Marufuku kuvaa nguo yenye bendera ya Tanzania bila kibali!

Marufuku kuvaa nguo yenye bendera ya Tanzania bila kibali!

Sio kweli, rais alishalitolea maelezo, vaeni tu hadi chooni
Thatha wewe unatukumbusha thaa hizi, na mie nilishamwambia mke wangu mama Namwathi akatupe chooni ile thupi yake ya bendera athije kukamatwa na polithi wa thithiem!
 
Kaa mbali na
- Kacha yenye bendera ya TZ
- Leso au kitambaa chenye bendera ya TZ
- Begi lenye bendera ya TZ
- na nguo za aina zote iwe shati, tshirt, suruali au scarf yenye bendera ya TZ.

Ukikamatwa jela miaka 2.
Tuanzishe campaign ya kuitangaza Kenya, tuvae vitu vyenye bendera yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza mtoa mada: Kuna taarifa yeyote hivi karibuni kutoka kwa vyombo vya usalama wametoa hii marufuku au wewe ndio umeamua kutukumbushia...

Sweta za shule za msingi nyingi zina hizo bendera.

Awamu hii tumekuwa nchi ya kuchanganyikiwa haswaa!
 
Back
Top Bottom