SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Kwa ile ban ya kutoingia US ni wazi sasa Mheshimiwa Mbunge na Waziri (Mtarajiwa) analazimika kuishia Zanzibar na Juba kutekeleza majukumu yake ya WIZARA YA MAMBO YA NJE.
Asante SanaIlisha expire 😂✔️
Leta ushahidiIlisha expire 😂✔️
Ukiteuliwa waziri, ile ban inaondolewa, ila hata akimsindikiza Mama kuhudhuria UNGA Konda Boy anatinga na kutimba US!.Kwa Ile ban ya kutoingia US ni wazi sasa Mheshimiwa Mbunge na Waziri (Mtarajiwa) analazimika kuishia Bujumbura na Nairobi kutekeleza majukumu yake.
Siyo kweli hata kidogo. Kwa nchi yeyote ile a visa is not a right; it's a privilege. Hata Mahmoud Abbas, Rais wa Palestine, kanyimwa kuingia US juzi tu bila sababu za wazi. Sembuse waziri wa Tz? Pitia hii: https://www.reuters.com/world/middl...er-abbas-un-allies-back-statehood-2025-08-29/.Ukiteuliwa waziri, ile ban inaondolewa, ila hata akimsindikiza Mama kuhudhuria UNGA Konda Boy anatinga na kutimba US!.
P
Marekani ni koloni la netanyahuSiyo kweli hata kidogo. Kwa nchi yeyote ile a visa is not a right; it's a privilege. Hata Mahmoud Abbas, Rais wa Palestine, kanyimwa kuingia US juzi tu bila sababu za wazi. Sembuse waziri wa Tz? Pitia hii: https://www.reuters.com/world/middl...er-abbas-un-allies-back-statehood-2025-08-29/.
Sikutegemea kama wewe unaweza kucomment huu ujinga.Ukiteuliwa waziri, ile ban inaondolewa, ila hata akimsindikiza Mama kuhudhuria UNGA Konda Boy anatinga na kutimba US!.
P
Kama haikufutwa basi hawezi kuingia kisa yeye ni kiongozi katika taifa fulani.Ukiteuliwa waziri, ile ban inaondolewa, ila hata akimsindikiza Mama kuhudhuria UNGA Konda Boy anatinga na kutimba US!.
P
Mkuu inategemea unaenda US kufanya nini? dhumuni la safari ndilo litakaloamua kuwa granted Visa ama la.Siyo kweli hata kidogo. Kwa nchi yeyote ile a visa is not a right; it's a privilege. Hata Mahmoud Abbas, Rais wa Palestine, kanyimwa kuingia US juzi tu bila sababu za wazi. Sembuse waziri wa Tz? Pitia hii: https://www.reuters.com/world/middl...er-abbas-un-allies-back-statehood-2025-08-29/.
Ban ya abbas sio halaliSikutegemea kama wewe unaweza kucomment huu ujinga.
Anawekewaa Ban Rais wa Palestina ndio sembuse hii takataka yenu?
Mtake radhi Brother P, purpose of the visit ndiyo huwa ina determine uwe granted entry VISA or not.Sikutegemea kama wewe unaweza kucomment huu ujinga.
Anawekewaa Ban Rais wa Palestina ndio sembuse hii takataka yenu?
Nani mwenye uwezo wa kuihoji Marekani?Mtake radhi Brother P, purpose of the visit ndiyo huwa ina determine uwe granted entry VISA or not.
Kuna mikataba ya kimataifa huyo US huwa obliged to bow upon them
Not true. Visa yeyote ile inatolewa kwa utashi wa mamlaka ya nchi husika. Wanaweza kukunyima kabisaa mazima bila hata ya kukupa sababu. Pia wanaweza kukunyima leo lakini kesho wakakupa. Na wanaweza wakakupa lakini ukiingia tu ndani ya nchi yao bado wakakukataa na kukurudisha ukiwa hapohapo airport kwasababu zozote wanazozijua wao. Ndo hivyo yaani.Mkuu inategemea unaenda US kufanya nini? dhumuni la safari ndilo litakaloamua kuwa granted Visa ama la.
Kumbuka hata the late Mugabe alikuwa banned kuingia US lakini haikumuondolea haki kuingia nchi hiyo kuhudhuria mikutano ya UNGA (United Nations General Assembly).
Sasa kama umeshatimba New York na una Pasi ya Kidiplomasia unadhani alikuwa anakatazwa kupiga misele kufurahia kuzuru viunga mbalimbali vya the land of opportunies?
Kuhudhuria UNGA Marekani inalazimishwa lazima itoe visa!.Kama haikufutwa basi hawezi kuingia kisa yeye ni kiongozi katika taifa fulani.
Kwani pascal anajua kila kitu???Sikutegemea kama wewe unaweza kucomment huu ujinga.
Anawekewaa Ban Rais wa Palestina ndio sembuse hii takataka yenu?
Ukiteuliwa waziri, ile ban inaondolewa, ila hata akimsindikiza Mama kuhudhuria UNGA Konda Boy anatinga na kutimba US!.
P