Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Kuna vitu mtu ukiwa hujui, ukisikia usichojua, unadhani ni uongo!.Ndugu yangu, hapo unawadanganye watu. Siyo automatic. Ban yake itaendelra kubakia na inaweza kuongezewa nguvu kama akiteuliwa kuwa waziri.
Hata wakimzuia kuna Dubei, Singapore na Hong.Kwa ile ban ya kutoingia US ni wazi sasa Mheshimiwa Mbunge na Waziri (Mtarajiwa) analazimika kuishia Zanzibar na Juba kutekeleza majukumu yake ya WIZARA YA MAMBO YA NJE.
Pamoja na nchi yake kuwekewa vikwazo na yeye kupigwa Marufuku ya kuingia Marekani lakini uliwahi kushuhudia the late Mugabe aliwahi kushindwa au kuzuiliwa kuingia New York kuhudhuria Mikutano ya Umoja wa Mataifa?Nani mwenye uwezo wa kuihoji Marekani?
Marekani wanamlia timing Rais wa Venezuela Maduro wamkamate wakamfunge Marekani.
Venezuela imezingirwa na majeshi ya Marekani.
Hivi mnaandikaga kujifurahisha au mnaelewa uhalisia wa mambo?
Aliyejitowa WHO ni nani? Mahakama ya The Hague?
Mkuu jiongezee uelewa kidogo juu ya International Laws na global politics, itakusaidia kujua kila general rule huwa ina exceptions zake.Not true. Visa yeyote ile inatolewa kwa utashi wa mamlaka ya nchi husika. Wanaweza kukunyima kabisaa mazima bila hata ya kukupa sababu. Pia wanaweza kukunyima leo lakini kesho wakakupa. Na wanaweza wakakupa lakini ukiingia tu ndani ya nchi yao bado wakakukataa na kukurudisha ukiwa hapohapo airport kwasababu zozote wanazozijua wao. Ndo hivyo yaani.
Kuna pleviledge au ?mkuu mtaalamu wa masuala ya kimataifa na usalamaUkiteuliwa waziri, ile ban inaondolewa, ila hata akimsindikiza Mama kuhudhuria UNGA Konda Boy anatinga na kutimba US!.
P
Makosa anayotuhumiwa ni ya jinai(kudhulumu maisha)Ndugu yangu, hapo unawadanganye watu. Siyo automatic. Ban yake itaendelra kubakia na inaweza kuongezewa nguvu kama akiteuliwa kuwa waziri.
viunga vya Forodhani kwa wala urojo 😀 😀 😀Kwa ile ban ya kutoingia US ni wazi sasa Mheshimiwa Mbunge na Waziri (Mtarajiwa) analazimika kuishia Zanzibar na Juba kutekeleza majukumu yake ya WIZARA YA MAMBO YA NJE.
Mkuu nina uzoefu na mambo hayo ban hukanyagi hata uende na raisi wako ban is ban no exceptionsUkiteuliwa waziri, ile ban inaondolewa, ila hata akimsindikiza Mama kuhudhuria UNGA Konda Boy anatinga na kutimba US!.
P
Una elimu gani mkuu Marekani ni taasisi ukipigwa ban haiwezekani kufutika kirahisi ivyo kama BongoIlisha expire 😂✔️
Marekani hii iliyodukuliwa Juzi kati 😂😂😂Una elimu gani mkuu Marekani ni taasisi ukipigwa ban haiwezekani kufutika kirahisi ivyo kama Bongo
You are misinformed Mkuu. Unajua lakini kwamba rais wa Palestina na wana diplomasia wake wametangazwa kunyimwa visa ya kuingia US kuhudhuria mkutano wa UN siku chache zilizopita tu? Pitia hii link:https://www.reuters.com/world/middl...er-abbas-un-allies-back-statehood-2025-08-29/Mkuu jiongezee uelewa kidogo juu ya International Laws na global politics, itakusaidia kujua kila general rule huwa ina exceptions zake.
Hata hiyo US kuna maeneo yapo ndani ya US lakini hayapo under the control of 100% of the US government.
Ukijua hilo wala hutaweza kubishana juu uwezo wa kuingia US kwa mtu ambaye ana zuio la kuingia katika nchi hiyo.
Unaijua status ya Palestine kwenye UN? Does a Palestine a State? A Palestine is a member State of the United Nations?You are misinformed Mkuu. Unajua lakini kwamba rais wa Palestina na wana diplomasia wake wametangazwa kunyimwa visa ya kuingia US kuhudhuria mkutano wa UN siku chache zilizopita tu? Pitia hii link: https://www.cnn.com/2025/08/29/politics/us-denying-visas-palestinian-officials
Lakini kumbuka kwamba sisi Africa tunaweza kuishi bila kwenda au kuchukua kitu chochote cha Amerika tukaishi. Lakini Wao Amerika hawawezi kuishi bila kuja Africa au kujisogeza karibu na madini yetu wakaishi kwa furaha. They need us more than we need them. Angalia mfano wa Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traole yeye hana time kwenda Amerika anapiga tu kazi ndani kwake na anapendwa na wananchi wake.Kwa ile ban ya kutoingia US ni wazi sasa Mheshimiwa Mbunge na Waziri (Mtarajiwa) analazimika kuishia Zanzibar na Juba kutekeleza majukumu yake ya WIZARA YA MAMBO YA NJE.
True ✅Siyo kweli hata kidogo. Kwa nchi yeyote ile a visa is not a right; it's a privilege. Hata Mahmoud Abbas, Rais wa Palestine, kanyimwa kuingia US juzi tu bila sababu za wazi. Sembuse waziri wa Tz? Pitia hii: https://www.reuters.com/world/middl...er-abbas-un-allies-back-statehood-2025-08-29/.
Hizo ndo sababu wamenyimwa visa? Unajua maana ya visa? Be serious Mkuu. The questions you are posing are irrelevant. Hakuna sheria yeyote au mkataba wowote wa kimataifa unao dictate nchi yeyote kulazimika kukupa kibali cha kuingia kwenye nchi husika bila ridhaa na utashi wa nchi husika. Iran is a member state of the UN. Je unajua kwamba viongozi wake pia waliwahi kukataliwa kuingia US kuhudhuria mkutano wa UN? Pitia hii link: https://www.reuters.com/article/wor...-visa-to-attend-un-us-official-idUSKBN1Z605T/Unaijua status ya Palestine kwenye UN? Does a Palestine a State? A Palestine is a member State of the United Nations?
Netanyahu ni koloni la waarabu piaMarekani ni koloni la netanyahu