Dah! Ahsante kwa Taarifa,ninayo ndani huwa nikijisikia tuu navaa...umeniokoa mkuu.
Nitatumia Kacha zenye nembo ya Kenya nilikuwa naona rafiki yangu akivaa namshangaa kumbe kuna muda inatakiwa tuvae za wengine.Kaa mbali na
- Kacha yenye bendera ya TZ
- Leso au kitambaa chenye bendera ya TZ
- Begi lenye bendera ya TZ
- na nguo za aina zote iwe shati, tshirt, suruali au scarf yenye bendera ya TZ.
Ukikamatwa jela miaka 2.
Hilo zuio limetolewa na nan mkuu ebu tuwekee chanzo hapa.Wakuu hili suala la serikali kupiga marufuku uvaaji wa nguo ya aina yoyote yenye bendera ya Tanzania mnalichukuliaje, binafsi naona inamnyima Mtanzania kuwa huru na nchi yake kwa kujivunia rangi nzuri za bendera kupitia shati au kacha. Alafu inaleta uzalendo kwa kiwango kikubwa sana.
Nimefuatilia wenzetu Kenya aisee wale jamaa ni wazalendo na wanaipenda sana nchi yao wako huru kuitangaza bendera ya nchi yao kupitia mavazi na baadhi ya mapambo ila kwetu ni marufuku na sheria iko wazi kuwa ukikutwa umenunua vazi lenye bendera ya nchi utatozwa faini au kifungu miaka miwili jela.
Natoa rai kwa Wahusika hili suala litazamwe upya tena liwe discussed bungeni upya, hii sheria ipitiwe upya watu waruhusiwe kuitumia bendera kwa vitu positive na sio vinginevyo.
View attachment 1381980
vp wanafunzi wa shule za msingiNasisitiza ni marufuku
Yeah wamekataza. Hadi uombe kibali, kwa kuinunua kwa TSh 80,000 mpaka 100,000 serikalini.
Wakuu hili suala la serikali kupiga marufuku uvaaji wa nguo ya aina yoyote yenye bendera ya Tanzania mnalichukuliaje, binafsi naona inamnyima Mtanzania kuwa huru na nchi yake kwa kujivunia rangi nzuri za bendera kupitia shati au kacha. Alafu inaleta uzalendo kwa kiwango kikubwa sana.
Ama Kweli hii ndo awamu ya tano. Ccm mbele kwa mbele babaaa mbele kwa mbelee [emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji351][emoji351][emoji397][emoji397][emoji397][emoji344][emoji344][emoji344][emoji344][emoji443][emoji443][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji445][emoji444][emoji442][emoji441][emoji981][emoji450][emoji450][emoji449][emoji449][emoji449][emoji1623][emoji1623][emoji447][emoji448][emoji448][emoji333][emoji333][emoji333]
Sent using Jamii Forums mobile app