Patrice Diounis
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 1,086
- 2,254
Mngekuwa zina chaji Wasira angekuwa analea vitukuuUkishakuwa chadema tu tayari akili zinapotea zote.

Ni mpumbavu huyo anajua politics ni Imani ya dini au jina la ukooo? 😂😂Ni kupitia mtandao wa X ambapo Martin Maranja Masese ameandika makala ndefu akisikitishwa na ushiriki wa Mbowe kwenye huo uzinduzi.
Kwakweli ameandika kwa uchungu mkubwa na mwishoe kasema anajuta kumpa mwanae jina la Freeman.
It is very bad!
Mbowe atambue kwamba akishadharauliwa hapa JF ndio kadharauliwa Dunia NzimaNi kupitia mtandao wa X ambapo Martin Maranja Masese ameandika makala ndefu akisikitishwa na ushiriki wa Mbowe kwenye huo uzinduzi.
Kwakweli ameandika kwa uchungu mkubwa na mwishoe kasema anajuta kumpa mwanae jina la Freeman.
It is very bad!
Jina huwa halina tafsiri, vinginevyo Kumamoto lingekuwa ni tusi lakini si tusi bali ni jina la mji huko Japani.Masese kikurya ni Mbwa. Angempa mwanae Jina la Mbwa au Dog wu wu wu wu wu..
Mbona mnawapa majina ya wanafunzi wa Yesu?Politics is a game of interests, siwezi kuwa shabiki maandazi kiasi hicho mpaka nifike hatua ya kumpa mtoto wangu jina la mwanasiasa.
Ulicho uliza mimi sina experience nacho, watakujibu wanaowapa watoto wao hayo majina.Mbona mnawapa majina ya wanafunzi wa Yesu?
Amechagua meza ya damuMbowe nilipoteza nae imani kabisa ile December 2024 alipoanza kupigiwa kampeni na wanaccm kwenye uchaguzi wa CHADEMA.
Na hata mbinu waliyotumia ile eti makada wanamfuata kwake kuomba agombee ni mbinu za maigizo ya CCM na TBC wakaipa coverage press yake.
Bahati nzuri kuanzia hiyo siku mtazamo na michango yangu kuhusu yeye ilibadilika sina nachojutia .
Tangu lini CCM na TBCCM wameanza kuipenda CHADEMA hadi wakamtaja Mbowe kama "Mwamba"
View attachment 3655220View attachment 3655221
Najuta wakati wa uchaguzi wa cdm kumuunga mkono Mbowe.Mzee @freemanmbowetz
Wanyama wa porini huua/kupigana kwa sababu zinazohusiana na mahitaji ya kuishi: chakula, kujilinda, kulinda watoto au eneo. Simba anawinda kwa ajili ya chakula siyo mateso, chuki, kisasi
Binadamu ni viumbe katili zaidi ya wanyama. Binadamu anaweza kumdhuru mwingine kwa sababu ya chuki, ubaguzi, tamaa, kulipiza kisasi, madaraka au kwa sababu anaona mwingine hafai kuishi
Kutoka Mikocheni kwenda ilipo Mahakama Kuu ya Tanzania ni umbali usiozidi 5KM. Kutoka Mikocheni kwenda Rufiji ulipo mradi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) ni umbali wa 260KM
Unaweza kusafiri kwenda mkoa mwingine kwa zaidi ya saa tano kuhudhuria shughuli za Serikali katili ya CCM lakini huwezi kutumia dakika 10 kutoka kwako kwenda Mahakama Kuu katika kesi ya TAL?
Huwezi kwenda safari ya 5KM kumuona Mwenyekiti wako wa chama, aliyerithi kiti chako katika uchaguzi HURU na HAKI lakini unaweza kwenda 260KM kuungana na watesi wa Mwenyekiti wako?
Nini muhimu zaidi kwako? Ni wewe ulitueleza miradi ya maendeleo haiwezi kuwa mbadala wa haki za binadamu. Leo kuna watu wanatekwa na kupotezwa, wanashtakiwa kwa ugaidi na uhaini. Hujui?
Lakini umechagua nini? Nimekusikiliza ukisema “mradi wa JNHPP usichukuliwe kisiasa kwa kuwa ni mradi unaokwenda kusaidia uchumi”. Umesahau ulitueleza nini kuhusu miradi ya MAGUFULI?
Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe kwa sasa ni ‘mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya CHADEMA - ni kutokana na hiki kinachoitwa ‘ustaafu’ wa uenyekiti wa CHADEMA Taifa
Kwa maana kwamba, Freeman Mbowe yupo katika kundi sogozi la WhatsApp na mengine (kama yapo) ambayo wajumbe wa kamati kuu wanajadili kwa hisia zao tofauti masuala mbalimbali ya chama
Mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu CHADEMA huwezi kwenda Mahakamani katika kesi ya kiongozi wa chama, lakini unaweza kwenda katika shughuli zinazoongozwa na mwenyekiti wa CCM
Freeman Mbowe umesahau, wakati ukishtakiwa kwa makosa ya uongo ya UGAIDI, Tundu Lissu alikuwa Belgium akijiuguza majera ya risasi. Aliomba kukutana na Rais alipokuwa Brussels
Pamoja na mambo mengine waliyokubaliana, alisema Mwenyekiti Freeman Mbowe aachiwe ndiyo tufungue ukurasa mpya. Tundu Lissu alitujulisha mwenyewe hayo alipozungumza na umma.
Tundu Lissu akiwa na siku 500 gerezani. Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe hujawahi kukanyaga Mahakamani kuanzia Kisutu hadi Mahakama Kuu hata kwa bahati mbaya.
Saa 24 baada ya Mahakama Kuu kusema Tundu Lissu ana kesi ya kujibu katika mashtaka ya UHAINI ya uongo na uzandiki, Freeman Mbowe unaibuka katika shughuli za Serikali ukiwa na MAWAZIRI.
Mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu ya CHADEMA umekataa kabisa kuhudhuria shughuli zozote za CHADEMA lakini unaweza kuhudhuria shughuli unazoalikwa na WATAWALA KATILI wa CCM.
Unahudhuria shughuli za Serikali umeongozana na mawaziri wa Serikali katili ya CCM wakati ambao wanachama na wafuasi wa CHADEMA kwa mamia wamekamatwa na kushtakiwa kwa UGAIDI?
Mzee Freeman Mbowe umesahau haraka. Kuna watu walifungwa gerezani, wengine sasa ni walemavu, wengine sasa ni marehemu kwa sababu ya kupigania jina lako ukiwa kiongozi wa chama chetu.
Umesahau, wakati unakamatwa na Serikali katili ya CCM, 2021, wanachama wa CHADEMA walikwenda kuonyesha ‘solidarity’ na wewe pale KISUTU. Walikamatwa, wakashtakiwa, wakafungwa
Najutia zile siku nilisimama nawe, kukutetea na kunadi jina lako kwa nia njema kabisa nikifikiri unapambania uhuru, haki na mabadiliko ya kweli. Haikuwa hivyo. Ulitudanganya tukishindwa.
Nasema kwa kuwa kwa hiari yangu, niliamua kusimama nawe, kukunadi katika mazingira ambayo ilionekana ni kama kuuza kitimoto Mecca. Lakini sikutarajia tukishindwa, tuisaliti CHADEMA
Wengine sasa tumeelewa kwa kuchelewa sana. Hii chuki haiwezi kuwa ya kushindwa uchaguzi. Lazima kuna mafekeche mengine. Kuna kingine kimeujaza chuki moyo wako. Je, kuna mrija, umekatwa?
Najutia kumpa mtoto wangu jina lako, Freeman.
View attachment 3655185
Mbowe aulizwe alipo Ben SaananeMzee @freemanmbowetz

Amechagua meza ya damu
Umesahau kuwa Mbowe alikutwa na kesi ya kujibu akasamehewa?TAL ameyataka mwenyewe na sote tuliona akisema kama atakinukisha na watavuruga uchaguzi so 100% is guilty lakini FAM sijaona viashiria vyovyote vile alivyotuhumiwa navyo kwahiyo hawezi kuendekeza ujinga wa mtu aliyefanya kosa halafu ategemee watu wamchekee hiyo imekula kwake
Aibu sanaPamoja na uhuru aliokuwa nao, bado anefanya kitendo cha hovyo sana. Na kama alifikiri kinamjenga kisiasa, amekosea sana. Kwa sababu anaingia rasmi kwenye kundi la akina Lipumba, Mrema, Cheyo, nk.