Martin Maranja Masese apinga uteuzi wa Joshua Nassari

Martin Maranja Masese apinga uteuzi wa Joshua Nassari

Katafuteni kazi za kufanya, mmekuwa mkibwata mitandaoni miaka mingi sana, hamna lolote mlichowaongezea wananchi. Na katiba ya kumpa kula Mbowe na genge lake dogo halitatokea. Msahau katiba ya matakwa yenu. Tukiifanya itakuwa katiba ya wananchi na kwa manufaa yao, na sio chadema
Umesema vizuri.

"Tukiifanya"

Hawa watu kama hawana staha na busara basi tutakwenda nao hivyo hivyo kindezindezi
 
Huyu mama anateua watu walionunuliwa.

Badala achukie upumbavu ule wa Mwendazake yeye anaupalilia na kuuenzi

Alitakiwa aonyeshe mfano kwa kukataa wasaliti, walionunuliwa, yeye anawareward.

Huyu mama hapa kazingua sana.
Mama na jiwe ni kitu kimoja, nashangaa mnavyolalamika as if aliwaahidi atabadilika.
 
wewe huna uwezo wa kujadiliana na mimi. jinoe kwanza kutumia kichwa halafu utanitag wakati mwingine. Watu tunajadili maadili ya mteule wewe unazungumzia vyama
Huna moral authority ya kujadili maadili ya mteule wowote kati ya wateule wa Mama.

Kaa kwa kutulia
 
Tkiwaambia CCM ilishapoteza uoni mnasema ni chuki tu. Haya sasa. Huyu mama ni Mzuri isipokuwa genge linalomzunguka ni lilelile la mwendazake. Ana kazi ya kufanya kufumua mfumo mzima. Atazidiwa si muda mrefu. Vetting system ya TZ iliyokufa awamu ya tano ndio hiyo hiyo inaendelea awamu ya sita. Hivi TISS bado wapi TZ? Au waliende kusikojulikana na mwendazake?
Kila kitu kina utaratibu mkuu.

Kama umewahi kufanya administration utaelewa hili.
 
Na mkiendelea hivi hiyo habari ya mikutano na the so called wapinzani wa kweli itapotelea hewani. Haina hata haja ya kuwakaribisha.

Sisi tutamkumbusha aachane na hizo habari maana Mheshimiwa Kikwete alifanya hivyo na hakuna tija yoyote iliyopatikana law kukutana na hao wanaojiita wapinzani wa kweli. Zaidi zaidi walikwenda tu kunywa chai ikulu na kuongeza gharama zisizo za msingi.

Kwa tabia zenu hizi Wallahi haya mambo ya katiba mpya na tume huru pia yanaweza yakapeperuka na to be honest my friend hamna mtakaloweza kumfanya mama. Ni hisani na busara zake tu. Ni mapenzi yake kwa taifa lake tu, hivyo musitake kumvuruga.

Eti anatoka mtu na kusema hatuwezi kumbembeleza na tutapaza sauti. You are not being realistic.

Muwe na staha wakuu
Mbona unaandika kama mpumbavu.
 
Issue ya Sabaya ni ushindi kwa Chadema? Kila kitu Sio siasa mjinga kweli wewe what about:

  • Watoto waliobakwa na kula witiwa?
  • wanavyuo waliobakwa na kulawitiwa?
  • walioteswa?
  • waliozulumiwa?

Nyie CCM hamna akili kabisa! Na huu ubinafai wenu unafika mwisho si Mda mrefu!
Mkuu Uttoh2002, unafikiri Mshana ni ccm?! Tuna tatizo kubwa JF, kuna wakati tuna paswa kufikiri nje ya mabox ya ccm vs CHADEMA, kwa masilahi mapana ya nchi yetu!
 
Narudia tena sina imani na huyo Maza. Naona anakurupuka tu na teuzi zake. Sijui hata kama anauliza maswali ya kina kwa hao wanaofanya vetting. Na hao wanaofanya vetting ni watu makini kweli wanaoweka mbele maslahi ya Nchi au WANADEMKA tu ili siku iingie? Kuna OMBWE kubwa sana la uongozi nchini.
Historia inaonyesha awamu ya pili,awamu ya tatu na awamu ya sita zinafana, pili inaonyesha awamu ya Kwanza ,awamu ya tatu na awamu ya Tano zinafana. Bado sijajua viongozi wa hizo awamu zote walikuwa wanasali juma ngapi.
 
Maza yuko vizuri tatizo analemewa na kelele ndani ya ccm...ishu ya sabaya imeleta mgawanyiko mkubwa sana.. Kwakuwa ilionekana ni ushindi kwa CHADEMA na mwenyekiti...! Hili la kuwateua kina Nasari ni kama kuwapoza machungu mataga
Kama unyanyasaji na uporaji wa mali na amani kwa wananchi wa Hai na kwingineko ilionekana ni ushindi wa CCM dhidi ya CHADEMA basi CCM ni chama cha mashetani. Maana shetami pekee ndiye anayeweza kufurahia hila zile.
 
