MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Hii tunashare maumivu nina ndugu wa karibu aliomba kiasi kikubwa kwa mambo yake ya ujenzi kwa ahadi analipa baada ya siku nne ila mpaka sasa ni mwezi na nusu sijaona hiyo hela .Kuna mtu namdai hela nyingi sana aisee,, nilijisemea moyoni nimemsamehe maana hadi leo ni mwaka wa pili umeingia na hana mpango wa kunipa..Lakini kila nikionana nae naumia na sina chakumfanya kwasababu ni mtu wangu wa karibu sana
Nikipiga kumkumbusha hakuwi kusema hana [emoji848] yeye anasema ngoja nikitoka Kwa wakala nakutumia baada ya hapo simu zangu huwa hazipokelewi mpaka siku nyingine ni mtu na mheshimu afterall anajua jinsi nisivyopenda kumdharau .
Nimeamua kusamehe 2024 nimeanza upya nitajitafuta kwa upande mwngine nirudishe hiyo hasara .
Ila upande wa microfinance ya ukopeshaji wazinguzi ni wengi ila kuna mwamba hapa jamvini kanipa namba ya mtaalamu ni mwendo wa kuwajaza matumbo na mharo usioisha na huku nawapigia aisee leteni hela niwaponye[emoji3]
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app