Marufuku kuvaa nguo yenye bendera ya Tanzania bila kibali!

Marufuku kuvaa nguo yenye bendera ya Tanzania bila kibali!

Naomba kuuliza mtoa mada: Kuna taarifa yeyote hivi karibuni kutoka kwa vyombo vya usalama wametoa hii marufuku au wewe ndio umeamua kutukumbushia...

Hiyo ni sheria mkuu na ipo, wapo wanasheria humu JF watakuja kutusahihisha hapa. Ntakiweka hiko kipande mkione.
 
Wakuu hili suala la serikali kupiga marufuku uvaaji wa nguo ya aina yoyote yenye bendera ya Tanzania mnalichukuliaje, binafsi naona inamnyima Mtanzania kuwa huru na nchi yake kwa kujivunia rangi nzuri za bendera kupitia shati au kacha. Alafu inaleta uzalendo kwa kiwango kikubwa sana.

Nimefuatilia wenzetu Kenya aisee wale jamaa ni wazalendo na wanaipenda sana nchi yao wako huru kuitangaza bendera ya nchi yao kupitia mavazi na baadhi ya mapambo ila kwetu ni marufuku na sheria iko wazi kuwa ukikutwa umenunua vazi lenye bendera ya nchi utatozwa faini au kifungu miaka miwili jela.

Natoa rai kwa Wahusika hili suala litazamwe upya tena liwe discussed bungeni upya, hii sheria ipitiwe upya watu waruhusiwe kuitumia bendera kwa vitu positive na sio vinginevyo.

View attachment 1381980
Sio kweli, rais alishalitolea maelezo, vaeni tu hadi chooni
 
Sehemu ya hiyo sheria.

IMG_4244.jpeg

IMG_4245.jpeg



6. Unlawful use of National Flag, Coat of Arms or any likeness thereof​

(1)No person shall use the National Flag, the Coat of Arms or any likeness of the National Flag or of the Coat of Arms—(a)as a trade mark for any article sold or offered for sale;(b)in furtherance of or as an advertisement for any trade, business, industry, calling or profession;(c)on any article which is sold, offered for sale or intended to be sold or offered for sale;(d)on any article which is used by any person otherwise than for a purpose approved by the Minister.(2)The Minister may, by writing under his hand, exempt any person or class of persons or any article or category of articles from any or all of the provisions of subsection (1), subject to such terms and conditions as the Minister may think fit to impose.(3)Any person who contravenes the provisions of subsection (1) or, being a person to whom the provisions of subsection (2) apply, contravenes any of the terms or conditions imposed by the Minister commits an offence and shall be liable on conviction to a fine not exceeding twenty thousand shillings or to imprisonment for a term not exceeding two years or both.

7. Insulting the National Flag or Coat of Arms​

Any person who does any act or utters any word or publishes any writing with intent to insult or bring into contempt or ridicule the National Flag or Coat of Arms of the United Republic of Tanzania or of any likeness thereof commits an offence and shall be liable on conviction to a fine not exceeding twenty thousand shillings or to imprisonment for a term not exceeding two years or both.
 

Attachments

Kwanza bendela imejaaa langi za ccm hakuna MTU wakuvaaa upuuzi uwo
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kaa mbali na
- Kacha yenye bendera ya TZ
- Leso au kitambaa chenye bendera ya TZ
- Begi lenye bendera ya TZ
- na nguo za aina zote iwe shati, tshirt, suruali au scarf yenye bendera ya TZ.

Ukikamatwa jela miaka 2.

Vipi kuhusu Skauti,

maana skafu ina rangi za bendera ya Taifa.

Njombe, Manyara, Singida, Mbeya watoto wanavaa masweta yenye rangi za bendera ya Taifa, nao ni MARUFUKU?

WAZIRI MWAKYEMBE,

NJOO NA UFAFANUZI MHESHIMIWA.
 
Kaa mbali na
- Kacha yenye bendera ya TZ
- Leso au kitambaa chenye bendera ya TZ
- Begi lenye bendera ya TZ
- na nguo za aina zote iwe shati, tshirt, suruali au scarf yenye bendera ya TZ.

Ukikamatwa jela miaka 2.
Weka video ya tamko.
 
Sehemu ya hiyo sheria.
Kuna katazo la serikali la hivi karibuni? Hiyo sheria zio ya leo au jana ila wewe ulivyoandika ni kama vile kuna taarifa ya katazo imetolewa leo au jana.

Haya mambo mengine msiwe mnakurupuka kujiandikia au kuchukua taarifa kutoka uchochoroni huko na kuleta taharuki.
 
Kuna katazo la serikali la hivi karibuni? Hiyo sheria zio ya leo au jana ila wewe ulivyoandika ni kama vile kuna taarifa ya katazo imetolewa leo au jana.

Haya mambo mengine msiwe mnakurupuka kujiandikia au kuchukua taarifa kutoka uchochoroni huko na kuleta taharuki.

Umeelewa hivyo vifungu lakini? Haujui kwamba watu walikuwa wanakiuka hivyo vifungu bila kujua?
 
Back
Top Bottom