Martin Maranja Masese: Vipindi vya redio hapa Tanzania vinaharibu fikra na mitazamo yetu wasikilizaji

Martin Maranja Masese: Vipindi vya redio hapa Tanzania vinaharibu fikra na mitazamo yetu wasikilizaji

Sijui nimezeeka sana, mara nyingi husikiliza vipindi vya Redio One ama East Africa Redio, walau vina contents nzuri kuliko redio nyingi za Kisasa.
 
Ndo mmegundua leo...

Saivi ni mwendo wa Kamari tu.
😄 hii tulisema miaka 2 huko nyuma sana tu humu
Watu wamegundua leo
Mfumo ndiyo unataka mambo yawe hivyo
Kuna maeneo ukipita ulikuwa unakuta mziki mnene watu wanawekewa wacheze disco vumbi...saa sita jua kali mziki mndne,na huo mziki una hama
Kwengine 😄

Ova
 
Tena unayapata in real time.... Hata hivyo vipindi vya uchambuzi mpira sina mzuka navyo maana wachambuzi wenyewe hawana jipya, much know kwa sana...
Sasa mm namshukuru Mungu sio mpenzi wa ligi ya Bongo na sio mshabiki wa timu yoyote ya Bongo hvy hua ht sisikilizi hayo mambo.
 
😄 hii tulisema miaka 2 huko nyuma sana tu humu
Watu wamegundua leo
Mfumo ndiyo unataka mambo yawe hivyo
Kuna maeneo ukipita ulikuwa unakuta mziki mnene watu wanawekewa wacheze disco vumbi...saa sita jua kali mziki mndne,na huo mziki una hama
Kwengine 😄

Ova
On point...
 
Ni kweli kabisa, siku asubuhi tu nafungua kuangalia habari tv kubwa Chanel yetu kabisa nikakuta wamemualika kungliga.
Anachamba na kuchambua mambo ya ajabu kabisa asubuhi ile.
Wakaniharibia siku yote.
 
Hii nchi ni uchambuzi tu, Iwe asubuhi, Mchana usiku ni uchambuzi tu kama mazombie! Bora naskiliza radio za nje nshasahau za ndani.
 
Back
Top Bottom