Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Za marekani pale manzese unajipatia raba saafi,begi ,lesso,tshirt hazizidi buku kumiYeah wamekataza. Hadi uombe kibali, kwa kuinunua kwa TSh 80,000 mpaka 100,000 serikalini.
Thatha wewe unatukumbusha thaa hizi, na mie nilishamwambia mke wangu mama Namwathi akatupe chooni ile thupi yake ya bendera athije kukamatwa na polithi wa thithiem!Sio kweli, rais alishalitolea maelezo, vaeni tu hadi chooni
Tuanzishe campaign ya kuitangaza Kenya, tuvae vitu vyenye bendera yaoKaa mbali na
- Kacha yenye bendera ya TZ
- Leso au kitambaa chenye bendera ya TZ
- Begi lenye bendera ya TZ
- na nguo za aina zote iwe shati, tshirt, suruali au scarf yenye bendera ya TZ.
Ukikamatwa jela miaka 2.
Hivi vitoto vifungwe jela.View attachment 1382070
Kamata hawa watoto tia ndani masaa 24 wanakuika marufuku ya kuvaa nguo za bendera!
Utafunguliwa kesi ya uhaini kuuza Tanzania kwa Kenya. Haina dhamana wala negotiation na DPP!Tuanzishe campaign ya kuitangaza Kenya, tuvae vitu vyenye bendera yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kuuliza mtoa mada: Kuna taarifa yeyote hivi karibuni kutoka kwa vyombo vya usalama wametoa hii marufuku au wewe ndio umeamua kutukumbushia...