Maruhani au majini wanatoaje kw mwili mwa mtu?

Mkuu unaitaja tu biblia,unaonaje sasa ukatoa vifungu kutoka kwenye biblia vinavyoeleza haya uliyoyaeleza hapa kuhusu majini?

Hebu tumia biblia kutupa somo la hawa viumbe.
Mkuu kwanini huchukui uamuzi wa kusoma Biblia ili nawe ujifunze kwenye maandiko ?
Unataka mi ndio nikusomee halafu nikuelezee. Biblia zipo chukua hatua ya kuisoma kama unataka maarifa zaidi.
Kwani unaogopa kusoma Biblia ?

Mimi nitakupa andiko moja tu na kama utahitaji maarifa zaidi soma Biblia utayapata.

Mungu alipo mwuumba Adam alimweka katika bustani ya Edeni na akamwambia,
Ale matunda yote ya bustanini hapo lakiki matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya asile, kama akila
"hakika atakufa"
Mwanzo 2 : 16 - 17.

Shetani alivyoona Adam na mkewe Wanafaidi matunda waliyopewa na Mungu akajisikia vibaya, aliona wivu husuda na chuki.
Shetani akajigeuza Nyoka akavizia Adamu hayupo pamoja na mkewe Hawa akamwendea Hawa na akamwambia,
Kama mkila hayo matunda mliyoyakatazwa
"hakika hamtakufa"
Mwanzo 3 : 1 - 6.

Sasa hapa kunamambo mengi sana ya kujifunza kuhusu tabia ya Shetani.

Kwanza anamwonea wivu Mwanadamu kwakuwa Mungu amempenda sana kuliko yeye na kumpa mamlaka ya kuitawala nchi na kula mema ya nchi.
Pili ni mwongo sikuzote yaani siyo mkweli.
Mungu anasema Hakika mtakufa, Shetani anasema hakika hamtakufa, mkila hayo matunda.
Adamu na Hawa walipokula Wakafa baadae.
Kumbuka Mungu alitaka Adamu na Hawa waishi milele, kwani aliwaambia mkila hilo tunda ndio mtakufa msipokula hamtakufa.
Unaona jinsi shetani asivyo wa kuaminika, alivyo na hila, asivyompenda mwanadamu, asivyo na msaada wa wema kwa Binadamu.
Adamu alipo kumbuka sasa atakufa kwakuwa kala hilo tunda, Shetani hakuonekana, hakuja kumsaidia Adamu akiepuke kifo.
Hapo ndipo ujue Shetani hana msaada wowote mzuri kwa Binadamu.

Hivyo Shetani alisababisha Adam na Hawa.
Wasiwe na uwezo wa kuishi milele, mwisho wasiku wafe, adhabu ambayo ni kubwa sana, na mbaya sana tunayoipata hivi leo.
Wafukuzwe bustani ya Edeni ambamo walikuwa wanaishi maisha mazuri sana.
Hawa azae kwa uchungu.
Adamu na Hawa waishi kwa jasho lao.
Wanyama wakali wawe maadui wa binadamu kama Nyoka anavyotuuma na tunakufa tusipotibiwa.
Kwa ujumla maisha haya magumu tunayoishi sasa yamesababishwa na Shetani

Soma Kitabu cha
Mwanzo, sura ya kwanza hadi ya tatu utathibitisha habari ninayokueleza.

Ukitaka kujifunza zaidi soma Biblia yote utapata maarifa makubwa sana kuhusu Wema wa Mungu na Ubaya wa Shetani, pamoja na jamii zake za Majini, Mapepo,
Mizimu, nk.

Zaidi Soma Biblia.
 
Asante sana mkuu ila sina sababu ya kusoma biblia ila nikipata sababu nitasoma.
 
Asante mkuu.

Je ni vitabu gani vingine ambavyo ni hadithi za kutunga vipo katika biblia ya wakristo?
Je biblia ya wautumiayo wakatoliki si ya wakristo na wao si wakristo na kwanini unazani waliweka vitabu vya Tobiti na Yudithi ile hali havina ukweli?

