Marufuku kuvaa nguo yenye bendera ya Tanzania bila kibali!

Wanafikiri vyema ama CCM ndiyo mawazo yao
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeelewa hivyo vifungu lakini? Haujui kwamba watu walikuwa wanakiuka hivyo vifungu bila kujua?
Hiyo sheria ipo miaka mingi sio leo, kuna katazo lolote la kuweka mkazo hiyo sheria?

Sio kila unachokisoma tu au unachokifahamu leo basi ukafikiri watu hawakua wanafahamu.

Watu mnakurupuka tu huko.
 
Haaaa...waafrika alietuloga alikufa miaka 1000 nyuma....
Watu hawafikirii kabisa....Yaani ile mentality ya kikoloni bado ipo kabisa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee ....Mfawidhi umenena vema....!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa miaka kadhaa nyuma ningesikitika.Lakini kwa kipindi hiki tangu 2015 wala sifikirii.
 
Watangaza rasmi tuwe tunavaa za ccm
 
Ni Mwafrika chini ya Jangwa la Sahara ndie anaweza kuwa na Mawazo kama haya..

Bendera ni alama inayowakilisha nchi, Bendera haiwezi kuwa Bendera kama haipepei kwenye mringoti au sehemu fulani..

Kuvaaa picha inayofanana na Bendera kwenye fulani au kitu chochote chengine ni kuitangaza nchi husika..

Leo hii nchi kama Marekani inajulikana kila kona ya Dunia, mtoto wa miaka 6 anajua Bendera ya Marekani iko vipi, hii inaipa faida kubwa nchi ya Marekani kwenye kila nyanja

Watanzania tubadilishe vipi tuna fikiri na kuwaza, kuvaa picha iliyofanana na Bendera ni uzalendo, ni kuitangaza nchi
 
thanks to god aint no body tryna wear that piece of shit anyways it ridiculous when you got it on
 
Kuna waziri alipiga marufuku kusema bendera ya taifa ina rangi ya njano ...halafu tamko lenyewe alilitoa kwa kauli jeuri...

Akaja mwenye bendera na kutoa kauli

Warizi alisinyaa kutoka tiger mpaka cat
 
Naomba kuuliza mtoa mada: Kuna taarifa yeyote hivi karibuni kutoka kwa vyombo vya usalama wametoa hii marufuku au wewe ndio umeamua kutukumbushia...
Nami nilitaka kuuliza hivi hivi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…