Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,468
- 2,349
Vipi cha Songea- Ruvuma?Kuanzia cha Arusha, Seronera vyote hivyo wanatumia Visual kutua na kupaa
Manake mara nyingi ndege zimekuwa zikishindwa kutua kutokana na hali mbaya ya hewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi cha Songea- Ruvuma?Kuanzia cha Arusha, Seronera vyote hivyo wanatumia Visual kutua na kupaa
Ndiyo maana umewekwa ziwani kama likitokea la kutokea(kama la precision Air) ngoma iishie ziwani kupunguza madhara.Binafsi nilikuwa najua hiyo Airport ni kubwa kumbe ndio hivyo!!
Kwahiyo ni kama viwanja vya huko kwenye mbuga zo wanyama zinakotua ndege ndogo ndogo.
Havina towerVipi cha Songea- Ruvuma?
Manake mara nyingi ndege zimekuwa zikishindwa kutua kutokana na hali mbaya ya hewa.
alafu anatokea super hero mwengine kama majaliwa anavunja mlango kwa mwiko wa ngalawa kisha wanatoka wote hahahahaKwa nini sasa walazimishe? ningekuwa rubani nasubiri maofisa kama wote wa Serikali ndani ya ndege afu naitokomeza ndani ya maji ...vile vile.
VFR ina kanuni zake na shariti rubani aweze kuona vizuri otherwise huruhusiwi ku-fly kwa kutumia VFR.Kuanzia cha Arusha, Seronera vyote hivyo wanatumia Visual kutua na kupaa
Na ndo maana hata wa juzi aliamua kuondoka, japo angeamua kutua angetua.VFR ina kanuni zake na shariti rubani aweze kuona vizuri otherwise huruhusiwi ku-fly kwa kutumia VFR.
Lakini huwezi tumia VFR kama hali ya hewa ni mbaya(poor visibility, FOG, n.k)Airdomes , Air strips haziwi na tower
Hapo unatumia VFR kutua na kupaa, maana hakuna IFR kama ILS ambazo zinakuwezesha tua hata hali ikiwa mbaya (isiwe upepo tu)
Kuna umbali sana, alafu kuvuka pale busisi huwa ni masaa mengi sababu ya foleni. Labda Daraja likamilikeHivi barabara ya kutoka Mwanza kwenda bukoba ni mbovu sana? Au mbali sana?
Mnaokaa huko mtusaidie kui describe maana
Ndivyo unavyo jitetea bwana kassim majaliwa? Kama umechoka na majukumu achia kiti waje wenye uwezo wa ku handle issues. Zanzibar na viwanja vya huku bara vinahusiana vipi? Usipanic shughulikia jambo hilo. Au kama wewe ni chawa fikisha ujumbeKila kitu majaliwa. Huyo Waziri wa Zanzibar, wa uchukuzi humuoni? Waziri Mkuu na Viwanja vya ndege ana husikaje? Ww binafsi ume panda ndege mara ngapi? Je ndege ndio kipaumbele sana akilini mwako?
Suicide mission?Kwa nini sasa walazimishe? ningekuwa rubani nasubiri maofisa kama wote wa Serikali ndani ya ndege afu naitokomeza ndani ya maji ...vile vile.
Uwanja wa ndege wa Bukoba ni upgraded Airstrip, siyo uwanja wa ndege halisi.Nimeshangaa sana hata mimi. Yaani uwanja unaotua ndege za abiria hauna control tower?
Natamani Air Tanzania ije izame baharini ikiwa na mambuzi fulani wako bungeni pumbavu zao vibwengo wale.
Terminogy za traab and traats mpaka hapa ushaniingiza kichochoroni huu mzigo mpaka nikuele ni copy nika pest google[emoji16][emoji16]Airdomes , Air strips haziwi na tower
Hapo unatumia VFR kutua na kupaa, maana hakuna IFR kama ILS ambazo zinakuwezesha tua hata hali ikiwa mbaya (isiwe upepo tu)