Je kuna uwezekano kuwa kuna stori za kutunga hasa ukisoma Luka moja na kuendelea?

Maana inaonesha watu walijitungia injiri wakawepo watu maalumu wa kuipitisha iwe kwa matakwa yao ama lah.

Kwanini tuamin Yohana,Warumi na tusiamin Tobia na Yuditdhi?

Kwanini nisiseme tunaamin kile tulichokalilishwa na wale wenye nguvu na kipaji cha kuaminisha?

Kwanini isiwe vitabu vyote ni utunzi wa watu maalumu kwa malengo maalumu?
Mkuu naona hujanielewa nilivyokueleza.
Hebu soma tena taratibu na kwa umakini utaelewa.

Wakristo hawatumii vitabu vya TOBITI na YUDITHI, kwenye mafundisho yao.
Havipo kwenye Biblia yao,
Nimekuambia vitabu hivyo vinaelezea hadithi za Wayahudi.
Uyahudi ni Dini, na wana vitabu vyao wanavyotumia katika mafundisho yao. Humo ndimo utakutana na vitabu vya Tobiti na Yudithi.
Ukiona Biblia ina vitabu vya TOBITI na YUDITHI, hiyo Biblia ni ya WAYAHUDI.
Hata hapa Tanzania Biblia hizo zipo na zinasomwa na mtu yeyote.
Nimekuambia kuwa vitabu vinavyotumiwa na Wakristo kama Injiri ni vya ukweli na ukienda Israeli kuhakikisha ukweli huo utathibitishiwa kuwa Yesu Kristo aliishi huko na alikuwa Masihi na alihubiri Injili, akateswa akafa na akafufuka na akapaa
Mbinguni.
Kama unaona kuna vitabu fulani ni vya kutunga basi wewe usivitumie, tumia vile unavyoviona ni vya ukweli, na vinakusaidia kwenye imani yako.
 
Yapasa umwamini Yesu Kristo kwanza na kutubu dhambi zako kwa kukiri mwenyewe kwa kinywa chako na kuamanisha kuziacha dhambi.... Na kukaa ndani yake kwa kupenda mafundisho yake Yesu....
 
Asante sana mkuu ila sina sababu ya kusoma biblia ila nikipata sababu nitasoma.
Ushindani wa Imani

Kwanza mimi binafsi nawashukuru sana
Kanisa Katoliki. RC.

Ndio walionitambulisha katika Imani ya Kikristo na kunijengea msingi imara wa Imani hii.
Kule Nyumbani Peramiho, wazazi walitukataza kabisa kusoma vitabu vya dini nyingine yoyote ile.
Ikikutwa na kitabu mfano, cha Qurani unachapwa viboko na unaambiwa "nisikuone tena na kitabu hicho"
Baadae nilivyo maliza masomo ya juu. Kichwa changu kilifunguka na sikutaka kikizuia kusoma kitu chochote katika kitabu chochote.
Nikanunua vitabu vingi kadri ninavyoweza pamoja na Qurani ya Kiswahili,
nikaanza kuisoma na ninayo hapa nyumbani, na ina mafundisho mazuri tu.

Ushindani wa imani unasababisha mtu asipende kusoma kitabu cha imani nyingine hata kama kitabu hicho kina mafundisho mazuri yenye manufaa kwa mtu.

Mimi huko nimevuka nasoma kila Elimu ninayoiona mbele yangu ili kujiridhisha na ikiwezekana kunufaika na mafundisho yake.
 
Mkuu asante sana kwa kunifunza

Kuna kitabu niseme kama sijakosea nisahihishe .

