Marufuku: Tabia zifuatazo kwa mwaka 2024

Kwa mamlaka niliyojipa ninapiga marufuku tabia zifuatazo kwa mwaka 2024;
1. Kufungua threads za kuwasimanga single mothers.

2. Kukopa ovyo bila mpangilio na mwisho wa siku kujikuta kwenye matatizo yasiyo ya lazima. Waalimu wengi mzingatie sana hili.

3. Wanawake kuwapa kipaumbele viongozi wenu wa kiroho kuliko waume zenu. Huu upumbavu sitaki kuuona wala kusikia kwa 2024. Kama una baba wa kiroho acha mara moja.

4. Kwenda kula vinono migahawani huku nyumbani kwako wakishindia dagaa. Wanao na mke pia wanapenda zile chapati mbili na supu ya mbuzi. Hakikisha na wao wanakula unachokula wewe. Pumbav sana.

5. Kuishi kistaa mijini huku kijijini kwenu wazazi wakiwa wanaishi kifukara kwenye mbavu za mbwa. Unajisikiaje kuishi pazuri ukisukuma ndinga kali town huku familia yako ikiishi kifukara? Huu upumbavu mwishi ilikuwa 2023.

6. Kuendekeza mambo yasiyokuongezea thamani kwa mwaka mzima kama vile kufuatilia sana mechi za mpira. Fuatilia mambo ya burudani ila jiongezee thamani. Kama mhasibu huna CPA fanya uitafute mwaka huu. Wale wa IT kuna zile professional certifications pambaneni mzipate.

7. Wale mnaouza utu na kutojali maadili kisa pesa muache mara moja. Kibaya zaidi akijitokeza mtu kukemea na kukosoa upuuzi mnadhihaki kwa kumwambia "Acha makasiriko tafuta hela"... acheni kuabudu pesa kwa mwaka 2024.

Ongeza tabia nyingine unayoona haifai kuwepo kwa mwaka huu.
Mm upande wangu kubeti, pamoja na ubishi nimeacha Jana Rasmi
 
Sema pia watu wengine kwenye kudai huwa wanajitoa ufahamu na kujifanya wendawazimu. Nilimkopa mtu kama 15m kwa riba ya 20% nikaanza kumlipa kila mwezi 3m lengo nimlipe kwa 6 months ila bahati mbaya sana ilipofika mwezi wa 4 kukatokea ugumu kwenye biashara nikawa nimechelewesha sehemu ya rejesho kama wiki. Kabla jamaa hajaanza kunipigia nikaona acha nimwahi kumpigia na kumweleza hali halisi ili tuone kama tunaweza kubaliana upya kuhusu kiwango cha urejeshaji. Ile kuanza tu kujieleza jamaa akaniambia yeye hajali lolote kuhusu mkwamo wangu wa biashara anachotaka ni hela yake na hataki maelezo yoyote. Nikakata simu na kujiambia hii sasa ni vita.. mtu nina hela yake na hataki kunisikiliza LAZIMA AJUTIE. Na hadi muda huo nilisharejesha 10m. Nikaamua kukausha na kupambana biashara ikae sawa ndo nirudi tena..... kulitokea vitisho vikali sana kwa miezi kadhaa ila baadae jamaa akajishusha tukaongea na kukubaliana kiasi cha kulipa. Baada ya kumaliza lile deni nimejiambia sitaki tena mikopo ya watu binafsi wala hizi taasisi ambazo sio benki.
Nenda kakope bank alaf wacheleweshee ndo utajua hujui
 
Kuna mtu namdai hela nyingi sana aisee,, nilijisemea moyoni nimemsamehe maana hadi leo ni mwaka wa pili umeingia na hana mpango wa kunipa..Lakini kila nikionana nae naumia na sina chakumfanya kwasababu ni mtu wangu wa karibu sana
Inauma sana, kuna mtu anaitwa Yona Nyingi nilisoma naye chuo, akapata kazi Moshi akiwa Mbeya akawa hana nauri akaomba nimuazime nauri nikampatia na ya kula kabisa. Lakini baada ya kupata akajizima data kabisa, nikimucheki ananiambia nitakupa tu, niliamua kumusamehe ila nikikutana naye Facebook unakuta kaposit maneno ya kiMungu ndo mpaka ananichosha. Mpaka ameshakata urafiki na Mimi. Yani watu wa hivyo wananikera sana. Ila kanifunza na amewaponza waliokuwa wakihitaji msaada kwangu make kuanzia hapo simuamini mtu.
 
Pole Sana aisee
 
Nenda kakope bank alaf wacheleweshee ndo utajua hujui
Hata benki kuna Loan rescheduling kama mkikaa chini mkaongea. Kitakachoongezeka ni riba ila kunakuwa na unafuu wa kulipa. Tatizo watu wengi huwa wanakopa bila kuwa na nia ya kurejesha. Na wale wapuuzi zaidi huwa hawasomi hata kilichoandikwa kwenye loan agreement akija kushtuka ndo baadhi huleta uzi wa kulalamika anaonewa.
 
