Marumo Gallants FC: Ni timu ya tatu toka mkiani kwenye ligi ya Afrika ya kusini. Hakuna cha kujisifu kuifunga timu mbovu

Mpaka yanga ichuku hili kombe basi mashabiki wa Simba watakuwa hoi sio kwa wivu huu😅👈

Mazembe mbovu
Monastir mbovu
Africain mbovu
River mbovu
Marumo mbovu..



Horya timu kubwa
 
Kifupi unalazimisha kushabikia mpira halafu haujui mpira wenyewe. Laiti kama ungekuwa unaujua mpira usingeandika huu ujinga.
wewe uliujulia mpira wapi? hebu tuwekee profile yako! Tatizo bongo wanachambulia mpira mdomoni huku hawajawahi kuucheza!
 
Mpaka yanga ichuku hili kombe basi mashabiki wa Simba watakuwa hoi sio kwa wivu huu😅👈

Mazembe mbovu
Monastir mbovu
Africain mbovu
River mbovu
Marumo mbovu..



Horya timu kubwa
Timu zote hizo zinashiriki kombe la losers, kwani hujui!! Mazembe ilikuwa zamani!
 
Na super cup Simba itakwenda kutiaa aibu ya mwakaa mzimaa kuwai kupatikanan kwenye soka
 
 
Hamna timu hapo,kwakuwa kombe la luza ucje shangaa wakabeba kombe
 
Pesa!
Baada ya miaka kumi hakuna atakayekumbula eti mlipata pesa kiasi gani Bali mlipata mafanikio gani!?
Kombe ni muhimu kuliko unavozani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…