Kinaitwa TOBITI katika biblia kinamuhusu Tobia je hicho kitabu ni HADITHI ZA KUTUNGA,HISTORIA AU UKWELI HALISI?
Za kutunga hizo mkuu
 
Mkuu,unajikabidhije? kwa Mungu
Refer kwenye Biblia Injili ya Yohana aya ya 3 ambapo Yesu alikuwa anaongea na Nikodemus alimuelezea kuwa inabidi mtu azaliwe upya kwa maji na Roho ili auone ufalme WA mbinguni na baada ya hapo inabidi uishi kwa Neno la Mungu yaani Biblia kila koma kila fungu kila aya ya Biblia ndo inakuwa msingi Wako na hapo ndipo unapopata ushindi dhidi ya giza,dhambi na shetani. Amri kumi ndio msingi WA tabia yako amri kumi ambazo ziko kwenye Biblia sio za kwenye Katekista au kwenye kitabu cha mapokeo amri kumi za kwenye Biblia ndio muongozo WA tabia ya mkristo hivyo ndivyo unavyojikabidhi
 
Wadau kuna dada yangu, ni mwislam kwa dini,mara nyingi amekua akiumwa kichwaa sana na wakati mwingne anaongEa yakimpanda lakin hua hajitambua akiwa nomal ,je haya madudu kuna watu wanaweza kuyaondoaa mana yanamtesa sana wakati mwingne hali kabsa
Daah pole mzee huwa inategemea
Anatakiwa afanyiwe kisomo cha rukya lkn ni rukya ya kisheria
Kwaiyo itachukua muda mpaka kumpata huyo mtu atake msomea
Manake wengi wao wankosea au wanakuwa hawako vizuri kwaiyo jini anakuwa hatoki
 
Ushindani wa Imani

Kwanza mimi binafsi nawashukuru sana
Kanisa Katoliki. RC.

Ndio walionitambulisha katika Imani ya Kikristo na kunijengea msingi imara wa Imani hii.
Kule Nyumbani Peramiho, wazazi walitukataza kabisa kusoma vitabu vya dini nyingine yoyote ile.
Ikikutwa na kitabu mfano, cha Qurani unachapwa viboko na unaambiwa "nisikuone tena na kitabu hicho"
Baadae nilivyo maliza masomo ya juu. Kichwa changu kilifunguka na sikutaka kikizuia kusoma kitu chochote katika kitabu chochote.
Nikanunua vitabu vingi kadri ninavyoweza pamoja na Qurani ya Kiswahili,
nikaanza kuisoma na ninayo hapa nyumbani, na ina mafundisho mazuri tu.

Ushindani wa imani unasababisha mtu asipende kusoma kitabu cha imani nyingine hata kama kitabu hicho kina mafundisho mazuri yenye manufaa kwa mtu.

Mimi huko nimevuka nasoma kila Elimu ninayoiona mbele yangu ili kujiridhisha na ikiwezekana kunufaika na mafundisho yake.
Mkuu hata mimi mwenyewe biblia ninayo na pale napohitaji kuangalia jambo basi huwa naitumia,na ndiyo maana nikakuomba hivyo vifungu vya biblia vyenye kuelezea majini ili nishawishike kwenda kusoma na kujifunza.

Ila hujaona maana ya kujisumbua kufanya hivyo na matokeo yake unataka nianze kusoma biblia nzima,na ndiyo maana nikakujibu sina sababu ya kufanya hivyo na isitoshe ukizingatia kuwa vitabu vya dini havisomwi kama gazeti.
 
Hongera kwa kuwa na Biblia yako.
Sasa mkuu Biblia unayo halafu unaniuliza mimi nikuoneshe vifungu vya majini.
Sasa umeinunua Biblia ya nini kama huisomi ?
Ukisoma Kumbukumbu la Torati 18 - 10 - 12 na Waefeso 6 : 10 - 12 ni kati ya maandiko yanayo sisitiza kuwa Majini na Mapepo ni maadui wa Watu wa Mungu kwani ni jamii moja na Shetani.
Kama una Biblia inabidi uisome yote kama mimi ili ujue kichopo humo.
Kama huisomi basi ni afadhali umpe mtu anayependa kuisoma, haitakuwa na maana kwako.
 
