Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 7,828
- 9,546
Wakuu hili suala la serikali kupiga marufuku uvaaji wa nguo ya aina yoyote yenye bendera ya Tanzania mnalichukuliaje, binafsi naona inamnyima Mtanzania kuwa huru na nchi yake kwa kujivunia rangi nzuri za bendera kupitia shati au kacha. Alafu inaleta uzalendo kwa kiwango kikubwa sana.
Nimefuatilia wenzetu Kenya aisee wale jamaa ni wazalendo na wanaipenda sana nchi yao wako huru kuitangaza bendera ya nchi yao kupitia mavazi na baadhi ya mapambo ila kwetu ni marufuku na sheria iko wazi kuwa ukikutwa umenunua vazi lenye bendera ya nchi utatozwa faini au kifungu miaka miwili jela.
Natoa rai kwa Wahusika hili suala litazamwe upya tena liwe discussed bungeni upya, hii sheria ipitiwe upya watu waruhusiwe kuitumia bendera kwa vitu positive na sio vinginevyo.