Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tasnia ya habari imejisahau sana yani na swebe ni mwanahabariNa mwalimu wa UPE Mzee wa Kaliua Oscar Oscar. Hiyo itakuwa Radio kweli?
Halafu sijui haina regulator? Kwa nini wasiweke masharti kwamba mtangazaji lazima awe na degree ya uandishi wa habari?Tasnia ya habari imejisahau sana yani na swebe ni mwanahabari
😄 hii tulisema miaka 2 huko nyuma sana tu humuNdo mmegundua leo...
Saivi ni mwendo wa Kamari tu.
Sasa mm namshukuru Mungu sio mpenzi wa ligi ya Bongo na sio mshabiki wa timu yoyote ya Bongo hvy hua ht sisikilizi hayo mambo.Tena unayapata in real time.... Hata hivyo vipindi vya uchambuzi mpira sina mzuka navyo maana wachambuzi wenyewe hawana jipya, much know kwa sana...
On point...😄 hii tulisema miaka 2 huko nyuma sana tu humu
Watu wamegundua leo
Mfumo ndiyo unataka mambo yawe hivyo
Kuna maeneo ukipita ulikuwa unakuta mziki mnene watu wanawekewa wacheze disco vumbi...saa sita jua kali mziki mndne,na huo mziki una hama
Kwengine 😄
Ova
Ccm inachotaka watu wasijitambue na kulazimisha kusema ni nchi ya amaniHalafu sijui haina regulator? Kwa nini wasiweke masharti kwamba mtangazaji lazima awe na degree ya uandishi wa habari?
Kipindi kama cha michezo kuwa na watangazaji (wanaojiita 'wachambuzi') zaidi ya wanne kwa mara moja.Nini kimekushangaza?
Ma mipira😅Siku hizi hamna cha kusikiliza kwenye maredio huko na sie wengine tusiopenda ma mipira ndo kbs!
CCM lazima ijaze machawa.Halafu sijui haina regulator? Kwa nini wasiweke masharti kwamba mtangazaji lazima awe na degree ya uandishi wa habari?