Mkuu narudia tena kukwambia kuwa vitabu vya dini havisomwi kama gazeti,sijui kama unauelewa huu msemo?

Unadhani kujifungia ndani na kuanza kusoma tu Biblia au Qur'an mwanzo hadi mwisho utakuwa umeilewa Qur'an au Biblia?

Mie nimekwambia biblia naitumia pale napokuwa na jambo nalotaka kutizama kwenye biblia basi huwa nafanya hivyo,mkuu vitabu vya dini vipo vingi tu hivyo lazima uwe na sababu ya kutaka kusoma kitabu fulani na si kujisomea vinginevyo uwe mpenzi wa kusoma vitabu. Hata wewe ulikuwa na sababu ya kukufanya uwe na Qur'an.

Unaonaje tujadiliane yale ambayo yananitatiza kutoka kwenye Biblia kuhusu hawa viumbe? maana wewe umesoma sana biblia hivyo utakuwa na uelewa mpana.
 
Asante mkuu, nimekuelewa, mimi nikinunua kitabu huwa makisoma chote.
Ila nasoma taratibu ili nipate kuelewa.
Kwa mfano kama Qurani tukufu huwa nasoma Sura moja tu kwa siku.
Na sio siku zote, naweza nikasoma leo sura moja na nikapumzika nikasoma sura nyingine baada ya siku mbili au tatu.
hii inanipa mda wa kutafakari na kurudia kusoma sehemu ambazo sija zielewa,
Huwa nafanya hivyo hadi namaliza kitabu chote ambapo naweza kuchukua mda wa miezi mitatu hadi minne.
Ukisoma kama gazeti huwezi elewa kitu kwani,
kwanza unaweza kusahau, lakini pili unaweza kuelewa tofauti na maana halisi iliyokusudiwa na kitabu hicho.

Tuache hayo.
Sasa naona iwe zamu yako kutuelimisha juu ya mada ya Majini.
Je wewe unaelewaje kuhusu majini ?
Je huwa yanafuata nini kwa mtu yanapomwingia ?
Je Majini yote ni mabaya au kuna mengine ni mema ?
Je majini yanatolewaje kwa Binadamu yanapomwingia ?

Kazi kwako mkuu mimi nakusikiliza.
 
Kwa kiasi kidogo navyoelewa mimi ni kuwa majini ni viumbe waliyoumbwa na Mungu kwa lengo sawa na lengo la kuumbwa binaadamu la kuja kumwaabudu Mungu.

Na kwa maana hiyo basi majini pia huwa na madhambi wanayofanya kama tulivyo binaadamu,na husamehewa pale wanapotubu kama tulivyo binaadamu.

Na kuhusu kwanini jini humuingia binaadamu? inategea,kwa maana kuna wanaotumwa na wachawi kwa nia ya kuleta madhara kwa huyo mtu na pia wapo wenye kuingia wenyewe kwa nia ya kumpotosha kufanya maovu.

Na jini wa aina hiyo ndiyo huitwa shetani kwa sababu ya kufanya maovu.

Hivyo ubaya na uzuri wa jini ni matendo yake na si asili yake,na ndiyo maana hata kwenye biblia yule malaika aliyeasi aliitwa shetani baada ya kitendo cha kiovu cha kumuasi Mungu.
 
Andiko lako limenichanganya sana.
Umesema Jini sio mbaya kwa asili yake. Wako Majini wema na wabaya.
Jini akifanya uovu ndio anaitwa Shetani na akitubu husamehewa.
Kwa hiyo Jini akitubu na kusamehewa anakuwa sio Shetani tena na anarudi kuwa Jini mwema.
Pia umesema Jini anayemwimgia mtu huwa anatumwa na Wachawi na humpotosha mtu ili afanye uovu.
Kwa hiyo Jini mwema huwa hakai ndani ya mtu kwani anayemwingia mtu huwa anatumwa na wachawi kuja kumpotosha mtu.
Inamaana Shetani akitubu anakuwa Jini mwema na anaingia Mbinguni kama kawaida.
Na ikitokea siku Majini wote wakatubu basi siku hiyo huwa haina Shetani hata mmoja.

