Martin Maranja Masese apinga uteuzi wa Joshua Nassari

Kwa haya matendo ya mama Samia ni dhahiri kuwa nchi yetu haikujiandaa kuwa na rais mwanamke......matendo yake ni kielelezo cha uanamke wake unavyoingiliana na taasisi anayoiongoza.........

Nafasi za utumishi wa umma sio kugawiwa kwa kuhurumiana au kubebana bali kwa kuzingatia weledi,umakini na historia ya muhusika......

CCM wameifanya hii nchi kuwa kama danguro.......lakini hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.........
 
Hawa watu ni wapumbavu sana.

Demokrasia wanaijua ACT Wazalendo . Angalia Zanzibar wanavyoishi kwa furaha na amani tele.
 
Katafuteni kazi za kufanya, mmekuwa mkibwata mitandaoni miaka mingi sana, hamna lolote mlichowaongezea wananchi. Na katiba ya kumpa kula Mbowe na genge lake dogo halitatokea. Msahau katiba ya matakwa yenu. Tukiifanya itakuwa katiba ya wananchi na kwa manufaa yao, na sio chadema
 
Jombaaa subir mkeka mwinginee..utateuliwaa tuu..mana naona unapwapwayaa sanaaaa..ila hupati teuzi..
 
Maza yuko vizuri tatizo analemewa na kelele ndani ya ccm...ishu ya sabaya imeleta mgawanyiko mkubwa sana.. Kwakuwa ilionekana ni ushindi kwa CDM na mwenyekiti...! Hili la kuwateua kina Nasari ni kama kuwapoza machungu mataga
We mzee nae..mataga na nassari wapi na wapi? Nenda kalee puree bhanaa..na bado mtaona mengi ya huyuu mama..msianze kugeuka tartiibuuu...uzuri jf inatunzaa andiko la kila mmojaaa..
 
Hivi ndivyo watu walivyochambua na kupinga uteuzi wa Joshua Nassari kuwa Mkuu wa Wilaya.

View attachment 1825048

View attachment 1825050
INAONEKANA NASARI BADO ANAWAFANYA MUWEWESEKE KILA SIKU HAPO UFIPANI. HIVYO VIPEPERUSHI VYA MASENGENYO NI SAWA NA KELELE ZA CHURA AMBAZO HAZIMZUII NG'OMBE KUNYWA MAJI. NASARI NI JEMADARI NA SHUJAAA WA MAPAMBANO TENA MCHAPA KAZI. TULIENI KIMYA.
 
Kuna mtoto hata mmoja aliebakwaa? Au kuna mtoto wa jiran yako uliemshudia akilawitiwaa...au mnaskiliza hao watoto waliokusanywaa mitaani kwa kulipwa hela kusema uongo! Mmesahau kesi ya babu sea au?? Acheni upuuzi kuongea mkiwa hamna ushahid..hiyoo sabaya atatoka na kufutiwa mashataka yotee..nanyi mtabaki midomo wazii..
 
Kama wanasema ishu ya Sabaya ni ushindi kwa chadema, basi tuseme yale aliyoyafanya/anayotuhumiwa nayo ni maagizo ya chama chake
 
Kama bunge limewashikilia wakina mama 19 wasio na chama, wanaoitwa wabunge wa upinzani bungeni. Mbona hili la Nasari ni cha mtoto.

Hii ndiyo Tanzania.
Hata wakipige kelele huo ndiyo, mkeka wa Mama swali fikirishi katiba Ya Tanganyika inasemaje kuhusu uteuzi
 
Nchi haina lolote la kujivunia???

Nyinyi ni kupinga tu kila linalofanyika. Sasa si uhame uende kwenye nchi zenye lolote. Mbona umeng'ang'ania hapa???

Kama Tanzania haina lolote tafuta huko kwenye lolote uende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…