fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Huyo maza hahitaji imani yako kuteua watu,na jwa taarifa yako hafanyi uteuzi jumfurahisha mtu yoyote anateua watu wa kumsaidia yeye kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema vizuri.Katafuteni kazi za kufanya, mmekuwa mkibwata mitandaoni miaka mingi sana, hamna lolote mlichowaongezea wananchi. Na katiba ya kumpa kula Mbowe na genge lake dogo halitatokea. Msahau katiba ya matakwa yenu. Tukiifanya itakuwa katiba ya wananchi na kwa manufaa yao, na sio chadema
Hivi ndivyo watu walivyochambua na kupinga uteuzi wa Joshua Nassari kuwa Mkuu wa Wilaya.
View attachment 1825048
View attachment 1825050
Mama na jiwe ni kitu kimoja, nashangaa mnavyolalamika as if aliwaahidi atabadilika.Huyu mama anateua watu walionunuliwa.
Badala achukie upumbavu ule wa Mwendazake yeye anaupalilia na kuuenzi
Alitakiwa aonyeshe mfano kwa kukataa wasaliti, walionunuliwa, yeye anawareward.
Huyu mama hapa kazingua sana.
Huna moral authority ya kujadili maadili ya mteule wowote kati ya wateule wa Mama.wewe huna uwezo wa kujadiliana na mimi. jinoe kwanza kutumia kichwa halafu utanitag wakati mwingine. Watu tunajadili maadili ya mteule wewe unazungumzia vyama
Kila kitu kina utaratibu mkuu.Tkiwaambia CCM ilishapoteza uoni mnasema ni chuki tu. Haya sasa. Huyu mama ni Mzuri isipokuwa genge linalomzunguka ni lilelile la mwendazake. Ana kazi ya kufanya kufumua mfumo mzima. Atazidiwa si muda mrefu. Vetting system ya TZ iliyokufa awamu ya tano ndio hiyo hiyo inaendelea awamu ya sita. Hivi TISS bado wapi TZ? Au waliende kusikojulikana na mwendazake?
Mbona unaandika kama mpumbavu.Na mkiendelea hivi hiyo habari ya mikutano na the so called wapinzani wa kweli itapotelea hewani. Haina hata haja ya kuwakaribisha.
Sisi tutamkumbusha aachane na hizo habari maana Mheshimiwa Kikwete alifanya hivyo na hakuna tija yoyote iliyopatikana law kukutana na hao wanaojiita wapinzani wa kweli. Zaidi zaidi walikwenda tu kunywa chai ikulu na kuongeza gharama zisizo za msingi.
Kwa tabia zenu hizi Wallahi haya mambo ya katiba mpya na tume huru pia yanaweza yakapeperuka na to be honest my friend hamna mtakaloweza kumfanya mama. Ni hisani na busara zake tu. Ni mapenzi yake kwa taifa lake tu, hivyo musitake kumvuruga.
Eti anatoka mtu na kusema hatuwezi kumbembeleza na tutapaza sauti. You are not being realistic.
Muwe na staha wakuu
hao nao unaweza kuita wateule? au waokotwa?Huna moral authority ya kujadili maadili ya mteule wowote kati ya wateule wa Mama.
Kaa kwa kutulia
Mkuu Uttoh2002, unafikiri Mshana ni ccm?! Tuna tatizo kubwa JF, kuna wakati tuna paswa kufikiri nje ya mabox ya ccm vs CHADEMA, kwa masilahi mapana ya nchi yetu!Issue ya Sabaya ni ushindi kwa Chadema? Kila kitu Sio siasa mjinga kweli wewe what about:
- Watoto waliobakwa na kula witiwa?
- wanavyuo waliobakwa na kulawitiwa?
- walioteswa?
- waliozulumiwa?
Nyie CCM hamna akili kabisa! Na huu ubinafai wenu unafika mwisho si Mda mrefu!
Historia inaonyesha awamu ya pili,awamu ya tatu na awamu ya sita zinafana, pili inaonyesha awamu ya Kwanza ,awamu ya tatu na awamu ya Tano zinafana. Bado sijajua viongozi wa hizo awamu zote walikuwa wanasali juma ngapi.Narudia tena sina imani na huyo Maza. Naona anakurupuka tu na teuzi zake. Sijui hata kama anauliza maswali ya kina kwa hao wanaofanya vetting. Na hao wanaofanya vetting ni watu makini kweli wanaoweka mbele maslahi ya Nchi au WANADEMKA tu ili siku iingie? Kuna OMBWE kubwa sana la uongozi nchini.
Kama unyanyasaji na uporaji wa mali na amani kwa wananchi wa Hai na kwingineko ilionekana ni ushindi wa CCM dhidi ya CHADEMA basi CCM ni chama cha mashetani. Maana shetami pekee ndiye anayeweza kufurahia hila zile.Maza yuko vizuri tatizo analemewa na kelele ndani ya ccm...ishu ya sabaya imeleta mgawanyiko mkubwa sana.. Kwakuwa ilionekana ni ushindi kwa CHADEMA na mwenyekiti...! Hili la kuwateua kina Nasari ni kama kuwapoza machungu mataga
Upeo wako kwenye haya mambo ni mdogo sana, lakini angalau unampenda raisi wako, hiyo inatosha!Labda tukisema upinzani wa nchi hii tunakosea. Mbona @ACT Wazale@ACT ni wapinzania lakini wanakosoa, kushauri na kushiriki kwa staha???
