Marufuku Mtanzania kujiunga Jeshi la nchi nyingine

"Ni mercenary..ni mercenary tu..ni vibaraka malaya malaya"..in JK Nyerere voice.
 
Serikali ijitahidi kutoa ajira kwa vijana ili wasishawishike na mambo kama haya

Hakuna logic kwenye hili katazo kwakua ukijiunga na jeshi la nchi nyingine wewe sio raia tena wa nchi unayotoka.
 
Huenda kuna akina Tarimo wengi walioponea chupuchupu wapo nasi mtaani. Utawatambuaje? Hivi vikundi vya kigaidi vilipataje mafunzo?
 
Wale wa Tanzania ambao wapo jeshi la USA hiv walishakana u Tanzania ??!
 
Huu ni ushahidi wa wazi kuwa Urusi wansjeshi wao wamepukutishwa na wanajeshi shupavu wa Ukraine kiasi kuwa sasa waanaamua kutumia wafungwa
 
Huyo Mtanzania hakuna ushahidi wowote kuwa alijiunga Jeshi la Urusi kwa hiyari yake. Inawezekana kabisa alilazimishwa. Na pia inawezekana kabisa akawa ameuawa na Warusia wenyewe huko vitani. Kwa akili ya kawaida tu .... kwa jinsi Russia walivyo wabaguzi, ningekuwa mimi ni bora gerezani ambako alishakaa two years kuliko kuwa nao huko mstari wa mbele vitani.
 
Niache kujiunga Wagner Group nikaipiganie Russia nibaki huko Tz jobless? anazingua huyu maza
 
Sasa kama amepata kazi huko na huku kazi hakuna akatae?
 
Sheria zipi? Azitaje na adhabu yake. Yaani mi nimepata bingo ya kujiunga na jeshi la Ukrain kwa mshahara wa mil 25 kwa mwezi nikatae wakati hapa hakuna kazi?
 
Sasa huku hakuna kazi halafu huko umepata kazi. Mama atoe vifungu vya sheria asizungumze tu kwasababu ya huyo aliyefia Ukrain akipigana upande wa Urusi.
Kwa jinsi mtaani kulivyo na njaa ni ngumu kuacha opportunity kama hiyo

Mtu ataona bora aukane huo uraia wa TZ maana haumsaidii

Me mwenyewe hapa nikipata uraia ama kazi huko Russia naenda kukipiga vizuri tu hata siwazi mara mbili
 
C
"Ni mercenary..ni mercenary tu..ni vibaraka malaya malaya"..in JK Nyerere voice.
COncept ya kutumia mercenaries kwenye vita haijaanza leo ipo tokea enzi za himaya za kale ,warumi ,waajemi nk
 
Sasa ajirini watu Kama private military contractors Kama ilivyo Marekani hii pia ni source ya ajira watu huajiriwa hata kwa kipindi cha miaka mitano mfano jeshi la marekani alafu hapa mnakuja kutoa hayo matamshi, sasa je, ni shria gani imevunjwa? Kifungu kipi cha katba? Au ni amri tu Kama amri zingine mnazotoaga
 
Yaani kitaa ajira hamna alafu niache kazi ccm bana we unaongea pumba kwa sababu watoto wako ushavuna hela za tz ya vibanda unawalisha yaani ni natamani hata kwenda kujiunga na jeshi la Somalia au congo maana hili la kwenu mnawekaga watoto wenu kwakuwa mnajua hakunaga vita bongolala apa.
 
Serikali ijitahidi kutoa ajira kwa vijana ili wasishawishike na mambo kama haya

Hakuna logic kwenye hili katazo kwakua ukijiunga na jeshi la nchi nyingine wewe sio raia tena wa nchi unayotoka.
Hivi mtu ataacha kushawishika $300,000 kwa mwaka akienda pigana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…