Mawasilisha

Imani ya Kikristo haiamini hivyo.
Inaamini kuwa, hapo mwanzo Mungu aliumba Malaika na akawaongoza wamwabudu na kumtumikia yeye tu.
Malaika mkuu Lucifer akaingiwa na Kiburi, akasikia wivu na kutamani kuabudiwa kama Mungu.
Kukatokea mvutano kuwa, kuna Malaika walimwunga mkono Licifer kuwa hawataki kuamrishwa na Mungu, wanataka kuwa huru.

Hata Leo hii unasikia watu wanataka kuwa huru, na wanasema Mungu hayupo. Yaani hawataki kuamrishwa na Mungu. Kuzitii Sheria zake.

Sasa, kukawa na makundi mawili ya Malaika, kundi moja linapenda kumtii Mungu na lingine linapenda kumtii Lucifer.

Mungu kwakuwa ndiye muasisi wa Demokrasia akamteua Malaika Michael kuwa Mkuu wa upande wa Malaika wanaomtii Mungu.

Na akawaambia hayo makundi piganeni vita watakaoshinda watakuwa ndio watawala wa Mbingu na nchi.

Vita ikapiganwa na kwakuwa Mungu alikuwa upande wa Malaika wanaomtii yeye, Malaika waliomtii Lucifer wakashindwa hiyo vita.

Lucifer na wafuasi wake akafukuzwa Mbinguni na Mungu akawatengenezea sehemu ya mateso inayoitwa Kuzimu, au Motoni huko ndiko kukawa makao makuu yao.

Malaika waovu, tokea siku hiyo, wakalaaniwa na Mungu,
Pia wakanyang'anywa hadhi ya kuitwa MALAIKA na wakaitwa SHETANI, Mashetani, chini ya uongozi wa Shetani mkuu LUCIFER.
Shetani hawezi tena kuwa Malaika, wala Malaika kuwa Shetani.

Siku Lucifer aliyo fukuzwa Mbinguni, akamwambia Mungu,
" hatuta umia peke yetu nita hakikisha hata huyo Binadamu unayemwuumba nikienda kumshawishi atanifuata mimi na kukukataa wewe "
Mungu akamruhusu na kumwambia
" Binadamu nitampa Neno langu, kupitia Manabii wangu nitakao wapeleka duniani, halafu nitamwacha huru achague anitii Mimi au wewe "

Ndio hali unayoiona leo hii,
Shetani amesha laaniwa na hata akitubu hasamehewi, sisi Binadamu tumepewa uhuru wa kumtii Mungu au shetani.

Shetani ni miongoni mwa majini hata vitabu vitukufu vinasema hivyo, majini, mapepo, mizimu, vibwengo, vinyamkela, maluhani, vindondocha, misukule ni jamii za mashetani yameshalaaniwa na hayana nafasi ya kutubu, ndio maana yanahangaika kumtesa na kumpotosha mwanadamu na ili naye amkufuru Mungu.
Yakimwingia Binadamu hayana nia naye nzuri ndo maaana Makanisani yanakemewa tu ili yamwodoke Binadamu, hakuna mjadala nayo, ni maadui tayari hakuna urafiki nayo,
Wala hayaulizwi kwamba " ivi wewe ni jini mwema au mbaya?
Hata Yesu Kristo hakuyapa nafasi ya kujitetea au kutubu, kila alipokutana nayo aliyakemea na kuyafukuza yamtoke mtu yaliyomwingia bila kuhoji.
Leo hii ndugu yangu, unaona kuna makanisa ya kumwabudu shetani ukienda ktk internet sehemu ya U-tube, bofya maneno kama
The Satanic Church.
The Church of Lucifer
The Freemasonry Lorge
The Illuminant Church

Utaona baadhi ya hayo makanisa.
Ibada zao wanatoa makafala ya watu.
Hayo makanisa yanamwabudu Lucifer.
Kama Lusifer ana nafasi ya kutubu, asinge Jenga hayo makanisa. Angekuwa na nia ya kutubu ili asamehewe.