Hiki kikundi cha watu lengo lake ni kuingia tu madarakani hata kwa ghiliba, fujo, au hata kwa damu.
Hawana jema hawa, tulipiga kelele weeee kwamba vijana washirikishwe, Leo vijana wanashirikishwa bado wanapiga kelele only because hawateuliwi wao. Yaani wao lazima wateuliwe wao tu.
Watakwambia kuhubiri na kuzunguka nchi nzima sio hisani, lakini kwa miaka mitano waliufyata hawa.
Time yao inakuja na ikifika hatutotaka kuskia malalamiko.
Umeongea kweli Dkt.SkyKama bunge limewashikilia wakina mama 19 wasio na chama, wanaoitwa wabunge wa upinzani bungeni. Mbona hili la Nasari ni cha mtoto.
Hii ndiyo Tanzania.
Magufuli mlimuonea buree tu baba wa watu na mtalitaja sana jina lake lkn haitawezekanaAnazidi kuharibu tu kwani hizo nafasi MATAGA ndio walikuwa wanazitaka hivyo anazidi kuharibu pande zote.
Anatakiwa aachane na mambo ya kijinga aliyoyaasisi Mwendazake.
Unasahau haraka kutelekeza jimbo na bunge hakumpi adhabu ya kifungo cha maisha.... Ila pia wewe kama swala la kumuhudumia mkeo na mimba yenye kukuletea mtoto wako sio jambo la muhimu utakuwa ni zaidi ya kichaa.. Hayo yalipita na sasa utake usitake ndio mkuu wa wilaya hiyo. Case closed.Hii nchi ni kituko cha karne. Mtu alitelekeza jimbo na bunge eti leo ametosha kuhudumia wilaya
Pambaneni maana vichwa maji kweli mlimuonea Magufuli sana ngoja mama awakomeshe na vile msivyo na ajenda wanafiki wakubwa nyieKwa ufinyu wa akili yako. Watu wamekuwa wastaarabu kwa miaka 30 ya mfumo wa vyama vingi lakini maccm yamekuwa yakijizungusha zungusha tu kwa kujua fika kwamba Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ni kaburi ka maccm.
Eti sisi tutamkumbusha!!! Wewe kama nani? Nani aliye kudanganya kwamba una hati miliki ya Tanzania? Au maccm yana hati miliki ya Tanzania au Samia ana hati miliki ya Tanzania?
Acha kuandika ujinga Tanzania ni yetu sote na tumepitia kipindi kigumu sana cha kufikia hadi Watanzania kuuawa eti kosa lao ni kuikosoa Serikali ya kidhalimu ya dikteta magufuli.
Hakuna sababu ya huyo mama kutia pamba masikioni hatuhitaji kuwa na vurugu ili kuhakikisha tuna chaguzi huru na za haki ambazo zitalindwa na Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi na siyo uhuni, wizi na mauaji ya kutisha tuliyoyaona 2020.
Uhuru ni haki acha upumbavu, uhuru ulipatikana 1961 hivyo uzumbukuku wako huo wa eti wamepewa uhuru na rais inaonyesha ni kiasi gani usivyo na akili.Upinzani ndani ya nchi hii ni hopeless
mnataka mama awafanyie nini?
amteue mbowe kuwa dc ndio muone yuko sahihi?
mmepewa uhuru sasa mnajizungusha nchi nzima mnahubiri mambo yenu bila usumbufu kitu ambacho hakikuwepo kwa miaka 5 iliyopita lakini bado mama mbaya
muwe na upeo wa kushukuru
Wewe utanung'unika maisha yako yoteKwa ufinyu wa akili yako. Watu wamekuwa wastaarabu kwa miaka 30 ya mfumo wa vyama vingi lakini maccm yamekuwa yakijizungusha zungusha tu kwa kujua fika kwamba Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi ni kaburi ka maccm.
Eti sisi tutamkumbusha!!! Wewe kama nani? Nani aliye kudanganya kwamba una hati miliki ya Tanzania? Au maccm yana hati miliki ya Tanzania au Samia ana hati miliki ya Tanzania?
Acha kuandika ujinga Tanzania ni yetu sote na tumepitia kipindi kigumu sana cha kufikia hadi Watanzania kuuawa eti kosa lao ni kuikosoa Serikali ya kidhalimu ya dikteta magufuli.
Hakuna sababu ya huyo mama kutia pamba masikioni hatuhitaji kuwa na vurugu ili kuhakikisha tuna chaguzi huru na za haki ambazo zitalindwa na Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi na siyo uhuni, wizi na mauaji ya kutisha tuliyoyaona 2020.
Haa haa utasubiri Sana,mama mpaka 2030Huyu Mama ni tatizo na ameamua kurithi na kuyaenzi baadhi ya mambo ya hovyo ya Mwendazake yaliyotuharibia hii nchi.
Kwa kifupi, hatoshi na bora muda wake uishe aondoke.
Hata Katiba Mpya sidhani kama itakuwa ni moja ya vipaumbele vyake kwani inaonekana ameanza kufurahia hii katiba mbovu inayompa mamlaka makubwa ya kufanya atakavyo.