Labda tukisema upinzani wa nchi hii tunakosea. Mbona @ACT Wazale@ACT ni wapinzania lakini wanakosoa, kushauri na kushiriki kwa staha???

Hiki kikundi cha watu lengo lake ni kuingia tu madarakani hata kwa ghiliba, fujo, au hata kwa damu.

Hawana jema hawa, tulipiga kelele weeee kwamba vijana washirikishwe, Leo vijana wanashirikishwa bado wanapiga kelele only because hawateuliwi wao. Yaani wao lazima wateuliwe wao tu.

Watakwambia kuhubiri na kuzunguka nchi nzima sio hisani, lakini kwa miaka mitano waliufyata hawa.

Time yao inakuja na ikifika hatutotaka kuskia malalamiko.
Upeo wako kwenye haya mambo ni mdogo sana, lakini angalau unampenda raisi wako, hiyo inatosha!
 
Hii nchi ni kituko cha karne. Mtu alitelekeza jimbo na bunge eti leo ametosha kuhudumia wilaya
Unasahau haraka kutelekeza jimbo na bunge hakumpi adhabu ya kifungo cha maisha.... Ila pia wewe kama swala la kumuhudumia mkeo na mimba yenye kukuletea mtoto wako sio jambo la muhimu utakuwa ni zaidi ya kichaa.. Hayo yalipita na sasa utake usitake ndio mkuu wa wilaya hiyo. Case closed.
 
Kwa ufinyu wa akili yako. Watu wamekuwa wastaarabu kwa miaka 30 ya mfumo wa vyama vingi lakini maccm yamekuwa yakijizungusha zungusha tu kwa kujua fika kwamba Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ni kaburi ka maccm.
Eti sisi tutamkumbusha!!! Wewe kama nani? Nani aliye kudanganya kwamba una hati miliki ya Tanzania? Au maccm yana hati miliki ya Tanzania au Samia ana hati miliki ya Tanzania?
Acha kuandika ujinga Tanzania ni yetu sote na tumepitia kipindi kigumu sana cha kufikia hadi Watanzania kuuawa eti kosa lao ni kuikosoa Serikali ya kidhalimu ya dikteta magufuli.
Hakuna sababu ya huyo mama kutia pamba masikioni hatuhitaji kuwa na vurugu ili kuhakikisha tuna chaguzi huru na za haki ambazo zitalindwa na Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi na siyo uhuni, wizi na mauaji ya kutisha tuliyoyaona 2020.
Pambaneni maana vichwa maji kweli mlimuonea Magufuli sana ngoja mama awakomeshe na vile msivyo na ajenda wanafiki wakubwa nyie
 
Upinzani ndani ya nchi hii ni hopeless

mnataka mama awafanyie nini?
amteue mbowe kuwa dc ndio muone yuko sahihi?

mmepewa uhuru sasa mnajizungusha nchi nzima mnahubiri mambo yenu bila usumbufu kitu ambacho hakikuwepo kwa miaka 5 iliyopita lakini bado mama mbaya

muwe na upeo wa kushukuru
Uhuru ni haki acha upumbavu, uhuru ulipatikana 1961 hivyo uzumbukuku wako huo wa eti wamepewa uhuru na rais inaonyesha ni kiasi gani usivyo na akili.
 
Kwa ufinyu wa akili yako. Watu wamekuwa wastaarabu kwa miaka 30 ya mfumo wa vyama vingi lakini maccm yamekuwa yakijizungusha zungusha tu kwa kujua fika kwamba Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ni kaburi ka maccm.
Eti sisi tutamkumbusha!!! Wewe kama nani? Nani aliye kudanganya kwamba una hati miliki ya Tanzania? Au maccm yana hati miliki ya Tanzania au Samia ana hati miliki ya Tanzania?
Acha kuandika ujinga Tanzania ni yetu sote na tumepitia kipindi kigumu sana cha kufikia hadi Watanzania kuuawa eti kosa lao ni kuikosoa Serikali ya kidhalimu ya dikteta magufuli.
Hakuna sababu ya huyo mama kutia pamba masikioni hatuhitaji kuwa na vurugu ili kuhakikisha tuna chaguzi huru na za haki ambazo zitalindwa na Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi na siyo uhuni, wizi na mauaji ya kutisha tuliyoyaona 2020.
Wewe utanung'unika maisha yako yote
 
Haa
Huyu Mama ni tatizo na ameamua kurithi na kuyaenzi baadhi ya mambo ya hovyo ya Mwendazake yaliyotuharibia hii nchi.

Kwa kifupi, hatoshi na bora muda wake uishe aondoke.

Hata Katiba Mpya sidhani kama itakuwa ni moja ya vipaumbele vyake kwani inaonekana ameanza kufurahia hii katiba mbovu inayompa mamlaka makubwa ya kufanya atakavyo.
Haa haa utasubiri Sana,mama mpaka 2030
 
Back
Top Bottom