Nawasilisha.
 
Mkuu neno "Shetani" lina maana yake na ndiyo maana hata huko kwenye biblia huyo Lucifer alianza kuitwa Shetani baada ya kumuasi Mungu, hakuna tafsiri inayosema neno shetani lina maana ya malaika anayemuasi Mungu bali kitendo cha uovu alichokifanya Lucifer ndiyo kilichopelekea kuitwa Shetani na hivyo utaona kuwa shetani ni "sifa" na si aina ya kiumbe.

Hivyo mie nilikuwa nazungumzia majini kama viumbe na sijazungumzia habari za Ibilisi aliyelaaniwa na ambaye ndiyo hana msamaha kwa Mungu,tatizo unachanganya majini na shetani na ndiyo maana nilipata kukwambia utaje hivyo vifungu vyenye kueleza habari za majini kwenye biblia.

Halafu pia nawe umechanganya kusema kuwa Malaika hawezi kuwa Shetani,hebu fafanua.
 
Jina na Yesu linaondoa Majini kwa mtu yeyote, awe Mhindu, Mbudha au Mpagani.
Linafanya kazi kwa yeyote na popote.
Hata Sheick Yahya Hussein ali kiri hivyo enzi ya uhai wake.

Adui anayeweza kumshinda Shetani na watenda kazi wake (majini) ni Yesu pekee.

Ushahidi wa kihistoria unathibitisha kuwa mtu wa kwanza kufukuza majini kwa kauli tu, na kuyaamuru kwa kwenda, alikuwa Yesu Kristo wa Nazareti.
Majini pia yamethibitisha kuliogopa hilo jina, hayakuwahi kufanya upinzani na kushinda mbele yake.
Ni uamuzi wako sasa, ubaki na majini yako au uliite jina la Yesu liyaondoe.
Hakuna ushahidi mwingine wa wazi uliotolewa hadharani ulioweza kufanikisha zoezi la kufukuza majini kwa binadamu hadi hii leo.
Waganga wa kienyeji na maustadhi wao wanachokifanya nikuyapooza tu na baadae huja kulipuka tena pindi masharti yanapovunjwa, pia kama madudu hayo yakiwa ni korofi sana, mtu wenye nayo huwekewa dudu jingine lililo na nguvu nyingi kushinda ya lililoko ili kulinyamazisha na hilo lililowekwa linakuwa na masharti yake sasa ole wako uvunje hayo masharti yote mawili yanaungana kukushambulia. Madudu haya yanakuwa na idadi tofauti tofauti ndani ya mtu kutokana na mission walotumwa, idadi inaweze kuwa kubwa sana mpaka zaidi ya elfu kumi, pia wanatofautia nguvu kutokana na aina ya mission, yapo katika jinsia zote mbili, ke na me.
Yanakuwa na Lugha tofauti kutokana na asili yao na pia yanaweza tumia lugha ya host ( aliepagawa).

Njia pekee ambayo imekuwa proved kuwa ina work katika ku cast na kuya defeat haya madudu ni jina la YESU. Jina la YESU linayafukuza na kuweka ulinzi kwa muhusika, katika vita hii kunanyakati madudu haya hufa kabisa ( yes yanakufa) na mengine kupata madhara ya kimaumbile. Na pia kupitia Jna la YESU unaweza kuyaamuru yarudi yalipotoka au yarudi kwa aliye yatuma na mara nyingi yarudipo hufanya vita na aliye yatuma. Pia hutokea yanapotoka wakati mwingine hayaendi mbali yanakaa karibu kusubiri kama host hatakuwa na ulinzi yanarudi yakiwa na nguvu zaidi na mengi zaidi, ndo maana inashauriwa anayekuwa delivered aji commit 100% kwa Yesu ili kupata ulinzi wa kiroho.