Inauma sana, kuna mtu anaitwa Yona Nyingi nilisoma naye chuo, akapata kazi Moshi akiwa Mbeya akawa hana nauri akaomba nimuazime nauri nikampatia na ya kula kabisa. Lakini baada ya kupata akajizima data kabisa, nikimucheki ananiambia nitakupa tu, niliamua kumusamehe ila nikikutana naye Facebook unakuta kaposit maneno ya kiMungu ndo mpaka ananichosha. Mpaka ameshakata urafiki na Mimi. Yani watu wa hivyo wananikera sana. Ila kanifunza na amewaponza waliokuwa wakihitaji msaada kwangu make kuanzia hapo simuamini mtu.
Nauri = nauli.. wewe nae acha kuendekeza ufukara. Nauli nacho si kitu cha kumsaidia tu mtu?
 
Kwa mamlaka niliyojipa ninapiga marufuku tabia zifuatazo kwa mwaka 2024;
1. Kufungua threads za kuwasimanga single mothers.

2. Kukopa ovyo bila mpangilio na mwisho wa siku kujikuta kwenye matatizo yasiyo ya lazima. Waalimu wengi mzingatie sana hili.

3. Wanawake kuwapa kipaumbele viongozi wenu wa kiroho kuliko waume zenu. Huu upumbavu sitaki kuuona wala kusikia kwa 2024. Kama una baba wa kiroho acha mara moja.

4. Kwenda kula vinono migahawani huku nyumbani kwako wakishindia dagaa. Wanao na mke pia wanapenda zile chapati mbili na supu ya mbuzi. Hakikisha na wao wanakula unachokula wewe. Pumbav sana.

5. Kuishi kistaa mijini huku kijijini kwenu wazazi wakiwa wanaishi kifukara kwenye mbavu za mbwa. Unajisikiaje kuishi pazuri ukisukuma ndinga kali town huku familia yako ikiishi kifukara? Huu upumbavu mwishi ilikuwa 2023.

6. Kuendekeza mambo yasiyokuongezea thamani kwa mwaka mzima kama vile kufuatilia sana mechi za mpira. Fuatilia mambo ya burudani ila jiongezee thamani. Kama mhasibu huna CPA fanya uitafute mwaka huu. Wale wa IT kuna zile professional certifications pambaneni mzipate.

7. Wale mnaouza utu na kutojali maadili kisa pesa muache mara moja. Kibaya zaidi akijitokeza mtu kukemea na kukosoa upuuzi mnadhihaki kwa kumwambia "Acha makasiriko tafuta hela"... acheni kuabudu pesa kwa mwaka 2024.

Ongeza tabia nyingine unayoona haifai kuwepo kwa mwaka huu.
Uraibu wa Mikopo ya Mitandaoni Nusura initoe roho. Mwaka huu wanisahau.
 
Wanawake wapunguze
1. kujitongozesha kwa wanaume.
2. Kuvaa nusu uchi
3. Kuwa na tamaa
4. Kuwasema vibaya waume zao kwa watoto wao.
5. Ushirikina
6. Ngono zembe. Watumie condom.
7. Kuzurura ovyo usiku. Watulie nyumbani.
8. Kujichubua
9. Kuchati na simu wanapokuwa kwenye boda boda.
10. kusema uwongo.
11. Kula nauli wanazotumiwa na mabwana zao.
 
Kwa mamlaka niliyojipa ninapiga marufuku tabia zifuatazo kwa mwaka 2024;
1. Kufungua threads za kuwasimanga single mothers.

2. Kukopa ovyo bila mpangilio na mwisho wa siku kujikuta kwenye matatizo yasiyo ya lazima. Waalimu wengi mzingatie sana hili.

3. Wanawake kuwapa kipaumbele viongozi wenu wa kiroho kuliko waume zenu. Huu upumbavu sitaki kuuona wala kusikia kwa 2024. Kama una baba wa kiroho acha mara moja.

4. Kwenda kula vinono migahawani huku nyumbani kwako wakishindia dagaa. Wanao na mke pia wanapenda zile chapati mbili na supu ya mbuzi. Hakikisha na wao wanakula unachokula wewe. Pumbav sana.

5. Kuishi kistaa mijini huku kijijini kwenu wazazi wakiwa wanaishi kifukara kwenye mbavu za mbwa. Unajisikiaje kuishi pazuri ukisukuma ndinga kali town huku familia yako ikiishi kifukara? Huu upumbavu mwishi ilikuwa 2023.

6. Kuendekeza mambo yasiyokuongezea thamani kwa mwaka mzima kama vile kufuatilia sana mechi za mpira. Fuatilia mambo ya burudani ila jiongezee thamani. Kama mhasibu huna CPA fanya uitafute mwaka huu. Wale wa IT kuna zile professional certifications pambaneni mzipate, pia wale manes (wauguz , wakunga) na madktar ambao hawana lesen wahakikishe wanazipata pia.

Back
Top Bottom