Martin Maranja Masese apinga uteuzi wa Joshua Nassari

Martin Maranja Masese apinga uteuzi wa Joshua Nassari

Hii nchi ni kituko cha karne. Mtu alitelekeza jimbo na bunge eti leo ametosha kuhudumia wilaya
Nyie ni wapumbavu ndio maana Jpm hakutaka kusikiliza kelele zenu kabisa!

Wakati anavuliwa ubunge unaosema hapa aliutelekeza si mlikuwa mnapiga kelele kwamba anaonewa?

Na si juzi tu hapa mlikuwa mnademka na mama eti anawakomoa mataga na marehemu?

Mtanyooka tu kama rula
 
Nyinyi kila mtu ni msaliti. Yaani msalitiwe nyinyi tu???? Hata mwanamke wako akikusaliti kabla hujamhukumu basi jiulize kwanza kwani imekuwaje akakusaliti???

Leo kina Halima ndio Wasaliti?? Dr. Slaa kwenu msaliti, zitto kwenu msaliti, Wakudadavuwa kwenu msaliti, Patrobas kwenu msaliti and the list goes on....

Hamna hoja wakuu, hamna hoja.

Ushauri wa bure tu. Tulieni na muache ujinga wenu dhidi ya rais, angalau mambo yanaelekea now. Mama akija akighairi hamtakuwa na la kumfanya na rais ajae tunachagua msukuma wa Geita, mtajua wenyewe then.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna chama kina wanachama wajinga kama chadema!
 
Kwa haya matendo ya mama Samia ni dhahiri kuwa nchi yetu haikujiandaa kuwa na rais mwanamke......matendo yake ni kielelezo cha uanamke wake unavyoingiliana na taasisi anayoiongoza.........

Nafasi za utumishi wa umma sio kugawiwa kwa kuhurumiana au kubebana bali kwa kuzingatia weledi,umakini na historia ya muhusika......

CCM wameifanya hii nchi kuwa kama danguro.......lakini hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.........
Ulipokuwa unademka humu hukujua haya?
 
Nyinyi huwa hamna jema wala shukran.

Jiwe ndio aliwajua vyema na ndio maana akawafanyia alivyowafanyia. JK aliwaeka karibu na kuamini kwamba Tanzania ni yetu sote lakini shukran yenu ni matusi kwake.

Hata mfanyiwe nini nyinyi hamtokaa mshukuru kwamba angalau mmepata rais anaeskiliza maoni na kujali kwamba sote ni Watanzania. Mmekalia lawama juu ya lawama juu ya lawama.

Muwe na staha na busara na muache huu ujinga wenu dhidi ya rais.

Yaani tatizo ni kuteuliwa Nassari???? Huku hampo na kule hampo
Nakazia
 
Huyu Mama ni tatizo na ameamua kurithi na kuyaenzi baadhi ya mambo ya hovyo ya Mwendazake yaliyotuharibia hii nchi.

Kwa kifupi, hatoshi na bora muda wake uishe aondoke.

Hata Katiba Mpya sidhani kama itakuwa ni moja ya vipaumbele vyake kwani inaonekana ameanza kufurahia hii katiba mbovu inayompa mamlaka makubwa ya kufanya atakavyo.
ccm ni ile ile analog chakavu watu wale wale mawazo yale yake
 
Kwaiyo katika hizi siku mia hana zuri hata moja alilofanya lenye uzito aswa? Ila sisi wanafiki sana,
Ngojea ije kutoka hukumu Ya Mdude Nyagali , tutaanza hapa kumsifia mama kuwa yupo vizuri kuliko dikteta, maana mdude anaenda kuachiwa huru Hana hatia,
Basi baada ya mama aje Ndugai
Aliapa kulinda katiba, hivyo ni jukumu lake na wala sio hisani kuhakikisha watu wanatendewa haki.

Acheni kuwa wajinga!
 
Narudia tena sina imani na huyo Maza. Naona anakurupuka tu na teuzi zake. Sijui hata kama anauliza maswali ya kina kwa hao wanaofanya vetting. Na hao wanaofanya vetting ni watu makini kweli wanaoweka mbele maslahi ya Nchi au WANADEMKA tu ili siku iingie? Kuna OMBWE kubwa sana la uongozi nchini.
Bora Jpm sio 😄.

Vumilia tu, Uongozi perfect utaupata labda kwenye ulimwengu wa kiroho.
 
Wahuni hawa wamegeuza siasa biashara kwahiyo mwenye mawazo kinzani ni msaliti
Nyinyi kila mtu ni msaliti. Yaani msalitiwe nyinyi tu???? Hata mwanamke wako akikusaliti kabla hujamhukumu basi jiulize kwanza kwani imekuwaje akakusaliti???

Leo kina Halima ndio Wasaliti?? Dr. Slaa kwenu msaliti, zitto kwenu msaliti, Wakudadavuwa kwenu msaliti, Patrobas kwenu msaliti and the list goes on....

Hamna hoja wakuu, hamna hoja.

Ushauri wa bure tu. Tulieni na muache ujinga wenu dhidi ya rais, angalau mambo yanaelekea now. Mama akija akighairi hamtakuwa na la kumfanya na rais ajae tunachagua msukuma wa Geita, mtajua wenyewe then.
 
Aliapa kulinda katiba, hivyo ni jukumu lake na wala sio hisani kuhakikisha watu wanatendewa haki.

Acheni kuwa wajinga!
Dah,hii nchi kweli ngumu!!!!
Sijui mtu afanyaje ili kuwafurahisha aisee , mama ameeleza namna kwenye uongozi wake kuwa hatotaka Kodi ya dhulma, hatotaka kumuonea mtu, na ametoa uhuru wa kukosoa na pia kufungulia vyombo vya habari ambavyo vilifungiwa, ayo yote ni yale ambayo enzi za dikteta yalikosekana,
Leo Chadema inazunguka mikoani kufanya mikutano ya ndani,hatujasikia hata purukushani za kuvamiwa na polisi, na mengineyo mengi,

Sasa mnataka mtu wa namna gani!?? Na mama ana siku mia tu tayari mshaanza kusema hafai
 
Back
Top Bottom