Japokuwa zipo njia nyingine ambazo ni za kimwili zaidi zinatumika kuyatisha tu lakini sio kuya defeat. Kama vile Bange, kitimoto na kuna maji wanatumia wanaofanya huduma ya kutuliza mapepo maji yenye michanganyiko fulani fulani yanasemekana yana nguvu sana ( Yeshawahi ongelewa hapakitambo).
 
Mkuu neno "Shetani" lina maana yake na ndiyo maana hata huko kwenye biblia huyo Lucifer alianza kuitwa Shetani baada ya kumuasi Mungu, hakuna tafsiri inayosema neno shetani lina maana ya malaika anayemuasi Mungu bali kitendo cha uovu alichokifanya Lucifer ndiyo kilichopelekea kuitwa Shetani na hivyo utaona kuwa shetani ni "sifa" na si aina ya kiumbe.

Hivyo mie nilikuwa nazungumzia majini kama viumbe na sijazungumzia habari za Ibilisi aliyelaaniwa na ambaye ndiyo hana msamaha kwa Mungu,tatizo unachanganya majini na shetani na ndiyo maana nilipata kukwambia utaje hivyo vifungu vyenye kueleza habari za majini kwenye biblia.

Halafu pia nawe umechanganya kusema kuwa Malaika hawezi kuwa Shetani,hebu fafanua.
Kwenye andiko lako la awali umesema.
Jini akifanya uovu anaitwa Shetani.
Na ukasema yule Malaika aliyeasi akaitwa Shetani,
Sasa mbona unasema kuwa nikufafanulie kuwa ni vipi Malaika asiwe Shetani hali ya kuwa wewe umefafanua tayari ?
Na umesema maneno hayo bila kunukuu aya yoyote ile ila unataka mimi ndiye niwe na nukuu.
Huko nyuma nishanukuu maandiko mengi tu na bado ukahitaji ufafanuzi.

Labda nikuambie hivi, Imani zinatofautiana.

Katika Imani ya
Kikristo,
Ibilisi ndiye (ni) Shetani na kiongozi wao anaitwa Lucifer.
Lucifer ni kiongozi wa Mashetani wote.
hao mashetani wadogo nao wana majina kama.

Legion, Lewiathani,
Orioni, nk, bosi wao ni Lucifer

Hayo ni baadhi tu ya majina ya
Mashetani ambayo ni pamoja na Majini, mapepo, maluhani, mizimu, nk. Kwa kiingereza wanayaita (Demons) au (Evil Spirits) jina la jumla

Hayo yoote yamelaaniwa na Mungu hayana nafasi ya kutubu.
Hivyo kama mtu atapandisha Luhani au Jini basi dawa yake ni kuliondoa tu hilo jini au shetani.

Hatuulizi hili ni Jini Jema au baya? yote ni maovu.
Huku hakuna Jini Jema yote ni maovu tu.

Hii imani ipo kwetu sisi Wakristo na tunaamini hivyo.

Na kama kuna watu wengine wanaamini vinginevyo basi ni sawa tu, mimi siwezi kubisha kwani ndivyo Imani yao inavyosema.
 
Waganga wa kienyeji na maustadhi wao wanachokifanya nikuyapooza tu na baadae huja kulipuka tena pindi masharti yanapovunjwa, pia kama madudu hayo yakiwa ni korofi sana, mtu wenye nayo huwekewa dudu jingine lililo na nguvu nyingi kushinda ya lililoko ili kulinyamazisha na hilo lililowekwa linakuwa na masharti yake sasa ole wako uvunje hayo masharti yote mawili yanaungana kukushambulia. Madudu haya yanakuwa na idadi tofauti tofauti ndani ya mtu kutokana na mission walotumwa, idadi inaweze kuwa kubwa sana mpaka zaidi ya elfu kumi, pia wanatofautia nguvu kutokana na aina ya mission, yapo katika jinsia zote mbili, ke na me.
Yanakuwa na Lugha tofauti kutokana na asili yao na pia yanaweza tumia lugha ya host ( aliepagawa).

