Martin Maranja: Najutia kumpa mtoto wangu jina la “Freeman”

Ni kupitia mtandao wa X ambapo Martin Maranja Masese ameandika makala ndefu akisikitishwa na ushiriki wa Mbowe kwenye huo uzinduzi.

Kwakweli ameandika kwa uchungu mkubwa na mwishoe kasema anajuta kumpa mwanae jina la Freeman.

It is very bad!
Ni mpumbavu huyo anajua politics ni Imani ya dini au jina la ukooo? 😂😂
 
Ni kupitia mtandao wa X ambapo Martin Maranja Masese ameandika makala ndefu akisikitishwa na ushiriki wa Mbowe kwenye huo uzinduzi.

Kwakweli ameandika kwa uchungu mkubwa na mwishoe kasema anajuta kumpa mwanae jina la Freeman.

It is very bad!
Mbowe atambue kwamba akishadharauliwa hapa JF ndio kadharauliwa Dunia Nzima

Zitto alianza namna hii
 
TAL ameyataka mwenyewe na sote tuliona akisema kama atakinukisha na watavuruga uchaguzi so 100% is guilty lakini FAM sijaona viashiria vyovyote vile alivyotuhumiwa navyo kwahiyo hawezi kuendekeza ujinga wa mtu aliyefanya kosa halafu ategemee watu wamchekee hiyo imekula kwake
 
Mbowe nilipoteza nae imani kabisa ile December 2024 alipoanza kupigiwa kampeni na wanaccm kwenye uchaguzi wa CHADEMA.

Na hata mbinu waliyotumia ile eti makada wanamfuata kwake kuomba agombee ni mbinu za maigizo ya CCM mara utasikia bodaboda mara machinga walimchangia na kumuomba Samuya agombee na cha kushangaza na TBC wakaipa coverage press yake.

Bahati nzuri kuanzia hiyo siku mtazamo na michango yangu kuhusu yeye ilibadilika sina nachojutia .

Tangu lini CCM na TBCCM wameanza kuipenda CHADEMA hadi wakamtaja Mbowe kama "Mwamba"

 
Amechagua meza ya damu
 
Najuta wakati wa uchaguzi wa cdm kumuunga mkono Mbowe.
 
Mbowe aulizwe alipo Ben Saanane
 
Umesahau kuwa Mbowe alikutwa na kesi ya kujibu akasamehewa?
 
Pamoja na uhuru aliokuwa nao, bado anefanya kitendo cha hovyo sana. Na kama alifikiri kinamjenga kisiasa, amekosea sana. Kwa sababu anaingia rasmi kwenye kundi la akina Lipumba, Mrema, Cheyo, nk.
Aibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…