Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Kazi tunamalizia kwa Mkapa🤸🤸🤸Tukutane kwa madiba
BAHLABANE BA NTWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi tunamalizia kwa Mkapa🤸🤸🤸Tukutane kwa madiba
BAHLABANE BA NTWA
Na itakua vice versa hapo[emoji3][emoji3] makolo mmeona hata tu mshabikie timu yoyote msioijua kabisa, safari hii mtashabikia hadi vitunguu Fc ikitangazwa[emoji3][emoji3]
Kazi tunamalizia kwa Mkapa[emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Uko paleee,tulimaliza kazi tukuite jina gani🏃🏃Kwa beki mwamnyeto
Nipo Pale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
BAHLABANE BA NTWA
Uko paleee,tulimaliza kazi tukuite jina gani[emoji125][emoji125]
Madundukaz wenzako wamegoma kutoa sapoti coz wanajua kuwa Wananchi Wana jambo lao.
Nyie si ndio mnashuka daraja nyie, au sio?MARUMO gallants South Africa karibu sana
BAHLABANE BA NTWA
Mnatia sana huruma kwa jinsi mnavyohamahama timu kama wamachinga ndani ya Dar, tangulieni kabisa kuhamia timu nyingine kwenye mechi ya fainali, maana hii mliyohamia hivi sasa mwendo imeshaukamilish.Bahlabani ba Ntwa ba Utopolo [emoji196][emoji196][emoji196]
Utopolo [emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350][emoji350]
Mmeingia cha kike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mabingwa watarajiwa wa Kombe la Shirikisho la CAF Marumo Gallants tunaenda kuwaangamiza hawa Utopolo /Gongowazi/Misukule/Kinyumenyume bao za kutosha.
Nasemaje, wapigweee mpaka wachakae, maana hakuna namna.
View attachment 2605927
View attachment 2605928
View attachment 2605929
NB: Jezi za timu yetu pendwa Marumo Gallants zinanunuliwa kwa wingi, siyo shabiki wa Simba wala Azam wala Yanga wanazigombania jezi zetu za Marumo [emoji572]️[emoji572]️[emoji91][emoji91][emoji91].
Nina asili ya Afrika Kusini kwa upande wa baba.
Marumo diehard fan
Bahlabane ba Ntwa
NB: Sisi Marumo tusipowafunga Utopolo De Mihogo mnipige Ban la mwaka [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Bahlabani ba Ntwa
Leo wameshashindiliwa goli mbili hukoHiyo timu imeshuka daraja
I'm sorry mkuu kumbe ushakula ban!!!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bahlabani ba Ntwa ba Utopolo [emoji196][emoji196][emoji196]