Njia pekee ambayo imekuwa proved kuwa ina work katika ku cast na kuya defeat haya madudu ni jina la YESU. Jina la YESU linayafukuza na kuweka ulinzi kwa muhusika, katika vita hii kunanyakati madudu haya hufa kabisa ( yes yanakufa) na mengine kupata madhara ya kimaumbile. Na pia kupitia Jna la YESU unaweza kuyaamuru yarudi yalipotoka au yarudi kwa aliye yatuma na mara nyingi yarudipo hufanya vita na aliye yatuma. Pia hutokea yanapotoka wakati mwingine hayaendi mbali yanakaa karibu kusubiri kama host hatakuwa na ulinzi yanarudi yakiwa na nguvu zaidi na mengi zaidi, ndo maana inashauriwa anayekuwa delivered aji commit 100% kwa Yesu ili kupata ulinzi wa kiroho.

Japokuwa zipo njia nyingine ambazo ni za kimwili zaidi zinatumika kuyatisha tu lakini sio kuya defeat. Kama vile Bange, kitimoto na kuna maji wanatumia wanaofanya huduma ya kutuliza mapepo maji yenye michanganyiko fulani fulani yanasemekana yana nguvu sana ( Yeshawahi ongelewa hapakitambo).
Umeeleza Vizuri Sana Ndugu, ila hiyo njia ya kuondoa Majini kwa kutumia Bange na Kitimoto sina ushahidi nayo.
Hiyo njia ya kwanza pekee ndiyo sahihi.
 
Kwenye andiko lako la awali umesema.
Jini akifanya uovu anaitwa Shetani.
Na ukasema yule Malaika aliyeasi akaitwa Shetani,
Sasa mbona unasema kuwa nikufafanulie kuwa ni vipi Malaika asiwe Shetani hali ya kuwa wewe umefafanua tayari ?
Na umesema maneno hayo bila kunukuu aya yoyote ile ila unataka mimi ndiye niwe na nukuu.
Huko nyuma nishanukuu maandiko mengi tu na bado ukahitaji ufafanuzi.

Labda nikuambie hivi, Imani zinatofautiana.

Katika Imani ya
Kikristo,
Ibilisi ndiye (ni) Shetani na kiongozi wao anaitwa Lucifer.
Lucifer ni kiongozi wa Mashetani wote.
hao mashetani wadogo nao wana majina kama.

Legion, Lewiathani,
Orioni, nk, bosi wao ni Lucifer

Hayo ni baadhi tu ya majina ya
Mashetani ambayo ni pamoja na Majini, mapepo, maluhani, mizimu, nk. Kwa kiingereza wanayaita (Demons) au (Evil Spirits) jina la jumla

Hayo yoote yamelaaniwa na Mungu hayana nafasi ya kutubu.
Hivyo kama mtu atapandisha Luhani au Jini basi dawa yake ni kuliondoa tu hilo jini au shetani.

Hatuulizi hili ni Jini Jema au baya? yote ni maovu.
Huku hakuna Jini Jema yote ni maovu tu.

Hii imani ipo kwetu sisi Wakristo na tunaamini hivyo.

Na kama kuna watu wengine wanaamini vinginevyo basi ni sawa tu, mimi siwezi kubisha kwani ndivyo Imani yao inavyosema.
Mkuu labda nikuulize neno shetani lina maana ya Malaika anayeasi au lina maana gani? Kwa sababu Lucifer alipoasi ndipo akaitwa hivyo,kwanini aliitwa hivyo?
Na je,kundi la malaika waliyoamua kumfuata Lucifer ndiyo hadi leo ni hao hao tu hakuna tena malaika wanao ongezeka kwa kumfuata Lucifer na kumuasi Mungu?

Mkuu tatizo sio kuamini bali ni wapi umekipata hicho unacho kiamini? na ndiyo maana nilikuomba vifungu kwa kwenye biblia.
 
Back
Top Bottom