi ya kumsagia Hayati Magufuli kunguni,itachukua miaka 100 Tanzania kupata Rais bora kama Shujaa MAGUFULI niko chato kwenye kumbukizi ya huyu MWAMBA kuwahi kutokea kuiongoza Nchi kwà mafanikio Makubwa
Tupe uongo kwenye hili bandiko
 
Dah! Yaani mtu akimsema vibaya Magufuli wetu Huwa najisikia vibaya

Pumzika Kwa Amani mpendwa wetu
JPM
 
Back
Top Bottom